Mbimbinho
JF-Expert Member
- Aug 1, 2009
- 8,328
- 7,784
Wandugu, :sad:
Ni GF wangu ambaye kwa kipindi kirefu ka miez 3 hivi tumekuwa kwenye mis'understandings, na nimemuomba sana msamaha but amekuwa mgumu kunisamehe.
Cha kushangaza ni kwamba kila akiongea na rafiki zake au dada yake anawaambia kuwa tumeshasolve na ku-clear our differences, but ukweli ni kwamba bado hajanisamehe.
Sasa juzi kati kaniambia kuwa Amenisamehe lakini hawezi kuwa kwenye relationship tena, ikabidi nimuombe rafiki yake anibembelezee, cha ajabu alichomwambia huyu rafiki yake ni kuwa mimi na yeye hatujaachana.
Wandugu kwa kweli huyu mtu ananichanganya sana, maana ki ukweli ni kwamba nampenda sana huyu binti na yote haya mimi ni sababu, lakini nimeshatubu. Sometimes nafeel ni give up, but naamua kuendeleza mapambano.
Nashindwa kabisa kuelewa msimamo wa huyu GF wangu, labda nisaidieni wandugu, hii tabia inaashiria nini? Shud I move on or ni-stick no mata wat?:sad: