Simuelewi mama yangu!

Simuelewi mama yangu!

Kwa hapa acha niwe wazi mama hajakosea anachotaka ni mtoto amjue baba yake halisi.

Alichokose mama hapa ni kutokumuandaa mwanae kisaikolojia ktk kumwambia mwanae jambo hili.

Wengine huchukua hata miaka kumuandaa mtoto kuja kumpa siri kubwa au jambo gumu katika maisha yake.

Damu haipotei hata kama hajamtunza wala kumlea. Hapa umuhimu unakwenda mbali zaidi ya baba ila ni hadi ukoo mzima wa baba yake i.e baba mdogo mdogo,mkubwa nk.

Kumfahamu baba yake ni jambo jema tu sio lazima kijana atoe pesa amsaidie huyo baba.

Kila mtu ana historia na kuikosa historia na kuujua ukoo wa baba yake si jambo jema.
 
Aende akaoneshwe huyo baba yake ila asimwambie chochote baba mlezi.
 
Maneno ya Shaquille O'Neil katika wimbo "Biological Didn't Bother" yananijia kichwani.

Yo, Yo
I want to dedicated this song to Philip Arthur Harrison
Word up
cause he was the one who took me from a boy to a man
So as far as I'm concerned, he's my father cause my biological didn't bother

[Verse 1]
Biological father, left me in the cold, when a few months old
Aa father's child was greater than gold but I guess not
You brought me into the world but your not my dad
Mess around with those drugs makes my moms mad
So we left you with no remorsal pity
Took the first bus from York to Jersey City
Women and child alone now thats pressure
Moms got to go to work, drop me off by Obesa
Momma, Aunt DeDe, whoever
Aunt Falma, Uncle Roy we stuck together
A year went by and I could walk y'all
Moms got that good ol job at city hall
She probably didn't trust men anymore
Until Philip Harrison walk though the door
Went out a few times but what about Shaquille
Moms offered him a million dollar package deal
She said you want me you gotta take my son
or else its like a hot dog but without the bun
Guess what he accepted, responsibility he never left it
He kept it, he kept it
He took me from a boy to a man so Phil is my father
cause my biological didn't bother

[chorus] He took me from a boy to a man so Phil is my father
cause my biological didn't bother. (4x)

[Verse 2]
January 5th Phil made a promise (what's that)
He joined the army we moved to fort mamth
He disciplined me right from the get go
Age 2 bottle and my Mom shaquille let go
Actin spoiled, rotten, trippin
Got a butt whippin because I didn't listen
Back then you see privates made no bucks
Had to get another job driven trucks
Workin hard as hell didn't satisfy him
Had to another job working at the gym
He wasn't "Gone with the Wind" like Clark Gable
Work all them jobs to put food on the table
Phil's my father, daddy and thats the scoop
Can I go to the gym with you and shoot some hoops
Come on he put me under his wing
Was the ball boy for his little Arthur team
Sometimes he even made me mad
But it didn't matter cause I still wanted to be like dad
but a little bit better
Encouraged me to stay in school and to get then good letters
I wasn't a brainiac but I tried hard
Got to watch the Knicks play if I had a good report card
All types, all sorts
Disobeyed my dad and I couldn't play sports
I learned to dribble from right to left
I couldn't do a damn thang with all them F's
Age 15 father and son confrontation that's nothin
but father and son trials and tribulation
Back then I could under stand but I'm glad you did it
cause now I'm a man
He took me from a boy to a man so Phil is my father
cause my biological didn't bother

(chorus)

[Verse 3]
Look at me now successful for sure
Phil raised me well, to be an entrepeneur
and if your making big dope be materialistic
cause you'll end up another statistic
everything's going well following my dreams
I dunked on Patrick Ewing
I won the ring like hakeem
Uh oh what do you know
Biological ones on the Ricky Lake show
What does he want, does he want money
What people do for money!!!
It's kinda funny to me
He aint gettin no check from me (check it)
He can go on all the talk shows he want
Phil is my dad so dont even front
He took me from a boy to a man so Phil is my father
cause my biological didn't bother

(Chorus)
 
mimi ni kijana niliyehitimu kidato cha sita na kuchaguliwa kuingia chuo fulani kikuu huko dom mwaka jana. Nimelelewa kwa mapenzi makubwa ya baba na mama ambyo yamenifanya niwe na mafanikio sana ya kishule na maisha kwa ujumla. Baba yangu amkuwa na rafiki wangu wa karibu sana na mara kwa mara huwa tunashauriana mambo mengi .

Wiki iliyopita mama alikuja kunitembelea na akaomba jmosi twende dar. Nilipomuuliza kulikoni kwenda dar akasema eti anataka kunionyesha baba yangu, huyu aliyenilea na kunitunza kwa mapenzi makubwa mpaka leo si baba yangu mzazi! Nimepigwa na butwaa mpaka muda huu.

Naomba ushauri nifanyaje ndugu zangu? Akili inanizunguka.

***** hii ni email niliyopokea toka maeneo ya dodoma kijana akiomba ushauri wa haraka juu ya hayo aliyoeleza*****

ndugu zanguni wana jf
naomba nichukue mudaa huu usiku kumshukuru mama huyu kwa kuwa muwazi kabla ya yeye kufariki
ni wazazi wachache sana wanajua baba za watoto zao sio wale wanaoishi nao lakini kutokana na upofu tuliopigwa wanaume pale mwanamke alipotupa tunda tukamega shetani akashangilia ndio maana leo hii tuntafutiwa mwanaume mweupe kama sisi ama mweusi kama wewe then aanazaliwa uanasema jamani rangi ya babaek kabisa

ndugu zanguni hata kama umefika miaka 25 kama uamini huyo si babayako muombe mungu ampe nguvu mama yako akuonyeshe baba halisia kabla mungu ajampenda zaidi..napenda nikujulishe wewe ulieletwa dar huyo ndio baba yako halisi mshukuru mama yako kwa kukuonyesha babayako halisi najua ataitwa melzi lakini melzi ni yule uliejua ni baba yako mzazi aliekulea miaka 20 nk bila yeye kujua analea ya mwenzake mwisho nasema raha ya milele upeweweeeeee wewwweeeee mama mwanga wa milele upewe baadae kwa kusema ukweli
 
Mwambie akamuone na asikilize anachosema. Unaweza kuta mama yake ndio anamakosa pia na aulize yao yalikuwaje etc. Pia namba moja kabla mama yake amueleze kwanini leo ndo ameamua kumwambia.

Asikasilike haraka akae kimya ili waongeeeee yote na awaambie anataka muda kuingiza yote na news hiyo mpya kichwani.

ila aende. si wanamlipia nauli au?

inauma ila atajua yote na kuzoea.
 
Huyo baba anayeenda kuonyeshwa si baba yake bali ni MPACHIKAJI MIMBA" alikuwa wapi mda wote wakat watu wanalea hadi mtoto anakuwa mkubwa? Kuna baadhi ya wanaume wanapenda sana KITONGA(MTEREMKO)
 
Laana huwa haziwashiki watu wasio na atia,mimi ningemzaba vibao huyo mama kwani huo ni udharirishaji,mwambie amsaidie na kumheshimu huyo anayemjua kuwa ni baba yake.

Nimshauri amzabe vibao mama yake mzazi? Duuu hapa si itakuwa jazba imetawala badala ya busara?
 
For sure ningemtimua huyo mama, kama amepokea rushwa kwa huyo the so called baba mzazi itakuwa imekula kwake. hivi na uzee huo unahitaji kumwona biological father wa kazi gani? hata kama ungekuwa bado mdogo, una baba ambaye anakupenda sana na anakufanyia kila kitu, huyo mwingine wa nini? kuongezeana tu ma-extended family, maana huyo baba mzazi anakuja na ukoo wake, ukimkubali yeye basi na ukoo wote unaukubali, so unakuwa na koo 3, + 2 za mtarajiwa mke wako..........................
 
Noana wachangiai wengi wametoa maoni ya jumla jumla ambayo yanaashiria vitu vifuatavyo. Moja, kuwa baba mzazi alikuwa anafahamu uwepo wa mtoto wake na hakufanya chochote kuhusu mwanaye; mbili, Kuwa baba mlezi alifahamu fika kuwa huyo mtoto si wake lakini bado alimlea kwa mapenzi bila kumbagua na tatu kuwa mama mtu kwa makusudi bila sababu yeyote ya msingi aliamua kuficha ukweli kwa kushirikiana na mzazi mwenzie. Lakini hebu tujaribu kufikiri kwa mapana zaidi. Je haiwezekani kuwa baba mzazi hajui wala hakuwahi kujua kuwa huyo mtoto ni wake? na kama hivyo ndivyo, huyu baba mzazi ni kweli ana makosa kama ambavyo wengi wetu tungependa kujiaminisha hapa. Kingine ni kuwa Je kama huyu baba mlezi angejua kuwa huyu si mwanaye (wa kibaiolojia), angemlea kwa mapenzi yote kama alivyofanya?

My take:
Aongee na mama yake amueleze kinaga ubaga imekuwaje hadi yeye akalelewa na baba ambaye aliaminishwa kuwa ni mzazi wake kumbe sio. Pia je kwa kipindi chote hiki huyo baba yake mzazi alikuwa anajua uwepo wake na kama sio ni kwanini sasa mama ameona umuhimu wa yeye kujua? Kingine ni muhimu huyo baba mlezi akahusishwa katika hili suala kuliko kutaka kulifanya kinyemela kama anavyotaka kufanya huyu mama. Mwisho mimi ninaamini msalaba mkubwa anaubeba huyu mama (Maana yeye ndiye chanzo cha yote).
 
Imeshakupitia akilini mwako kuwa huenda baba yako mzazi hata yeye pia hajui kama wewe ni mtoto wake??
 
Huyo baba anayeenda kuonyeshwa si baba yake bali ni MPACHIKAJI MIMBA" alikuwa wapi mda wote wakat watu wanalea hadi mtoto anakuwa mkubwa? Kuna baadhi ya wanaume wanapenda sana KITONGA(MTEREMKO)

We una hakika gani kuwa alipewa hizi taarifa za mimba. hivi ninyi wanawake mnawajua au mnawasikia tu?
 
Noana wachangiai wengi wametoa maoni ya jumla jumla ambayo yanaashiria vitu vifuatavyo. Moja, kuwa baba mzazi alikuwa anafahamu uwepo wa mtoto wake na hakufanya chochote kuhusu mwanaye; mbili, Kuwa baba mlezi alifahamu fika kuwa huyo mtoto si wake lakini bado alimlea kwa mapenzi bila kumbagua na tatu kuwa mama mtu kwa makusudi bila sababu yeyote ya msingi aliamua kuficha ukweli kwa kushirikiana na mzazi mwenzie. Lakini hebu tujaribu kufikiri kwa mapana zaidi. Je haiwezekani kuwa baba mzazi hajui wala hakuwahi kujua kuwa huyo mtoto ni wake? na kama hivyo ndivyo, huyu baba mzazi ni kweli ana makosa kama ambavyo wengi wetu tungependa kujiaminisha hapa. Kingine ni kuwa Je kama huyu baba mlezi angejua kuwa huyu si mwanaye (wa kibaiolojia), angemlea kwa mapenzi yote kama alivyofanya?

My take:
Aongee na mama yake amueleze kinaga ubaga imekuwaje hadi yeye akalelewa na baba ambaye aliaminishwa kuwa ni mzazi wake kumbe sio. Pia je kwa kipindi chote hiki huyo baba yake mzazi alikuwa anajua uwepo wake na kama sio ni kwanini sasa mama ameona umuhimu wa yeye kujua? Kingine ni muhimu huyo baba mlezi akahusishwa katika hili suala kuliko kutaka kulifanya kinyemela kama anavyotaka kufanya huyu mama. Mwisho mimi ninaamini msalaba mkubwa anaubeba huyu mama (Maana yeye ndiye chanzo cha yote).

Kwa maelezo ya mama yake baba mlezi ana taarifa kuwa mtoto si wake, alkini haonyeshi kujali. Anaendelea kumpenda na kijana anasema wao ni marafiki mno na huyu baba yake mlezi.
 
Hivi ukienda kupanda mbegu zako kwenye shamba jirani yako bila ya taarifa wala ruksa yake na mwenye shamba akapalilia akaweka dawa na kulitunza mpaka likawa tayari kwa kuvuna unaweza kwenda kudai mavuno kwa sababu wewe ndie uliyepanda mbegu bila taarifa wala ruksa ya mwenye shamba?

Ningekuwa mimi ningemwambia huyo mama kuwa nashukuru kwa taarifa ila anipe muda wa kutafakari taarifa hizo na nikienda likizo nyumbani nitampa majibu ya ombi lake wakiwa pamoja na baba msingiziwa. Ila nitampa kazi ya kwenda kumweleza baba msingiziwa kuwa nitakuwa na mazungumzo na wote wawili yaani mama yangu na huyo baba yangu msingiziwa kuhusu suala hili.
 
Hapo kwenye red, hilo nalo neno!!!
 
Hata mimi huyu mama simwelewi. Kuna tatizo gani limezuka mpaka huyu kijana mtu mzima aondolewe tongotongo za kumjua baba aliyemzaa? Mambo ya zamani yanayowahusu wawili waliopendana ni yao; huyu kijana asihusishwe, kama ni baba anaye tayari hataki mwingine. Ingekuwa kama miaka yote ya makuzi ya huyu kijana alikuwa hajalelewa na mtu anayejiita baba, pengine uamuzi wa mama ungekuwa mzuri.Kwa sasa namshauri huyu kijana akauke na asiende kuangalia kinyago chochote mahali popote!
 
Hii kali, baba aliyemlea anajua kuwa si mwanae??
 
Back
Top Bottom