Mpatanishi
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,811
- 623
Kwa hapa acha niwe wazi mama hajakosea anachotaka ni mtoto amjue baba yake halisi.
Alichokose mama hapa ni kutokumuandaa mwanae kisaikolojia ktk kumwambia mwanae jambo hili.
Wengine huchukua hata miaka kumuandaa mtoto kuja kumpa siri kubwa au jambo gumu katika maisha yake.
Damu haipotei hata kama hajamtunza wala kumlea. Hapa umuhimu unakwenda mbali zaidi ya baba ila ni hadi ukoo mzima wa baba yake i.e baba mdogo mdogo,mkubwa nk.
Kumfahamu baba yake ni jambo jema tu sio lazima kijana atoe pesa amsaidie huyo baba.
Kila mtu ana historia na kuikosa historia na kuujua ukoo wa baba yake si jambo jema.