Choosen85
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 1,143
- 2,475
Wakuu mpo sawa
Aisee nina rafiki yangu kuna kazi anafanya na wakati mwingne hunihitaji nikamsaidie sku za weekend na nafkia kwake
Kinachonikela ktendo cha yeye kuwa anajishikashka matako yan anaingza mkono ndan bukta anakuwa anatomasa makalio halafu tukiwa tupo ktandan tunapga story kusogeza muda.
Pili ni ktendo cha yeye akiwa anaongea tukiwa ktandan ni lazma awe ananigusagusa miguun au kwenye mapaja nashkwaga na hasira sn.
Tatu wakati mwngne anaweza kuamka akanikandamiza kwny kiuno badala ya mikono yake kukandamiza kwny godoro ili ainuke ashuke bs ye mkono 1 atakandamiza godoro mwngn atanishka mimi mgongon au kiunoni
Aisee nashkwa na hasira sn jamaa namuheshmu sn hata kumwambia nashndwa nianzie wapi ana family mke na watoto ila kaz zake anafanyia wilaya nyngne tofauti na ilipo family yake.
Na mimi npo wilaya nyngne na nina family.
Wakuu mtu wa namna hii unaweza muhisi na basha au ni choko au namna gn au mnanishauri nini?