Hivi ili ufanikiwe inabidi usilale eti?
Swali zuri ingawa linaweza kuwa na unafiki ndani yake!
Nimewahi kuona vipindi vingi kwenye Televisheni, unakuta kijana wa 17y.o anafanya kibarua kwenye restaurant, bar etc, anajichanga ili apate pesa ya ada ya college au anasapoti familia... na unakuta analipwa kwa saa na ana vibarua kadhaa kwa siku!
Kuna mtu mmoja nikamsikia akisema, time difference inawafanya matajiri baadhi kuwa macho mapema zaidi, mathalani issue ya stock exchange etc
Kuna wale madisko joka, ambao pia ni watangazaji etc
Bodaboda aliye serious, usiku anatafuta hesabu binafsi
Nilisikia raia wakilalamika kuhusu watanzania kufanyishwa kazi saa 24 kwa ujira mdogo
Sasa nirudi kwako, ukiwa na ufanishi kwenye ajira yako, huwezi kutoboa maisha...ukianza kutaka kujiimarisha kiuchumi, ama usizingatie ajira au uongeze muda wa kufanya kazi!