Simuelewi Mzazi mwenzangu, tumeachana lakini bado anasumbua

Sasa mawasiliano na huyo mbuzi ni ya nini kama ushaamua kumove on?
Cha kufanya mnunulie mwanae simu ya kitochi ili akiwa na shida nae ampigie mhusika direct. Otherwise huyo jamaa ukimwendekeza atakugonga muda si mrefu maana anakulia timing tu ujae.
Naogopa kumpa cm yupo darasa la 3..
 
Mara nikiweza profile ya mr anaichukua yan maongez sio ya mtoto tena ni mimi na mr wangu. Anashida gani huyu mbuzi???
Simpendi namchukia sababu kwanza aliniaacha kwa madharau. Mbona mimi simfaalii japo aliniambia bado hajaoa?

Punguza hasira Mama mbuzi..

Huyo kijana mwenzetu nunua simu ya mezani,, iweke Chumbani kwa mwanao...na hizi simu ni bei chee kabisa,, then mwambie Baba mbuzi ukitaka kuzungumza na mwanao mpigie mda fulani na fulani atakuwa available...

Wewe na yeye siku utakayompa hayo maelezo ndio iwe siku ya mwisho kuzungumza... tofauti na hivo basi nawewe utakuwa unataka kumuonyesha kuwa now uko better na hauteseki,, kitu kitachofanya aingie kwenye subconscious mind yako taratibu na mwisho akulale kimasihara na akupige na kitu kizito tena,, wakati NDOA yako ameharibu..

Ukiendekeza kuongea nae,,nakuhakikishia lazima tu utachezea Dudu la yuyu
 
Ushauri wangu, usiwe na huruma. Mpe Baba mwingine mtoto, kata mawasiliano, fanya maisha yako. Pia mnamchanganya mtoto kujua kuwa ana Baba wawili, muacheni mtoto akue kwanza, bora ulaumiwe kuwa ulimtenganisha na bake halisibut atleast umemweka mahali apate kukua vizuri. Dunia haina huruma, unaweza ishia kujuta kuwa na mawasiliano nae huyo Baba yake (ex wako)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wivu na expectations ndio vinavyo msumbua. Mda anakuacha alitegemea utasota sana lakin anaona mambo yapo tofaut na alivyo tegemea hapo anataman msingeachana anahis jamaa ako anafaidi sana. Na ww ukiregea kidogo tu unaenda kubomoa ndoa yako
 


Chuki inakuja kwa aliyowahi kukufanyia lakini deep down bado una upendo na baba mtoto wako lady in action
 
Kwan huyu mume wako mpya analifahamu Hilo kuwa unawailiano nae na huyu mbuzi
 
Tena muheshmu San huyu Bab aliyekubali kulea mbegu za mbuz wako mwenyew Tena muheshimu San tena ushukuru ujawa single. Mam Ni vyema kuendele kupotezea mbuz wako na pia mwanao aje baadae ajue baba ake alivyo mbuzi
 
Haha..!
Ushauri mzuri Nas,
Ila hapo pa Mama Mbuzi na Baba Mbuzi pamenichekesha..!πŸ˜‚
 
Ni suala la muda tu.
Huyu mbuzi jike na beberu watakutana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…