Sasa kama ni hivi,Katika kosa ambalo nikilifanya Mungu aniadhibu ni hili,, kaka anilifukuza kwa dharau sana nilipauka nyumban pia baba akanifukuza nikaenda kuuza baa ninamimba ya miez 7, huyu baba kanioa wala hakuna anaejuaa kama sio mtoto wake pamoja na mitihan ya ndoa lkn kwa mtoto anamtreate kama wake ...siwezi kumlipa hilo kwakweli
Jitahidi punguza mawasiliano na huyo jamaa, atakuharibia vyote, kuanzia ndoa yako na maisha yako mwenyewe