Simuelewi Mzazi mwenzangu, tumeachana lakini bado anasumbua

Simuelewi Mzazi mwenzangu, tumeachana lakini bado anasumbua

Huyo mbuzi dume amekuja vibaya....angekuja vizuri angepasha kiporo......

Watu waliowahi kuvuana nguo na kuonana nyuchi zao Wana Siri kubwa baina yao .....
 
Ulitakiwa kufanya kiapo cha kifo au ukichaa kuwasiliana tena na huyo jamaa.Unakosea...unaniumiza moyo pia.Ukirudi kuwasiliana nae wanakudharau mama.Tafadhali...kama umeweza lea mpaka hapo kwan uruhusu yeye kuwasiliana nanyi afu umeolewa dada
 
Hakuna kitu inaumuuma mwanaume kama kumuacha mwanamke then akampata mtu sahihi zaidi yake hua wanaumia sana na ukifanya masihara anakuharibia.
Anapasea amblock kabisaa na amfute ktk memory card yake maana ukute hukoo ndoa yake tia maji tia maji hvyo anataka kumharibia Dada wa watu!!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
😄😄😄 yaani afu unikute namiliki macho matatu nko ndani ya kausafiri ka maana we toka nikuache na ile baiskeli uliyokuwa unanifukuzia kunitongozea 😄😄😄 huku ma earphon meupe maskioni cm ya tochi ikiwa mfukoni 😄😄😄 wallah utameza wembe mkuu
 
Mbona rahisi
Hatua ya kwanza ya kufanya kwa huyo mbuzi ni kumwambia mazungumzo yenu yawe ni kuhusu mtoto tu

Kama hatakuwa muelewa hatua ya pili ni kukata mawasiliano nae

Ama wewe unaona ugumu kwenye jambo lako ni upi?
Bado wanampendana
 
Hapo mwisho pameniaminisha jambo moja tuu Jamaa ATAKUKULAAA...!! Unaanza kufikiria kama kaoa au vip[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji28][emoji28]
 
Mara nikiweka profile ya mr anaichukua yan maongez sio ya mtoto tena ni mimi na mr wangu. Anashida gani huyu mbuzi? Simpendi namchukia sababu kwanza aliniaacha kwa madharau.

Mbona mimi simfatilii japo aliniambia bado hajaoa? Yaani nikiweza picha profile anauliza hapo ni kwako?
Namba yako anayojua weka kwa cm ya kitochi. Cm kubwa iwe na namba asiyojua, profile zako hawezi kuona tena.
Labda kama unacheza game ya sitaki-nataka!
Ukute Mr wako anakuchora tu, ngoja achoke..
 
hata ufanyeje aliye kuvua chupi kakuvua tu!!! mpe mara moja moja kwani tatizo nini!!...mnalea nyie ujue!! kuna leo na kesho huyo jamaa akikupiga chini je
 
Huyu mzazi mwenzangu sielewi anatatizo gani.

Ni miaka 8 tangu tumeachana tena sio kuachana aliniaacha kisa kapata mchumba mwalimu mi kwa wakati huo nilikua jobless na mimba ya miez 6 nikarudi home. Baada ya miaka 3 nikaolewa sasa alivyogundua nimeolewa akaanza usumbufu mara nataka mtoto wangu, mara anapigaa usiku.

Nikaona isiwe tabu nikamwambia mtoto wako akimaliza la saba atakua kajitambua nitakupa nikamblock. Tumekaa miaka 3 bila mawasiliano yoyote kuhusu mtoto juzi kati kanitafuta namba mpya anaitaarifu babu yake mtoto kafariki nikampa pole.

Anadai naomba niwe naongea na mtoto kwenye cm yan nimruhusu apray part kama baba nikasema Sawa ila uwe na heshima mimi ni mke wa mtu.

Sasa ana choniuz akikusalimia kidogo mara mr wako ajambo. Mara nikiweza profile ya mr anaichukua yan maongez sio ya mtoto tena ni mimi na mr wangu. Anashida gani huyu mbuzi? Simpendi namchukia sababu kwanza aliniaacha kwa madharau.

Mbona mimi simfatilii japo aliniambia bado hajaoa? Yaani nikiweza picha profile anauliza hapo ni kwako?
Pole Sana mama inaonekana tatizo Hili linakupa Shida Sana wewe Kam mzazi mwezio unajukumu la kumsaidie mtoto aweze kupata malezi Bora kutoka kwa baba pili tafuta njia ambayo itakusaidie usiweze kuvunja mahusiano yako
 
Sasa mawasiliano na huyo mbuzi ni ya nini kama ushaamua kumove on?

Cha kufanya mnunulie mwanae simu ya kitochi ili akiwa na shida nae ampigie mhusika direct. Otherwise huyo jamaa ukimwendekeza atakugonga muda si mrefu maana anakulia timing tu ujae.
na namba amesave😁😁
 
Back
Top Bottom