Alayna
JF-Expert Member
- Dec 18, 2021
- 1,010
- 3,553
Ni kweli kabisaThank you alayna wangu ,yeye aamue kujenga au kubomoa ndoa yake tena!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kabisaThank you alayna wangu ,yeye aamue kujenga au kubomoa ndoa yake tena!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Be VERY strong in what you believe!!!Huyu mzazi mwenzangu sielewi anatatizo gani.
Ni miaka 8 tangu tumeachana tena sio kuachana aliniaacha kisa kapata mchumba mwalimu mi kwa wakati huo nilikua jobless na mimba ya miez 6 nikarudi home. Baada ya miaka 3 nikaolewa sasa alivyogundua nimeolewa akaanza usumbufu mara nataka mtoto wangu, mara anapigaa usiku.
Nikaona isiwe tabu nikamwambia mtoto wako akimaliza la saba atakua kajitambua nitakupa nikamblock. Tumekaa miaka 3 bila mawasiliano yoyote kuhusu mtoto juzi kati kanitafuta namba mpya anaitaarifu babu yake mtoto kafariki nikampa pole.
Anadai naomba niwe naongea na mtoto kwenye cm yan nimruhusu apray part kama baba nikasema Sawa ila uwe na heshima mimi ni mke wa mtu.
Sasa ana choniuz akikusalimia kidogo mara mr wako ajambo. Mara nikiweza profile ya mr anaichukua yan maongez sio ya mtoto tena ni mimi na mr wangu. Anashida gani huyu mbuzi? Simpendi namchukia sababu kwanza aliniaacha kwa madharau.
Mbona mimi simfatilii japo aliniambia bado hajaoa? Yaani nikiweza picha profile anauliza hapo ni kwako?
Mbuzi kwa Mbuzi. Matokeo ni MbuziKwahiyo ulizaa na mbuzi?!
Kesi za hivi kijijin kibao kwa mwenyekiti wa kijijj pale mwenye mifugo iliyoharibu mazao anapokimbiaKwahiyo unataka tuamue ugomvi kati ya Binadamu na Mbuzi?
Deal nae mapema kabla hajakuharibia, hakuna kitu ambacho huwa sikipendi Kama kuona mke anawasiliana na ex wake. Usipokuwa makini itakugharimu,Huyu mzazi mwenzangu sielewi anatatizo gani.
Ni miaka 8 tangu tumeachana tena sio kuachana aliniaacha kisa kapata mchumba mwalimu mi kwa wakati huo nilikua jobless na mimba ya miez 6 nikarudi home. Baada ya miaka 3 nikaolewa sasa alivyogundua nimeolewa akaanza usumbufu mara nataka mtoto wangu, mara anapigaa usiku.
Nikaona isiwe tabu nikamwambia mtoto wako akimaliza la saba atakua kajitambua nitakupa nikamblock. Tumekaa miaka 3 bila mawasiliano yoyote kuhusu mtoto juzi kati kanitafuta namba mpya anaitaarifu babu yake mtoto kafariki nikampa pole.
Anadai naomba niwe naongea na mtoto kwenye cm yan nimruhusu apray part kama baba nikasema Sawa ila uwe na heshima mimi ni mke wa mtu.
Sasa ana choniuz akikusalimia kidogo mara mr wako ajambo. Mara nikiweza profile ya mr anaichukua yan maongez sio ya mtoto tena ni mimi na mr wangu. Anashida gani huyu mbuzi? Simpendi namchukia sababu kwanza aliniaacha kwa madharau.
Mbona mimi simfatilii japo aliniambia bado hajaoa? Yaani nikiweza picha profile anauliza hapo ni kwako?
Mpe simu yake mumeo ili amchambe,mbuzi koko huyoHuyu mzazi mwenzangu sielewi anatatizo gani.

Ni ushauri mzuri ila sio sahihi kabisa, huyu mtoto atajazwa mambo ya hovyo kama akinunuliwa simu akawa anawasiliana na baba yake moja kwa moja basi ipo nafasi kubwa kuanza kuulizwa ishu za mama yake na mumewe ambapo sio sawa kabisa.Punguza hasira Mama mbuzi..
Huyo kijana mwenzetu nunua simu ya mezani,, iweke Chumbani kwa mwanao...na hizi simu ni bei chee kabisa,, then mwambie Baba mbuzi ukitaka kuzungumza na mwanao mpigie mda fulani na fulani atakuwa available...
Wewe na yeye siku utakayompa hayo maelezo ndio iwe siku ya mwisho kuzungumza... tofauti na hivo basi nawewe utakuwa unataka kumuonyesha kuwa now uko better na hauteseki,, kitu kitachofanya aingie kwenye subconscious mind yako taratibu na mwisho akulale kimasihara na akupige na kitu kizito tena,, wakati NDOA yako ameharibu..
Ukiendekeza kuongea nae,,nakuhakikishia lazima tu utachezea Dudu la yuyu
Kuonana fesi tu fesi ni changamoto kwasababu matatizo huja ghafla hayana taarifa,, na Demand ya jamaa ni kuongea na mwanae...Mimi nadhani ni kuonana uso kwa uso na huyo jamaa, ila asiende mwenyewe aende yeye, mtoto na mume wake. Ila asimwambie jamaa kama atakuja na mume wake, kama jamaa anajua atapasha kiporo akiwakuta wapo watatu hatakaa ahangaike tena na huyu dada.
Ila chonde chonde asimpe mwanya wakuwasiliana na huyo mtoto moja kwa moja, mtoto bado mdogo sana huyo ataaribiwa saikolojia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Punguza hasira Mama mbuzi..
Huyo kijana mwenzetu nunua simu ya mezani,, iweke Chumbani kwa mwanao...na hizi simu ni bei chee kabisa,, then mwambie Baba mbuzi ukitaka kuzungumza na mwanao mpigie mda fulani na fulani atakuwa available...
Wewe na yeye siku utakayompa hayo maelezo ndio iwe siku ya mwisho kuzungumza... tofauti na hivo basi nawewe utakuwa unataka kumuonyesha kuwa now uko better na hauteseki,, kitu kitachofanya aingie kwenye subconscious mind yako taratibu na mwisho akulale kimasihara na akupige na kitu kizito tena,, wakati NDOA yako ameharibu..
Ukiendekeza kuongea nae,,nakuhakikishia lazima tu utachezea Dudu la yuyu
Huyu mzazi mwenzangu sielewi anatatizo gani.