Simuelewi Mzazi mwenzangu, tumeachana lakini bado anasumbua

Huyo mbuzi dume amekuja vibaya....angekuja vizuri angepasha kiporo......

Watu waliowahi kuvuana nguo na kuonana nyuchi zao Wana Siri kubwa baina yao .....
 
Ulitakiwa kufanya kiapo cha kifo au ukichaa kuwasiliana tena na huyo jamaa.Unakosea...unaniumiza moyo pia.Ukirudi kuwasiliana nae wanakudharau mama.Tafadhali...kama umeweza lea mpaka hapo kwan uruhusu yeye kuwasiliana nanyi afu umeolewa dada
 
😄😄😄 yaani afu unikute namiliki macho matatu nko ndani ya kausafiri ka maana we toka nikuache na ile baiskeli uliyokuwa unanifukuzia kunitongozea 😄😄😄 huku ma earphon meupe maskioni cm ya tochi ikiwa mfukoni 😄😄😄 wallah utameza wembe mkuu
 
Mbona rahisi
Hatua ya kwanza ya kufanya kwa huyo mbuzi ni kumwambia mazungumzo yenu yawe ni kuhusu mtoto tu

Kama hatakuwa muelewa hatua ya pili ni kukata mawasiliano nae

Ama wewe unaona ugumu kwenye jambo lako ni upi?
Bado wanampendana
 
Hapo mwisho pameniaminisha jambo moja tuu Jamaa ATAKUKULAAA...!! Unaanza kufikiria kama kaoa au vip[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji28][emoji28]
 
Namba yako anayojua weka kwa cm ya kitochi. Cm kubwa iwe na namba asiyojua, profile zako hawezi kuona tena.
Labda kama unacheza game ya sitaki-nataka!
Ukute Mr wako anakuchora tu, ngoja achoke..
 
hata ufanyeje aliye kuvua chupi kakuvua tu!!! mpe mara moja moja kwani tatizo nini!!...mnalea nyie ujue!! kuna leo na kesho huyo jamaa akikupiga chini je
 
Pole Sana mama inaonekana tatizo Hili linakupa Shida Sana wewe Kam mzazi mwezio unajukumu la kumsaidie mtoto aweze kupata malezi Bora kutoka kwa baba pili tafuta njia ambayo itakusaidie usiweze kuvunja mahusiano yako
 
Sasa mawasiliano na huyo mbuzi ni ya nini kama ushaamua kumove on?

Cha kufanya mnunulie mwanae simu ya kitochi ili akiwa na shida nae ampigie mhusika direct. Otherwise huyo jamaa ukimwendekeza atakugonga muda si mrefu maana anakulia timing tu ujae.
na namba amesave😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…