Simuelewi Mzazi mwenzangu, tumeachana lakini bado anasumbua

Be VERY strong in what you believe!!!

Act according to what you believe!!

Ilinde ndoa yako kwa gharama yoyote Ile.
 
Usipokuwa makini, usipokuwa makini, mume wako wa Sasa unaweza kumpoteza pia, kwa kueendekeza mawasiliano na mbuzi.
 
Deal nae mapema kabla hajakuharibia, hakuna kitu ambacho huwa sikipendi Kama kuona mke anawasiliana na ex wake. Usipokuwa makini itakugharimu,
 
Mpe simu yake mumeo ili amchambe,mbuzi koko huyo

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Kumbe mbuzi anaweza kupiga cmu duu,afu kosa kumate na mnyama
 
Ni ushauri mzuri ila sio sahihi kabisa, huyu mtoto atajazwa mambo ya hovyo kama akinunuliwa simu akawa anawasiliana na baba yake moja kwa moja basi ipo nafasi kubwa kuanza kuulizwa ishu za mama yake na mumewe ambapo sio sawa kabisa.

Muhimu ni huyu dada apambane na mzazi mwenzake bila kumuweka mtoto kati yao, asitumie mtoto kama kinga.

Mimi nadhani ni kuonana uso kwa uso na huyo jamaa, ila asiende mwenyewe aende yeye, mtoto na mume wake. Ila asimwambie jamaa kama atakuja na mume wake, kama jamaa anajua atapasha kiporo akiwakuta wapo watatu hatakaa ahangaike tena na huyu dada.

Ila chonde chonde asimpe mwanya wakuwasiliana na huyo mtoto moja kwa moja, mtoto bado mdogo sana huyo ataaribiwa saikolojia
 
anataka kupasha chakula chake, alikoenda kakutana na kitu kimechacha
 
Kuonana fesi tu fesi ni changamoto kwasababu matatizo huja ghafla hayana taarifa,, na Demand ya jamaa ni kuongea na mwanae...

Only option ni kukausha tu,, asimpe simu dogo wala yeye asiongee nae.... Otherwise bado watapasha kiporo...

Tunacho avoid in mawasiliano baina ya hao wazazi wa mtoto..
 
UKIENDELEA KUSHUPAZA SHINGO NA UKAENDELEZA MAWASILIANO NAE.. IPO SIKU UTAKUJA KUSEMA YALAITI NINGEJUA NINGEKATA MAWASIKIANO NAE KABISA...WANAWAKE HAMUELEWAGI CHOCHOTE MPAKA SIKU YA KUKUTE NDIO UTAELEWA SOMO
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Mpe BLOCK ya maisha wacha kumlealea na ujinga wake
Akimtaka mtoto aende kwenye utaratibu wa kisheria asije kukuharibia ustaarabu wako.
 
Hapo kinatafutwa kiporo kipashwe. Dada siku ukiliwa kiporo tuambie aseee tukuwaishe kwa kwa kaka iddi makengo akakupange vizuri.
X hajawahi kumuacha mwanamke yoyote salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…