holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 1,859
- 2,986
Wakuu
Kuna stori na mikasa ambayo haitasahaurika katika maisha yetu,
Mikasa hii inaweza kuwa
Kuna mambo magumu magumu ambayo mtu aliyapitia ambayo hawezi kuyasahau,
Simulia mkasa/kisa chako ambacho kamwe hutakisahau.

katika maisha ya upambanaji,kutafuta mali,
maisha ya mapenzi
siasa,ndoa,nk