Simulia "Sitosahau" ya maisha yako

Simulia "Sitosahau" ya maisha yako

Sotosahau nilipokua nabembeabembea sehemu nikajitia ujuaji mara paap nikajikuta diniani
 
Huwa niki angalia story za Baada ya kifo Cha jpm, nafananisha na maisha Baada ya kifo Cha mzee wangu.

Ndugu zake wali enda kwake kimya kimya, taratibu za msiba zika anza kuandaliwa pasipo sisi kufahamishwa lolote.

ni Mungu na ujasusi wa chini chini uli fanyika ndio tuka pata taarifa hiyo, chap chap tuka ibuka msibani tukiwa na wakili wa familia, pamoja na watu baadhi (askari ) maana tuli ambiwa mambo si mambo.

msiba uka fanyika, kampuni aliyo kuwa ana fanya kazi Ika fahamishwa, msiba uka fanyika vyema.

Kimbembe hata marehemu haja zikwa, watu Waka Anza kuji gawia majukumu na mali za marehemu.
aisee!
 
endelea mkuu
 
Cntakaa nisahau cku nakamatiwa beit bridge nikitaka kuzamia south miaka ilee. Ujana maji ya moto. Mapambano bado yanaendelea. Yesu nisaidie
 
Back
Top Bottom