Abou Shaymaa
JF-Expert Member
- Oct 19, 2022
- 1,479
- 3,229
- Thread starter
- #401
ASALI HAITIWI KIDOLE
SEHEMU YA MIA MOJA KUMI NA NANE
MTUNZI: edgar MBOGO
WHATSAPP: 0717924403 au 0743632247.
ILIPOISHIA SEHEMU YA MIA MOJA KUMI NA SABA: Radhia alishindwa kuendelea kuongea, kutokana na kilio cha kwikwi, Edgar anatoa kitambaa chake mfukoni, na kumpatia mke wake, ambae anakitumia kujifutia machozi, “baba nazani na wewe umeona kilicho tokea, sijuwi unasemaje juu ya ili” alisema mzee Makame akimtazama Edgar, ambae muda wote alikuwa anasikiliza. ........ ENDELEA….
“ukweli mzee wangu, mimi sina la kusema, maana ili ni swala la ndugu kusameheana, cha msingi ni kuweka mbele upendo, ili watu waishi kwa amani, na kusaidiana” alisema Edgar, kwa ile sauti yake nzito na tulivu.
Hapo mzee Makame akatulia kidogo, kama kuna jambo anatafakari, kisha akamrudia Edgar, “baba kwa upande wangu nashukuru sana, toka uingie kwenye familia yangu, umeleta mabadiliko makubwa, kiasi cha kutujengea hesima kubwa, na leo pia ukujari wadhifa ulio nao, umeshirikiana na sisi mwanzo mpaka mwisho, kiasi cha kukubari kuingia kwenye kitu ambacho ukuwai kushiriki ata mala moja, naomba unedelee kutuchukulia kama ndugu wa damu” alisema mzee Makame.
Mzee Makame akuishia hapo, akamgeukia Siwema, “mdogo wako amekusamahe, lakini mimi na kuahidi, endapo ukirudia tena, adhabu yako ninayo mimi” alisema mzee Makame, kisha akamtazama mke wake mkubwa, “na wewe, leo mama Radhia amakusaheme, lakini sikupi ahadi ya msamaha wapili toka kwangu, endapo utarudia maswala kama aya” alisema mzee Makame kabla ya kumaliza kikao, na wapo kupata chakula cha jioni, kisha kutawanyika.********
Mida hii nyumbani kwa Shaban, ambako Shaban na Ashura walikuwa wamelala kwenye kitanda kikubwa, wote wawili wamemgeukia mtoto Ashraf alielala kati kati yao, “ona kapua kake, kama dada yake Rehema” alisema Shaban alielala na bukta nyepesi, bila tishert, “siuseme kama pua yako, siunajuwa Rehema alivyo chukuwa sura yako” alijibu Ashura, ambae alikuwa amevalia gauni jepesi la kulalia.
Wote wanacheka kwa pamoja, “ila mimi naona wamefanana na bibi yao, yani mama yangu” alisema Shaban huku wote wakionekana kuwa wenye furaha, kubwa, “kwahiyo mpaka leo ujajuwa kama umefanana na mama yako?” alisema Ashura kwa sauti iliyojaa utani.
Wakati wakiwa kwenye maongezi, mala wakasikia simu ya Ashura inaanza kuita, ikiwa juu ya meza ndogo, pembeni ya kitanda, upande waliokaa Shaban, kiasi cha kumfanya mtoto ashtuke kidogo, kwa mlio wa simu.
“sijuwi nani huyo anataka kuniamshia mwanangu” anasema Ashura, huku anamtazama Shaban, ambae anainuka na kwenda kuchukuwa simu, huku macho ya Ashura yakitazama dudu ya mpenzi wake huyu, ambayo kwa sababu isiyo julikana ulikuwa umejitutumua na kusimama kweli kweli.
“ni Aziza, ndie anae piga” alisema Shaban huku anampatia Ashura simu, “mh!, mbona amesimama hivyo, kwahiyo ajuwi kwamba bado mwenzie aja kauka?” aliuliza Ashura kwa utani huku anagusa dudu ya Shaban, iliyosimama kwa nguvu.
Wote wanacheka, kwa pamoja, “ni upuuzi wake tu, tena wacha nika kujoe maana mkojo umeshikwa kweli kweli” alisema Shaban ambae bado alikuwa ajapanda kitandani, huku anaelekea upande wa bafuni, akimwacha Ashura anapokea simu.
“niambie dada” anasema Ashura simu ikiwa sikioni, “vipi mlifika salama?” anauliza Aziza toka upande wa pili wasimu, “tumefika muda mrefu sana, na sasa tupo kitandani” alisema Ashura, huku anambembeleza mtoto kwa mkono wake wakulia, aweze kulala tena, “basi mwenzio ile mnatoka tu, Idd nae akaingia” alisema Aziza, kwa maana ya kusimulia.
“weeeee!, usiniambie, enhe akasemaje?” aliuliza Ashura kwa sauti yenye shahuku, “aseme nini zaidi ya kutaka kukuona wewe na mtoto, tena alikuwa amejawa na hasira kama nini, sijuwi kama asingekuzabua makofi leo” alisema Aziza, ambae alimsimulia mdogo wake, jinsi maongezi yake na Idd yalivyo kuwa mpaka kumfungia mlango kwa nje, adi mwisho wa simulizi, tayari ashraf alikuwa amesha lala.
Ashura anaonekana kulizika na kile alicho kifanya Aziza, kwa mume wake huyo wandoa, wakati huo tayari Shaban, alikuwa amesha rudi toka bafuni, bado hali ya msimamo wa mwiko ikionekana wazi wazi.
“achana nae huyo mjinga, na kama angenikuta hakika angenipatia taraka yangu leo leo” alisema Ashura, huku ananyoosha mkono na kupapasa dudu ya Shaban ambae alikuwa amelala kitandani, upande wapili wa mtoto.
Shaban anaondoa mkono wa Ashura kwenye dudu yake, wakati huo huo ikaanza kusikika mlio wa kama simu nyingine inataka kuingia, “yani kama ajashtuka na kukupa taraka, basi atakuwa na tatizo la hakili, maana sijambakiza ata kidogo” alisema Aziza huku na hapo Ashura akatoa simu sikioni na kutazama nani mwingine anapiga.
“huyooooo anapiga, wala sipokei simu yake huyu mjinga, alisema Ashura, kabla ya kuagana na Aziza na yeye kukata simu, kisha kuiweka pembeni yake upande wa ukutani, pasipo kujuwa kuwa baada ya kuikata alipokea simu ya pili, na kuizuwia ile ya kwanza, ambayo ilikatwa upande wapili.
“ebu kwanza nimwone huyu mzee, anashida gani” anasema Ashura, huku anapeleka tena mkono kwa Shaban, na safari hii, akiupenyeza ndani ya bukta, na kuikamata dudu, “Ashura bwana siunajuwa ndio umetoka kujifungua bado aja kauka” anasema Shaban huku anamzuwia Ashura asiendelee kumchezea dudu yake.
“kwahiyo utaki nikusaidie mume wangu, au unataka ukatafute mwanamke mwingine?” anauliza Ashura kwa sauti ya kulalamika” pasipo kujuwa kuwa, sauti zao zilikuwa zinapenya kwenye simu iliyokuwa hipo hewani na kupeleka upande wapili wa simu, ambako alikuwepo Idd kiparago.*********
Nyumbani kwa barozi wa #Mbogo_Land, tuna ingia chumbani kwa Edgar, ambapo tunawaona Edgar na Radhia, wakiwa bafuni, ndani ya jakuzi, yani kalo la kuogea, watupu kama walivyo zaliwa, Edgar anatembeza dodoki mwilini mwa Radhia taratibu, huku akisugua sehemu ambazo zinalata raha kwa Radhia, ambae anafumba macho akilizia mkuno mtamu.
“Edgar siunakumbuka nilicho kuandikia asubuhi” nasema Radhia kwa sauti ya tabu kidogo, huku anapeleka mkono kwenye dudu ya Edgar, “nakumbuka mke wangu, au unahisi nitakunyima” alisema Edgar ambae sasa alikuwa anatembeza dodoki kwenye kifua cha Radhia na kuparuza chuchu za binti huyu, ambazo zilikuwa zina patwa na msisimko mkali sana.
“basi nifanye sasa, mbona unachelewa” anasema Radhia huku anacheka cheka kicheko cha kivivu, Edgar anacheka kivivu pia, huku anaondoa mkono mmoja kifuani akiuacha ule wenye dodoki, huku anaupeleka ule mwingine kwenye kibakuri cha asali, na kutekenya kunde ya chamba la bibi.
Radhia anashusha pumzi nzito huku anakatakiuno kwa msisimko, Edgar anasogeza mdomo wake kwenye shingo ya Radhia, “tumalize kuoga twende kitandani, nikupe unacho takiwa kupata” anasema Edgar ambae anamaliza ka kumnyonya shingo Radhia, ambae anazidi kusisimkwa, na kugeuza uso wake kwa Edgar, midomo yao inakutana, na wanaanza kunyonyana ndimi zao taratibu, huku Edgar anaendelea kuchezea kunde ya Radhia taratibu, akisaidiwa na utelezi wa mboga ya mlenda, iliyojaa kwenye chungu cha Radhia, wote wakiwa wamesha sahau yaliyo tokea siku ya leo.*******
Turudi dakika chache kabla Ashura ajaanza uchokozi wake, huku akiwa amepokea simu ya mume wake bila kujuwa, ikiwa yatari Idd amesha fika nyumbani, tayari amesha kula na kuoga, na sasa alikuwa amesha panda kitandani, na simu yake mkononi.
Idd akiwa amejawa na hasira zidi ya mambo mawili makubwa, anapiga simu na kuiweka sikioni, anasikia sauti ya kike ikimwambia, “mtumiaji wa simu unae mpigia, anaongea na mtu mwingine, tafadhari subiri au jaribu tena baadae” kisha simu inaanza kuita.
Idd anasichagua kusubiri, kwamaana anaendelea kusikiliza simu inaita, huku kichwani mwake anawaza juu ya kushindikana kwa mpango kwa kumloga Radhia, kitu ambacho kilimuuma sana, kuliko kushindwa kumwona mke wake kule kwa dada yake, ambae aliamini kuwa kwa muda ule alikuwa ndani, na mtoto wao mchanga.
Naaaaaam!, baada ya simu kuita kwa muda mrefu kidogo, mala inapokelewa, lakini kabla ajasikia sauti ya mke wake ikimsalimu, akapokelekwa na sauti ya mke wake huyo huyo, “ebu kwanza nimwone huyu mzee, anashida gani” ilikuwa ni sauti ya Ashura, Idd akaamini kuwa anaongea na Aziza na kwamba anataka ajuwe yeye Idd anashida gani. ........ ENDELEA…. KUFWATILIA HADITHI HII YA #ASALI_AITIWI_KIDOLE, HAPA HAPA jamii forums