Simulizi: Before I die

Simulizi: Before I die

Mkuu kule nako ongeza basi kumbe bado hujachoka mpaka umeanzisha kitu kipya
haina shida mkuu soon naibwaga yote kwa mara moja coz kuna story nyingi sana speed yenu tuu maana wengine ndio ulevi wetu huu
 
Daahh wacha nihamie hapa tuu maana kule LEGE kakausha.
Hii nayo ni ya kijasusi??
 
au niibwage yote mwanzo mwisho wa kuu. mkeshe nayo week end hii
Husiweke yote, kamanda. Itatukatia stim kwa Peniela. Ikiwezekana we achia hapo kwanza tumalizane na kule, maana nadhani patakua panaelekea ukingoni.
 
Lege unazingua mm nataka paniela tu hii staki kusoma kabisa paniela ikiisha na mm ndo mwisho wa kusoma story
 
Mkuu LEGE shukrani Maana umenipunguzia mambo ya kuchart Siku hizi nashinda Sana humu!! Hongera mkuu!
 
Asee kule kwa peniela nipo msimu wa tatu sehemu ya 1 saivi mpka macho yanauma maana nna siku tatu nasoma tu.. Asee tunashukuru mkuu Lege nikimaliza kule nitakuja hukuu
 
haina shida mkuu soon naibwaga yote kwa mara moja coz kuna story nyingi sana speed yenu tuu maana wengine ndio ulevi wetu huu
Mkuu poa maana wengine tumebobea kwenye ujasusi
 
au niibwage yote mwanzo mwisho wa kuu. mkeshe nayo week end hii
Upata nafasi na kama inawezekana ile ya penny bwaga yote kila mtu ajipimie kwa muda wake.
 
Back
Top Bottom