😅😆Kuna jambo nimejifunza hapa.
Leo hii tulikua na kikao kirefu kidogo na Boss mwanamke na huyu mfanyakazi mwenza mwanamke pia.
Amemwaga madini ya kutosha mi nilikua nishamaliza kitabu changu.
Nasikiliza tu.
Aisee Boss mwanamke akasema "nimependa sana shati la huyu jamaa,yaani rangi zake perfect😁".
Gauni lako ndio ni lina maua rangi ila sijazipenda.
Aloo nikamkumbuka Blandina huku JF.
Aisee tumetoka huyu neymoo nafkiri.
Kaomba namba mwenyewe nikamnyima na nimekuja kujuta badae ila najua ntampata wapi.
Ningeenda nae Lunch tu angetoa kila kitu.
Na ni yeye alinishika mkono toka pale tuondoke.
Ni km nimemkataa.
Na amenipa deal 4 on the spot👌.
Huyu Nina home work nae
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.