Simulizi - DYLAN

Nimejifunza kutu kwenye hii riwaya. Wema ni Akiba japo sijaisoma yote lakini Ina fundisho kubwa Sana Tenda Wema wakati wote ni Akiba Sana. Dylan angekuwa na tabia za hovyo kama za watoto wa Vigogo hapa Tanzania nadhani Karma ingemhukumu. Alivyookotwa na mzee Baraka na akatunzwa vizuri kabisa na yeye kabla hajapata matatizo alikuwa hana dharau na majivuno japo ni wa Kishua.
 
Kaka Elton Mungu akubariki sana kwa stori yenye kusisimua sana sana
 
Niko hapaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…