"Wawili hao, kwa sasa wakitambulika kama Bella na Sia, wakaendelea kuonyeshana upendo mpaka walipokwenda kulala pamoja. Hii ndiyo ingekuwa aina ya maisha ambayo yangeendelea kuwazunguka, wakiwa mbali na bara lao, na wakiwa wamekufa kama Lexi na Nora. Bila shaka, hadithi yao ya mambo yaliyopita wangejitahidi kuiweka nyuma ya migongo, nao wangeendelea kuijenga hadithi yao mpya ya mambo ambayo yangefuata kwenye maisha yao kwa njia bora hata zaidi."
Mkuu
Elton Tonny umetuacha kwenye suspense yani...ingependeza kama hawa watu japo wame'kufa' ili kuwa na happy ending
1.Wawatembelee wapendwa wao
2. Xsander akutane na mwanae
Anyway, kazi nzuri. Twasubiria kigongo kingine