Simulizi: For You

Simulizi: For You

"Wawili hao, kwa sasa wakitambulika kama Bella na Sia, wakaendelea kuonyeshana upendo mpaka walipokwenda kulala pamoja. Hii ndiyo ingekuwa aina ya maisha ambayo yangeendelea kuwazunguka, wakiwa mbali na bara lao, na wakiwa wamekufa kama Lexi na Nora. Bila shaka, hadithi yao ya mambo yaliyopita wangejitahidi kuiweka nyuma ya migongo, nao wangeendelea kuijenga hadithi yao mpya ya mambo ambayo yangefuata kwenye maisha yao kwa njia bora hata zaidi."

Mkuu Elton Tonny umetuacha kwenye suspense yani...ingependeza kama hawa watu japo wame'kufa' ili kuwa na happy ending

1.Wawatembelee wapendwa wao
2. Xsander akutane na mwanae

Anyway, kazi nzuri. Twasubiria kigongo kingine
 
Shukran, but all good things come to an end some way. Hata kama ningeiendeleza na kuishia sehemu nyingine bado kungekuwa na mambo mengine ya kuandika, and you never know, labdq nitakuja kuiendeleza baadae. Nashukuru tu kwa kuniunga mkono 👊
 
Ahsante Kwa hadithi nzuri sanaa, ila huu ni mtazamo wangu tu, usingewaua watu wengi sana wa Mess Makers especially Kendrick nlitaman sanaa abaki kuwa hai halaf baada ya anguko la Serikali ya Mndeme angepata nyadhifa Kubwa na baadh ya washirika wake, ila binafs nmesikitika sanaa kuona walikuwa chachu ya mageuz ila umewaua sanaaa na walobak ni kama hawaeleweki
Anyway labda Pana season inayofata
Ni maoni tu msije nitoa macho
 
Yeah naelewa. Kimtazamo tu, unafikiri mambo yangekuwa vipi kama Kevin asingewasaliti? Kevin. Ni Kevin ndiyo amefanya story ikaisha namna hiyo.
 
hongera mkuu. binafsi napendezwa na kaz zako zinagusa hisia kila kona
ktk mapambano lazima wat muhim wapotee kupitia hii stor nilikua nashindwa kugess nan angepotea
kwa upande wng stor ipo poa
 
Shukran za dhat
 
Mkuu Elton Tonny una uandishi mzuri sana na hongera kwa kipaji ulichopewa na Allah. Sasa hujawahi kufikiria kwenda kwa Shigongo kuongea nae biashara? [emoji848]

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Nataka kufanya hivyo na inaweza kuonekana kuwa rahisi lakini kuna ugumu kiasi. Ila ni kati ya mambo nayptaka kufanya I just need the right support, and am still a novice kwa njia fulani. Yule nikimpata na kuongea naye nitauza sana, siyo?
 
Ungejaribu kunitafuta Meneja wa Global Publishers sijui Anaitwa Saleh Ally ili akupe connection namba yake huyo ipo kwenye gazeti la Champion
 
Mkuu Elton Tonny tunakushukuru kwa burudani hii,ila nakuomba man,chonde chonde Fanya uimalizie ile ya INVISIBLE, sijui nini kilitokea ukaishia njiani,labda ni tatizo LA kiufundi lakini ulipaswa kutujiza mashabiki zako kuwa nini kilitokea hadi mzigo ukakatia njiani
 
Back
Top Bottom