mireille
JF-Expert Member
- Mar 4, 2020
- 529
- 589
- Thread starter
- #21
JASMINE
MTUNZI BEBAS CUTELY .
SEHEMU YA 18.
BOOKING 0756748557. .
" Mimi najua yule dada ni mwanamke wako tu" aliongea Najma . Hans " ok fine fikilia vyote vile ufikiliavyo ni sawa" alitoka nje akiwa na hasira sana . Alitoka na kupamvamia mtu kumuangalia vizuri alikuwa Jasmine akiwa anafuta alishia kutabasamu na kuondoka zake akiwa akielekea chumbani kwake ..
Hans aliingia chumbani " huyu mwanamke ananiletea habari za ajabu ajabu kwanza kanicheat kipindi nipo chuo , sasa hivi ananiletea habari upumbavu wake kwenye familia " aliongea na kulala kwa asira . Jasmine alivyomaliza kazi zake aliingia chumbani kwa Zuri na kumkuta amekaa akisoma kitabu .
" Asantee Zuri kwa zawadi nzuri ulizoniletea "aliongea Jasmine . Zuri alitabasamu " kamwambie kaka Hans asantee mimi nikununulie kwa hela gani niliokuwa nayo ". Jasmin alicheka" nikajua wewe bhana , ila asantee wote ".
Zuri " sawa njoo unibane nywele kama jana " . Jasmine alienda kumbana nywele na kulala zake . Hans alikuwa akitafuta usingizi chumbani Najma kamzingua na akiwa akimuwaza Jasmine sana.
Alichukua simu yake nakutumia sms " good night ". Jasmine aliona " nakujibu nakwako pia asantee kwa zawadi". Hans alijibu'' asantee kwa chakula kitamu cha leo ". Jasmine alibidi azime data na kulala zake akiwa anafuraha katoka kwa madam Frida.
Najma chumbani kwake baada ya Hans kutoka chumbani kwake. Alitupa tupa vitu vyote chini " aaaah sikubari lazima uyu mtoto atoke hapa adi Hans ananijibisha mimi siwezi kukubari.
Hans aliamka asubuhi na mapema kama kawaida yake ilikuwa wiki end. Alienda mazoezi na kurudi kumkuta Jasmine akifua nguo zake mwenyewe uku akiimba imba .
Hans alikuwa akimuangalia tu Jasmine nakutabasamu mwenyewe.
*********************
Zuri alikuwa yupo kwa nyuma akimuangalia kaka ake nakutikisa kichwa na kwenda uku akiwa anapiga miruzi . " Leo utoki umekuwa kufuri au sio. Hans " dogo uache kunifatilia kwenye maisha yangu nitakupiga bure ".
Zuri " subutu ukinipíga na mwambia yule anayefua kuwa ulikuwa unapiga picha mdada wa watu ". Hans alicheka" punguza umbea sana dogo nakumfinywa sikio". Zuri " ebu nenda kwa mkeo ndani anakusubiria ".
Hans " punguza majungu basi na wewe tena ". Kidogo Najma alitoka akiwa kapendeza sana . " Hans, mama angu mdogo anaumwa nimepigiwa simu niende " aliongea Najma .
Hans alingia mfokoni nakutoa élfu 30 kumpa . Najma " nitarudi kesho au kesho kutwa ". Hans " sawa" . Zuri alikuwa akimuangalia kwa dharau Najma. Najma aliondoka zake akiwa na furaha sana .
Zuri " hivi brother unamuamini yule demu wako kuwa mama ake anaumwa kweli ". Hans " ata akinidanganya atajua mwenyewe na Mungu wake".
Zuriri" unalolote sema unapenda tu mwanamke na kuingia ndani". Hans '' nilikuwa nikipenda before sema sasa hivi naishi nae kwa mazoea, ayupo akilini mwangu"alijiongerea na kuingia ndani .
Najma alivyotaka pale alikuwa ana chamgonjwa wala nini alienda moja kwa mojaaa kwa Hamza. " Hamza mbona unanifanyia hivi jamani nilikwambia usinitafute adi mimi nikutafute wewe .
Hamza " unajua maumivu yakuniacha peke angu beby najua sina pesa ni mario lakini kuna muda na kumiss natamani kuwa na wewe tu "alisema. " Lakini tulikubariana mimi nitafute pesa ili tuje kujenga nyumba tuoane" . .
Itaendelea .
800 muendelezo 0756748557 mpesa , Tigopesa 0659 397908 jina badru badru .