Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Iko humu itafutekuna visa ambavyo natamani kuvijua kiundani ikiwemo hiki pamoja na ishu ya zangira yule aliyekamatwa kwa ishu za kijasusi miaka ya katikati ya 70. Hivi visa natamani nipate mtu anipe details za kutosha.
Mkuu naona huko bangi imeshuka bei.
Imran Kombe
Dah, haya mzee!! π€£ π€£Mkuu naona huko bangi imeshuka bei.
Zamani tulikuwa fits sana kwenye ujasusi
Kushoto kabisa mwenye masharubu ni hayati jeneral Waden Marwa{kamanda kambale}aliyekuwa na uwezo kusafiri hadi Kampala na kurudi bila kukamatwa na Nduli AMINI, akapewa jina la Kambale kwa uwezo wake huo,akifatiwa na jenerali Mayunga Sailas{kamanda mti mkavu kwa tabia yake ya kutembea na mkongojo mkononi kila alipo}.
Anayefatia hapo baada ya Msekwa ni jeneral David Musuguli{kamanda Mutukula}aliyekuwa mTz wa kwanza kuingia nchini Uganda kwa mbwembwe akivuka vitongoji vya Mtukula tena mchana kabisa huku akitafuna muwa alioupata kwa kuvuna kutoka shamba la serikali ya kijiji},,anafatia ni Rais mteule Geofrey Kakongwa Binaisa aliyeteuliwa Rais toka kuwa mwanasheria mkuu wa serikali ya Uganda,baada ya hayati Lule kugombana na hayati Mwl.
Anayefatia ni aliyekuwa mkuu wa majeshi ya Tz hayati Twalipo,aliyerudi nyumbani Tz baada ya picha hii, baada ya kuteuliwa kuwa mkuu wa majeshi ya Tz wkati huo.
Alizungumzaga Nini...?Ha haa. Zamani walikuwa na ka msemo, 'Dead man don't talk'.
Kilichomponza Kombe ni mdomo wake...
Ufisadi ndio uliotufikisha hapa chini ya uasisi wa mzee wa msoga na kundi lake. Hawa ndio walioiuwa nchi na vizazi vyake, msoga na mtandao wake wenye tamaa ya kula bila kusaza.Zamani tulikuwa fits sana kwenye ujasusi
Kwa hiyo anavuta tu ovyo ovyo kila wakati hadi kichwa kinachemka, na anaishia kutuchanganyia ma file!!Mkuu naona huko bangi imeshuka bei.
we ni wale wanaofikiri kwa makalioPolisi wetu ni bure kabisa. Wamepewa mafunzo ya kutumia nguvu nyingi, kuliko akili. Mfano kwenye hili tukio wangeamua kutumia akili, wala kifo cha huyo Mheshimiwa kisingetokea.
sana.Zamani tulikuwa fits sana kwenye ujasusi
Je ilitaja aliyehusika?Tume hiyo iliyokuwa chini ya mwenyekiti, Jaji Damian Lubuva aliyekuwa na Jaji Mussa Kipenka wakati huo akiwa mwanasheria mwandamizi wa Serikali, ilihoji mashahidi 52 na mwaka 1997 ilitoa ripoti kwa Mkapa iliyohitimisha kwamba Serikali haikuwa na mkono wowote katika kifo cha Kombe.
HahahaSema tu nani kamuua Kombe. Unategemea tutasoma hii thesis?
Kwa tanzania uchaguzi ukikaribia au ukitaka kufika lazima kutokee Kafara kubwa.Picha sio ya Imran Kombe, Umeniikumbusha pia kifo cha best yetu waziri Nicas Mahinda nae alipigwa risasi pia.. 1996 wengine tulikua tayari na mobile phone π π π π π