Simulizi: Kisa na Mkasa wa Mauaji ya Jenerali Imran Kombe (Mkurugenzi Mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa-TISS)

Simulizi: Kisa na Mkasa wa Mauaji ya Jenerali Imran Kombe (Mkurugenzi Mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa-TISS)

Eyra9W8WUAIUuIn.jpg

Imran Kombe
Mkuu naona huko bangi imeshuka bei.
 
MSEY.jpg


Kushoto kabisa mwenye masharubu ni hayati jeneral Waden Marwa{kamanda kambale}aliyekuwa na uwezo kusafiri hadi Kampala na kurudi bila kukamatwa na Nduli AMINI, akapewa jina la Kambale kwa uwezo wake huo,akifatiwa na jenerali Mayunga Sailas{kamanda mti mkavu kwa tabia yake ya kutembea na mkongojo mkononi kila alipo}.

Anayefatia hapo baada ya Msekwa ni jeneral David Musuguli{kamanda Mutukula}aliyekuwa mTz wa kwanza kuingia nchini Uganda kwa mbwembwe akivuka vitongoji vya Mtukula tena mchana kabisa huku akitafuna muwa alioupata kwa kuvuna kutoka shamba la serikali ya kijiji},,anafatia ni Rais mteule Geofrey Kakongwa Binaisa aliyeteuliwa Rais toka kuwa mwanasheria mkuu wa serikali ya Uganda,baada ya hayati Lule kugombana na hayati Mwl.
Anayefatia ni aliyekuwa mkuu wa majeshi ya Tz hayati Twalipo,aliyerudi nyumbani Tz baada ya picha hii, baada ya kuteuliwa kuwa mkuu wa majeshi ya Tz wkati huo.
Zamani tulikuwa fits sana kwenye ujasusi
 
Imran Kombe alikua mzee muungwana sana basi tu ndio vizuri havidumu.Nakumbuka nilikua na jamaa yangu alikua akifanya kazi kwa mzee Kombe,tulikua tunakunywa nae sana kinywaji basi siku moja Kombe akamwambia hizi pesa unazokunywa nakukatia kiwanja changu enzi hizo Mbezi beach porini. Mshahara wako takua naukata hadi umalize deni la kiwanja. Jamaa akajimilikia uwanja mkubwa Mbezi beach mpaka amefariki 2015 alikua ni mkazi wa hapo kwa hisani ya mzee Kombe. alijijengea mjengo wake na fremu za maduka akawa anakula kodi tu mpaka umauti.RIP legend wa PR Camp.
 
Tume hiyo iliyokuwa chini ya mwenyekiti, Jaji Damian Lubuva aliyekuwa na Jaji Mussa Kipenka wakati huo akiwa mwanasheria mwandamizi wa Serikali, ilihoji mashahidi 52 na mwaka 1997 ilitoa ripoti kwa Mkapa iliyohitimisha kwamba Serikali haikuwa na mkono wowote katika kifo cha Kombe.
Je ilitaja aliyehusika?
 
Picha sio ya Imran Kombe, Umeniikumbusha pia kifo cha best yetu waziri Nicas Mahinda nae alipigwa risasi pia.. 1996 wengine tulikua tayari na mobile phone 😂 😂 😂 😂 😂
Kwa tanzania uchaguzi ukikaribia au ukitaka kufika lazima kutokee Kafara kubwa.
MV Bukoka, Treni ya Kati, Mv Ukara, MV Skygit na ....etc
 
Back
Top Bottom