Simulizi kuhusu waliopotea katika mazingira ya kutatanisha Tanzania 2023/24

Jeshi la Polisi pamoja na Tiss wanapaswa kujisafisha kutokana na tuhuma hizi mbaya kabisa za kuteka Watu.
 
machafuko ya kwao hawayaelezi kwa upana unaostahili ila habari za kwetu mpaka kwenye mabunge yao, this is so pathetic.
 
Dah nimetoka kuisoma hii taarifa inatisha
 
huyo kibaraka soon tunamhonga cheo na atanyamaza kimyaaa kama da Zuchu. Kikeke tulimpanga aache kazi tukambwga juu kwa juu. Yaani tunafukuza mwizi kimya kimya
 
Asije akatekwa
 
Sativa ashukuru Mungu aliikimbia mauti otherwise angeungana na hao

..MUNGU amemponya Sativa ili ithibitike kuwa watekaji ni Polisi / Serikali.

..Sativa alishikiliwa ktk vituo viwili vya Polisi. Kituo cha Oysterbay, na kituo kingine mkoani Arusha.

..Wachunguzi wakifuatilia maeneo aliyoyataja Sativa haitachukua masaa 24 kuwatambua waliojaribu kumuua.
 
imetokwa na machozi Leo baada kuisikiliza asubuhi BBC via radio free. Hali ni mbaya! Omba yasikukute.
 
huyo kibaraka soon tunamhonga cheo na atanyamaza kimyaaa kama da Zuchu. Kikeke tulimpanga aache kazi tukambwga juu kwa juu. Yaani tunafukuza mwizi kimya kimya
Hivi Unafikiri kwamba kila mtu unaweza ukamnyamazisha kwa kumhonga Cheo??? Nani kakudanganya???
 
..kwenye nchi zilizoendelea wasiojulikana hutumika kuteka na kuua mahasimu wao raia wa nchi za nje.

..hapa Tanzania wasiojulikana wanatumia kuua raia wetu wenyewe.

..Yaani Watanzania kwa kodi zetu tunawalipa mishahara wasiojulikana, halafu wanaua, watoto, na ndugu zetu.
 
imetokwa na machozi Leo baada kuisikiliza asubuhi BBC via radio free. Hali ni mbaya! Omba yasikukute.
Hali mbaya Kama hii ya watu kutekwa, kuteswa na kuuawa ilikuwepo pia nchini Zaire (Congo DRC) enzi za Utawala wa dikteta muuaji Mobutu Seseseko. Watu wengi sana walitekwa na kuuawa kikatili, hali iliyosababisha Wananchi wengi sana kuikimbia nchi hiyo ya Zaire. Naona hali hii kwa sasa hivi ipo hapa Tanzania.
Kumkosoa Rais Mobutu Seseseko au kukosoa Utawala wake ilikuwa ni njia ya uhakika kabisa ya kujikatia tiketi ya kifo.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…