Simulizi kumi kali nilizowahi kuzisoma hapa JamiiForums

Huyu lwanda Magere yuko radio free Africa akisimulia hiki kisa kila jumapili SAA nne. Kamili asubuhi Mimi naendelea nae...majamaa walikuwa wanachonga mpaka lwanda akaikatisha dohh
 
Huyu lwanda Magere yuko radio free Africa akisimulia hiki kisa kila jumapili SAA nne. Kamili asubuhi Mimi naendelea nae...majamaa walikuwa wanachonga mpaka lwanda akaikatisha dohh
Hiyo j2 ratiba si rafiki sana kuweza kumfwatilia.

Tulipigania Sana jamaa amalizie stori lakini ndo basi tena[emoji134]
Nasikia huko youtube pia anasimulia.
 
Peniela daaaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…