Simulizi kumi kali nilizowahi kuzisoma hapa JamiiForums

anza kusoma hyo paniela utojutia mda wakoo
 
Hii iliisha sema alikua na mkasa mwingine wa mambo ya vyuma chakavu ndio haikuendelea
 
Huyu lwanda Magere yuko radio free Africa akisimulia hiki kisa kila jumapili SAA nne. Kamili asubuhi Mimi naendelea nae...majamaa walikuwa wanachonga mpaka lwanda akaikatisha dohh
Marudio inakuwaga saa ngap?
 
Story za kweli ndiyo zenyewe, binafsi na story ya kweli kwenye life yangu ila sijui kuandika, kuandika ni upako aisee, na hivi watu wanajua kuzodoa nitishia episode 1 tu.
kusodolewa kawaida ukiwa una roho nyepesi unaiachia njiani 😂😂
 
Pamoja sana mkuu
 
Hiyo siifahamu.
Naomba uniwekee link mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…