Simulizi kumi kali nilizowahi kuzisoma hapa JamiiForums

Kuna simulizi moja sikumbuki vizuri jina lake ila ilikua na character mmoja anaitwa Masimba, ilikua inahusu maswala ya upelelezi na mapenzi ni hatari.....
 
Real story Kali ni hizi hapa

1.Uhusiano wangu na hamida
2.How I'm met my wife
3.Maisha ya kitoabu hko msumbiji
4.Nilivonusulika kuawa na police saith Africa
5.safari ya kupanda mlima klmnjaro
6.nilikuwa moja ya chokaraa 2011 very sad one sijui yko wapi huyu jamaa(mtoto_mdogo sana)

7.khumbu was south Africa
8. Story ya kweli ya maisha ya holy homl
9.he uliwahi kwenda jera

Hizi zote ni firee
 

Hii nayo ilikuwa kali sana, muhusika na msimuliaji Mzee wetu JBourne59
 
Ukipata wasaa utufanyie maneuver ya link mkuu🙏
 
Mimi nishakuwa sn addicted na story mbali mbali humu..ila ktk zote hizo nimevutiwa sana na hizi:
01.Peniela(Patrick Ck)
02.Anga la washenzi(S.Mollel)
03.Vipepeo weusi(Habib Anga)
04.Siri (Patrick Ck)
05.Tai kwenye mzoga(kevin Mponda)
06.Ufukwe wa Madagascar (Kevin Mponda)
07.Nyuma yako (S.Mollel)
08.Mkufu wa malkia wa Goshen(S.Mollel)
09.Baradhuli mwenye mikono ya chuma(S.Mollel)
10.Mauaji ya kasisi ...
Ukizisoma hutojutia muda wako....
 
Mauaji ya kasisi ndo cjaisoma hapo
 
Mkuu naomba link ya Telegram
 
Story za kweli ndiyo zenyewe, binafsi na story ya kweli kwenye life yangu ila sijui kuandika, kuandika ni upako aisee, na hivi watu wanajua kuzodoa nitishia episode 1 tu.
nitafute nikusaidie kuiandika ndugu
 
Mimi iliyo nigusa ni simulizi ya George stinney.
Ipo humu ila ngoja niwagusie kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…