Chubbylady
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 621
- 1,018
Sasa tupo mbele zaidi ila binafsi sikusoma hicho kitabu cha 18 sijui kitapostiwa lini hapa.
Lina naye alienda wapi baada ya Kelvin kukamatwa?
Aisee nilipitwa na hiyo drama kizembe hadi najihurumia πLina aliangushwa gorifani sikumbuki na nani ila najua ni plani za kelvin afu akasingiziwa lisa ndo kafanya ivo[emoji3064][emoji3064] walijenga chuki sherly alimchukia sana lisa alipokuja kujua ukweli aliumia sana uzuri kaka ake kwa mama na mume wa mama ake (the Tshombeβs) walimwelewa lisa sanaa[emoji119][emoji119]
Hivi Chubbylady huwezi hata kusimulia japo kwa kuungaunga hicho kitabu cha 18?kuhusu kupostiwa hilo sasa tusubiri mwandishi hata mm sijasom kitabu cha 25 hapatikani toka mwezi wa 6 anadai yupo masomoni[emoji27]
Hebu tuletee mwendelezo acha kukenua meno π[emoji3][emoji2]
AiseeAlvin anafukuzwa katika kampuni. Baa ake mdogo na mjomba ake Alvin wanauza hisa zao. Kwa Lina(hapa nilipasahau [emoji3]). Sasa kuna siku Alvin anapigiwa sim na uncle wake kuwa kuna mtu anataka kuongea nae kuhusu ishu ya willy. Kumbe n kelvin na Sara ndio wamewatishia uncle wake na Alvin Ili Alvin aende pale. Alvin anapofika anakuta Giza anauliza mbona Giza mara anatokea kelvin Alvin anaanguka chin sawa anakuja na kumuinamia sikion na kuanza kumwambia maneno ambayo yanamharibu akili Alvin. Lisa anakuja pale na Alvin anapelekwa hospital anapokuja kuzinduka anakuwa na akil kama za mtoto mdogo. Lisa anamhudumia hospital na wazaz wake na alvin wanamuambia lisa anaweza kuendelea na maisha yake endapo atachoka kuish na Alvin.
Baada ya kelvin kuchukuliwa na familia ya Tshombe na Lisa kujulikana n mtoto wa sherry na seneta gitaru kukamatwa kwakuwa n mhaini hajaendelea mwisho wao ni upi akahamia Kwa wahusika wengine ambao ni Pamela na rodneyAyaaa duh tumepitwa na mambo mengi sana na mazuri natamani kujua kuhusu familia ya Tshombe na Lisa na huo mwisho wa lina ulivyokuwa, Simulia hivyo hivyo tupate chochote kile[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji847]
mwendeleZo Bado maana Hadi sahv kaishia kitabu Cha 26, amesema yupo masomoni.
Amina [emoji120] nawe ubarikiwe maana kusoma sio kazi ndogo