Alvin anafukuzwa katika kampuni. Baa ake mdogo na mjomba ake Alvin wanauza hisa zao. Kwa Lina(hapa nilipasahau [emoji3]). Sasa kuna siku Alvin anapigiwa sim na uncle wake kuwa kuna mtu anataka kuongea nae kuhusu ishu ya willy. Kumbe n kelvin na Sara ndio wamewatishia uncle wake na Alvin Ili Alvin aende pale. Alvin anapofika anakuta Giza anauliza mbona Giza mara anatokea kelvin Alvin anaanguka chin sawa anakuja na kumuinamia sikion na kuanza kumwambia maneno ambayo yanamharibu akili Alvin. Lisa anakuja pale na Alvin anapelekwa hospital anapokuja kuzinduka anakuwa na akil kama za mtoto mdogo. Lisa anamhudumia hospital na wazaz wake na alvin wanamuambia lisa anaweza kuendelea na maisha yake endapo atachoka kuish na Alvin.