Simulizi: Lisa

Simulizi: Lisa

Sasa tupo mbele zaidi ila binafsi sikusoma hicho kitabu cha 18 sijui kitapostiwa lini hapa.

Lina naye alienda wapi baada ya Kelvin kukamatwa?

kuhusu kupostiwa hilo sasa tusubiri mwandishi hata mm sijasom kitabu cha 25 hapatikani toka mwezi wa 6 anadai yupo masomoni[emoji27]
 
Lina aliangushwa gorifani sikumbuki na nani ila najua ni plani za kelvin afu akasingiziwa lisa ndo kafanya ivo[emoji3064][emoji3064] walijenga chuki sherly alimchukia sana lisa alipokuja kujua ukweli aliumia sana uzuri kaka ake kwa mama na mume wa mama ake (the Tshombe’s) walimwelewa lisa sanaa[emoji119][emoji119]
Aisee nilipitwa na hiyo drama kizembe hadi najihurumia 😄
 
kuhusu kupostiwa hilo sasa tusubiri mwandishi hata mm sijasom kitabu cha 25 hapatikani toka mwezi wa 6 anadai yupo masomoni[emoji27]
Hivi Chubbylady huwezi hata kusimulia japo kwa kuungaunga hicho kitabu cha 18?

Naomba jamani ujaribu dear.
 
Jamaniii kwahio mwendelezo umekuwa kimya tena tuendelee kusubiri miujiza ya wagaratia¿? [emoji7]
 
Chubbylady si mwandishi wetu pia angeweza kuandika hata kidogo kidogo ingependeza sana aaaaaaa!!!!
 
Kitabu Cha 16 Kwa ufupi.
Mathew na baba yake Tshombe walianza kuhis kuwa Lina sio mtu mzur na taarifa walizopewa kuhusu Lisa sio za kweli. Mathew anaamua Sasa kuja Tanzania na kuanza kufatilia historia ya Lisa n Lina ipoje. Ndio anapewa historia ya Lina yote na ya Lisa na wakati anaondoka anatekwa na kelvin. Kwakuwa alitaka akawaambie wazaz wake ukweli, kuwa Lina ndio ambae ana makosa na sio Lisa. Halafu alihisi Lisa ndio mtoto wa sherry kwasababu sherry amefanana na Lisa kuliko Lina......
Upande mwingine tunaona chester anapiga stop watu wa Tshombe kuhudumiwa katika hospital yoyote Nairobi Ili amsaidie rafiki yke alvin
 
Baada ya kumteka Mathew, kelvin alimtumia Tshombe kidole Cha mtoto wake wa pekee Mathew, Tshombe anajibu amkate vidole vyote tu maana kashindwa kujilinda mwenyewe. Tshombe anapiga stop makampuni kununua dawa zinazozalishwa na kampuni ya kelvin. Jambo linafanikiwa.....ila wakati huo huo ukweli unajulikana kuhusu Lina kwakuwa Tshombe alichukua nywele za mtoto wa Lisa na kuzifanyia vipimo kuona Je n kwel Lisa ndio mtoto wa sherry au Lina. Vipimo vinaonesha Kuna uhusiano kati ya mjukuu na bibi. Kwaio anajua Lina n muongo anafungiwa ndani ila kelvin anafanya mpango Lina anauliwa Kwa kusukumizwa Toka gorofani. Baada ya muda sherry anagundua kifo Cha Lina anapanga kumuumiza Lisa kwakuwa anahis Lisa ndio kamuua mwanae Lina. Anafungiwa hospital na Tshombe lakin anafanikiwa kutoka na kwenda kwenye kampuni na kuwapa hisa baba ake na lina
 
Alvin anafukuzwa katika kampuni. Baa ake mdogo na mjomba ake Alvin wanauza hisa zao. Kwa Lina(hapa nilipasahau [emoji3]). Sasa kuna siku Alvin anapigiwa sim na uncle wake kuwa kuna mtu anataka kuongea nae kuhusu ishu ya willy. Kumbe n kelvin na Sara ndio wamewatishia uncle wake na Alvin Ili Alvin aende pale. Alvin anapofika anakuta Giza anauliza mbona Giza mara anatokea kelvin Alvin anaanguka chin sawa anakuja na kumuinamia sikion na kuanza kumwambia maneno ambayo yanamharibu akili Alvin. Lisa anakuja pale na Alvin anapelekwa hospital anapokuja kuzinduka anakuwa na akil kama za mtoto mdogo. Lisa anamhudumia hospital na wazaz wake na alvin wanamuambia lisa anaweza kuendelea na maisha yake endapo atachoka kuish na Alvin.
 
Alvin anafukuzwa katika kampuni. Baa ake mdogo na mjomba ake Alvin wanauza hisa zao. Kwa Lina(hapa nilipasahau [emoji3]). Sasa kuna siku Alvin anapigiwa sim na uncle wake kuwa kuna mtu anataka kuongea nae kuhusu ishu ya willy. Kumbe n kelvin na Sara ndio wamewatishia uncle wake na Alvin Ili Alvin aende pale. Alvin anapofika anakuta Giza anauliza mbona Giza mara anatokea kelvin Alvin anaanguka chin sawa anakuja na kumuinamia sikion na kuanza kumwambia maneno ambayo yanamharibu akili Alvin. Lisa anakuja pale na Alvin anapelekwa hospital anapokuja kuzinduka anakuwa na akil kama za mtoto mdogo. Lisa anamhudumia hospital na wazaz wake na alvin wanamuambia lisa anaweza kuendelea na maisha yake endapo atachoka kuish na Alvin.
Aisee
 
Ayaaa duh tumepitwa na mambo mengi sana na mazuri natamani kujua kuhusu familia ya Tshombe na Lisa na huo mwisho wa lina ulivyokuwa, Simulia hivyo hivyo tupate chochote kile😋😋😋😋🤗
 
Hapa mdau umecheza kama pele mwana JF!
Ila jitahidi ulete tu ka mwendelezo ka huku mbele maana yaliyopita yamepita ili tugange tu na yajayo!
 
Ayaaa duh tumepitwa na mambo mengi sana na mazuri natamani kujua kuhusu familia ya Tshombe na Lisa na huo mwisho wa lina ulivyokuwa, Simulia hivyo hivyo tupate chochote kile[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji847]
Baada ya kelvin kuchukuliwa na familia ya Tshombe na Lisa kujulikana n mtoto wa sherry na seneta gitaru kukamatwa kwakuwa n mhaini hajaendelea mwisho wao ni upi akahamia Kwa wahusika wengine ambao ni Pamela na rodney
 
Hapa mdau umecheza kama pele mwana JF!
Ila jitahidi ulete tu ka mwendelezo ka huku mbele maana yaliyopita yamepita ili tugange tu na yajayo!
mwendeleZo Bado maana Hadi sahv kaishia kitabu Cha 26, amesema yupo masomoni.
 
Pamela na rodney wanafunga ndoa na kuanza kuish pamoja. Mwanzo mapenzi Yao yanakuwa mazur lakin baada ya muda Sara anarudi. Pamela anaona mabadiliko ya Rodney anamwambia Lisa na wanachunguza Sara anaish wap wanagundua kuwa kapangiwa apartment na rodney wanaenda kufanya vurugu Sara anampigia sim Rodney kusema Pamela kaja kumfanyia vurugu. Na Alvin anakuja anawachukua Lisa na Pamela wanaondoka wanamuacha Rodney na Sara na Pamela anafanya mpango wa talaka akisaidiana na Ian na Jessica. Pamela n mtoto wa rais aliyemuasil kwahiyo wanamuambia akaishi ikulu. Ila muda huo huo Kuna urafiki kati ya Eliza(charity),Pamela na Lisa. Sara alilazwa hospital ya chester Eliza akaenda akamteka akamtesa nusu amuue. Chester aligundua kuwa Eliza ndio kamteka Sara anamfata Pamela ikulu na kumwambia unatakiwa umuokoe rafiki yako Eliza na utapewa talaka na rodney. Anatoka ikulu anaenda na chester wanamkuta Sara anateswa na Eliza kamlemaza miguuu na mikono na sura kaiharibu sana. Chester anaondoka na Eliza anabaki Pamela ambae anakutwa na rodney kwaio akili za Rodney zinahis Pamela ndio kamteka Sara anampiga kwenye mbavu na kumvunja wakat ameanguka anakuja Ian ambae n mtoto wa rais anamsaidia Pamela na kumpeleka hospital. Pamela anapewa talaka na rodney baada ya Sara kugundulika alikuwa na mimba imeharibika kwaio Rodney anamuona Pamela kama muuaji anamuacha bila kumpa kitu chochote. Hapo ndio Ian anapanga plan za kuwa na pamela
 
Back
Top Bottom