Simulizi: Mauaji ya Mfanyabiashara Musa Hamis Mtwara, Machozi na Damu

Haya ndio madhara ya kupelekea form four failure huko polisi
Sasa hv magraduate wamejaa huko mbona, ukiangalia hao washukiwa wengi ni maafisa wa kati, na probably miongoni mwao ni graduates

Basi tu kuna kitu labda kinakosewa kwenye kuwapika huko Moshi chuoni
 
PHD ALIYOPEWA MSUKUMA APOKONYWE APEWE HUYU MGANGA WA KIENYEJI
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], ametisha sana
 
Mwigulu Nchemba vp yule jamaa ulisema si Police aliyemtishia Nape........ ilikuwa ni Kwa faida ya nani ndugu x-waziri wa Mambo ya ndani
 
Njaa polisi. Mtu kumiliki million 33 tu imekuwa nongwa. Hawa polisi wanatakiwa wafinywe pumbu hadi kinyesi kiwatoke. Sasa million 33 tu ndo wanamuua kijana wa watu mchapa kazi anaetafuta kwa jasho lake. Sijui waligawana ngapi ngapi. Hatari kwa kweli.

Zis komment iz not ladylike [emoji848]
 
Naionea huruma familia ya huyo afande pia na yule mama mtwara, vijana wao wameondoka kwa haraka na kwa ukatili mkubwa sana
 
hivi IGP amecomment chochote kuhusu hiliu swala
 
[emoji28][emoji28][emoji28] mkuu huu Uzi wa majonzi ila comment yako imenifanya nicheke,

Pole kwa wafiwa wote
 
Yaani hili tukio linaumiza Sana jamani huyo kijana alikua mdogo kahangaika mwenyewe imagine kaacha shule akiwa form 2 kahangaika miaka yote hiyo halafu anadhulumiwa Mali na uhai pia, hapo namuwazia mama yake maskini maumivu yake hayaelezeki💔.
 
Na hilo ni tukio 1 kati ya 100 na limefumuka kwa bahati mbaya au kwa juhudi binafsi za wahanga. Hakuna mfumo wowote thabiti wa kufichua hayo maovu. Waziri anatakiwa akae pembeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…