Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,322
- 18,609
Hawa watu walitupora madini ya milioni 40 Itigi december 2020 tukawapa laki 4 watuachie madini wakachukua vyote pesa na madini baada ya kutushusha kwenye gari bila hata nauli. Kama upo Itigi ulishiriki kutudhulumu hizo mali mlizopata kwa jasho letu zitaputika zote kwa jina la Yesu, toshekeni na vipato vyenu na sio dhuluma.Mmm jamani dunia hii dunia Ina mambo mengi ya ajabu. Askari polisi walio wengi wanatumia mavazi yao kunyanyasa wananchi. Visa Ni vingi mno, sema vingine vinaisha kimyakimya.