Simulizi: Mauaji ya Mfanyabiashara Musa Hamis Mtwara, Machozi na Damu

Sijasoma hadi mwisho, ila hawa polisi wetu wababe mno.
 
Hawa wapuuzi wauaji mazafakaz idiots in uniforms uchunguzi wao umeishia wapi ?
 
 
Inasikitisha sana kwa kweli pana muda sitamani kujua hii habari imeishaje maana inaumiza unaona mtu kapata hela yake bila dhuruma anakuja kuuliwa na wahuni wenye siraha za Serikali inaumiza sana ila karma itawshukumu mpaka kwenye familia zao kwa kupeleka mali za kuiba na kutumia...
 
Upolisi ni kazi ya laana. Wanamuua mtu kwa sababu ya milioni 33? Hawa jamaa wehu kweli!
 
Upolisi ni kazi ya laana. Wanamuua mtu kwa sababu ya milioni 33? Hawa jamaa wehu kweli!
Vetting ndiyo tatizo kuna watu nawajua kabisa walipambana kuingia upolisi ili kwenda kutekeleza taamaa ya mioyo yao, kuna mmoja alikuwa kwenye task force enzi za Magu, alikuwa anafanya matendo ya kinyama sana, alinunua gari new model Harrier alijenga nyumba ya kisasa ila, leo Mungu ni mwema hatunaye tena, Korona ilimpitia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…