Dam55
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,641
- 11,958
- Thread starter
- #41
SIMULIZI:MPENZI JINI.
MTUNZI:LAMECK PETER.
SEHEMU YA 28.
...Tulipoishia...Ketaro Aliendelea Kumfuata Maimuna Bila Yakujuwa Mwisho Wa Safari Yao.Walifika Hadi Ndani Ya Msitu Na Kuketi Mahali.
KETARO:Sasa Maimuna Mbona Umenileta Hadi Huku Kote Mbali?.
MAIMUNA:Mazingira Haya Ninayapenda Sana Na Ndio Mana Nikakuleta Mahali Hapa Mambo Ya Kukaa Kwenye Nyumba Zile Za Udongo Mwishowe Zitudondokee Mimi Hata Staki.
KETARO:Hizo Sasa Dharau Umeshaanza Kudharau Maisha Ya Nyumbani Kwetu Sio.Ketaro Alinyanyuka Kwa Hasira Nakuanza Kuondoka.
MAIMUNA:Sasa Unaenda Wapi Mume Wangu Jamani.
KETARO:Niache Niende Zangu Nyumbani.Ghafla Maimuna Alimvuta Ketaro Mkono Nakuanza Kumnyonya Mate Mdomoni .Ketaro Alishindwa Kujizuia Alijikuta Nayeye Akitoa Ushirikiano Vyema Katika Tendo Hilo.Wakiwa Wanaendelea Kunyonyana Midomo Yao Pamoja Na Ndimi Zao Maimuna Alianza Uchokozi Alianza Kumvua Nguo Ketaro Taratibu Huku Akijivua Nguo Na Yeye Taratibu.Walijikuta Wakishiriki Tendo La Ndoa Lakini Wakiwa Wanashiriki Tendo La Ndoa Ketaro Alipata Kuona Alama Ambayo Huwa Ipo Kwenye Mwili Wa Najma.Ketaro Aliogopa Sana Na Kushtuka Akahisi Anaweza Akawa Najma.
MAIMUNA:Vipi Mbona Unashtuka Ivyo Kulikoni.
KETARO:Nimeshangaa Kukuona Na Alama Ambayo Anakuwaga Nayo Najma Na Siku Zote Wewe Sikuonagi Nayo Hiyo Alama.
MAIMUNA:Hata Usijali Hizi Ni Alama Tunazowekewaga Katika Jamii Zetu Usijali.Maimuna Aliendelea Kumpapasa Ketaro Huku Ketaro Akiwa Hisia Zimekwisha Poa.Lakini Muda Mdogo Tu Ketaro Alipandwa Na Hisia Na Wakashiriki Tendo la Ndoa Ipasavyo Tofauti Kabisa Na Siku Zote.Baada Ya Kama Yapata Masaa Mawili(2) Wakawa Wamekwisha Maliza Na Wakaanza Safari Ya Kurejea Nyumbani.
KETARO:Mke Wangu Hamna Siku Uliyonifurahisha Kama Leo Yaani Penzi La Leo Ni Tamu Sana Kuliko Siku Zote Jamani.
MAIMUNA:Usijali.Walitembea Kurudi Nyumbani .Walipofika Karibia Na Nyumbani Maimuna Akamwambia Ketaro.
MAIMUNA:Mume Wangu Samahani Kidogo Kuna Majani Fulani Nimesahau Kuyachupa Hapo Tu Naomba Nikuache Mara Moja Narejea Sasa Hivi.Ketaro Hakuwa Na Budi Kumruhusu Lakini Yeye Aliingia Zake Nyumbani.Alipofika Alimkuta Mtoto Akiwa Ameketi Kwenye Mlango Alienda Nakumbeba Na Kumwingiza Ndani Nakumweka Kwenye Kitanda Ili Apate Kulala Na Kupumzika Baada Ya Hapo Alitoka Nje Alipotoka Nje Alishangaa Kumuona Maimuna Akiwa Anatokea Kwenye Chumba Chake Nakumsalimia.
MAIMUNA:Mume Wangu Vipi Umzima.Ketaro Alishindwa Kuelewa Aliwaza"Huyu Maimuna Sinimetoka Nae Huko Sio Muda Sasa Mbona Ananisalimia Tena "Lakini Aliwaza Yanaweza Yakawa Masihala Yake Kwani Maimuna Alikuwa Ni Mtu Wa Masihara.
KETARO:Salama Vipi Umekwisha Pata Dawa Yako.Ketaro Alipomuuliza Ivyo Maimuna.Maimuna Alijuwa Ketaro Anamtania Kwani Jana Usiku Alidanganya Kuwa Anaumwa Tumbo Ili Kuepuka Kunywa Dawa Sasa Akajuwa Yakwamba Ndio Anamtania Umekwisha Pata Dawa Yako.Maiumana Alicheka Kidogo.
MAIMUNA:Hahahahaha Ndio Nimepata Usijali.Basi Ketaro Hakuwa Nashaka Jibu Hilo Lilimfanya Kuamini Yakuwa Maimuna Ndiye Aliyekwenda Naye Msituni.Muda Ulienda Na Jioni Ikatimu Kabla Ya Luyange Kurudi Maimuna Akawa Amekwisha Kutupa Kile Chakula Alichopewa Jana Usiku Na Kuosha Vyombo.Luyange Aliporudi Alikuta Vyombo Vimekwisha Oshwa Hadi Alivyompatia Chakula Maimuna.Kuoshwa Kule Vyombo Kulifanya Luyange Aamini Yakuwa Maimuna Alikula Chakula Jana Usiku.Muda Ulienda Na Usiku Ulitimu Kama kawaida Chakula Kilipikwa Na Watu Wote Walikusanyika Ili Wapate Kula Lakini Kwa Mara Nyingine Tena Maimuna Aliomba Chakula Chake Akalie Ndani Kwake.Basi Luyange Hakuwa Na Kipingamizi Alimkatia Chakula Nakumpatia Huku Ketaro Akiwa Mwenye Kuzidisha Chumvi Na Maneno Ya Uongo Mara Maimuna Hajazoea Kula Kwenye Kundi La Watu Wengi Nakadhalika.Muda Ulienda Na Usiku Ulizidi Kuwa Mnene Ilipofika Mida Kama Ya Saa Nane(8) Usiku Ketaro Alisikia Akiitwa Na Maimuna.Ketaro Alivua Mwili Wake Nakuondoka Kama Roho Nakuacha Mwili Kama Gogo Ukiwa Umelala Kitandani.Ketaro Alinyanyuka Nakutoka Nje Alipotoka Nje Alimkuta Maimuna Akiwa Kaketi Nje.Alikwenda Na Kuketi Nae Wakiwa Wote Katika Ulimwengu Wa Kijini Au Kichawi Wakiwa Hawaonekani.Walipata Kuzungumza Mengi Haswa Juu Ya Maisha Yao Na Malengo Yao Ilipofika Saa Kumi 10 Usiku Kila Mmoja Alienda Chumbani Kwake.Ketaro Alipoingia Ndani Tu Ghafla Mtoto Aliamka Nakuanza Kulia Kitendo Kilichomuamsha Luyange.Mtoto Alianza Kulia Huku Luyange Akiwa Hajuwi Sababu Ya Mtoto Kulia Ni Nini.Luyange Alimwamsha Ketaro Kwa Kumwita Lakini Ketaro Hakuamka Muda Huo Ketaro Alikuwa Akimtazama Mke Wake Luyange Jinsi Alivyokuwa Akimwita.Luyange Alimwita Mume Wake Zaidi Ya Mara Kumi(10) Lakini Hakuamka.Luyange Alipata Mashaka Kidogo Yakwamba Au Mume Wake Anaweza Akawa Amepatwa Na Matatizo.Alianza Kumtikisa Sasa Huku Akiwita Ketaro Aliona Leo Nitabutukiwa Ketaro Alianza Kutembea Taratibu Huku Akiufuata Mwili Wake Iliapate Kuuvaa.Ketaro Alipita Mbele Hapo Hapo Alipo Mke Wake Alipokuwa Akipita Mtoto Alikuwa Akizidisha Kilio Kama Vile Ameona Moto Mbele Yake Au Kifo....
ITAENDELEA....