Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukisherekea kwa keki na vinywaji niite nije kula 😂Ahsante sana Nourhan.
Badala kusherehekea kwa keki na vinywaji eti naandika simulizi hahahhaa...
Ibada maalum inanihusu kumshukuru Mola kwa umri na afya njema.
Nilivyosoma hiyo title ya hadithi, shetani ndo anajua
hah ukakimbia kijiinNilivyosoma hiyo title ya hadithi, shetani ndo anajua
Thank you my wangu 🥰
Asili yake ni neno SEGEMNEGEMkuu tupe the meaning of Msegemnege
aisee we jamaa nimekuvulia kofiaAsili yake ni neno SEGEMNEGE
Segemnege ni KIELEZI
Kielezi huelezea kitendo (KITENZI) jinsi kilivyo fanyika.
Mf.
Nourhan anatembea "taratibu"
Neno ANATEMBEA ni 'kitenzi' (kitendo)
Neno TARATIBU ni 'kielezi', kwa kwa mukhtadha husika anaelezewa jinsi Nourhana anavyotembea.
Msegemnege ni vivyohivyo kielezi, na mana yake kwa maneno mengine ni 'Shaghalabaghala', 'a~bila mpangilio', 'hovyo hovyo', nk.
---
Tangia alivyomuacha mke wake wa kwanza, mambo yake yanaenda segemnege.
---
Simulizi hii ni msegemnege
(m) hapo nimeongezea kuvunisha tu!
Kama vile baadhi ya watu wa Tanga, Mombasa na Zanziba wavumishavyo maneno...
mf.
Meli => Jimeli...
Honda => Jihonda...
kama vile baadhi ya watu wa kanda ya ziwa wavumishavyo maneno...
mf.
Baiskeli => Libaiskeli
Moyo wangu umekudondokea => Limoyo langu limekudondokea
Kama vile watu wa kanda ya magharibi wavumishavyo maneno kwa kudunisha...
Hela => Kahela
Simu yake nzuri => kasimu kake kazuri.
___
Bila shaka umepata mwanga.
Tupo pamoja😊Ngoja nitege mingo hapa.
Salasala Mbezi juu.Happy Birthday.
Ukisoma unaona maisha ya watoto baada ya wazazi kufariki.
Hasa kifo kama hicho ambapo watoto wote walikuwa bado hawajaweza kusimamia kwa miguu yao.
Na usumbufu wa mahakama ni tatizo lingine
Nitarudi kuendelea kusoma.
Keki ni wapi huko?
Nimefika Mzee