Simulizi: Msegemnege

Simulizi: Msegemnege

Tupio la XXVII – Kuelekea Kilimanjaro

Ilipoishia…

“Hapa sasa mambo yameshakuwa mengi, itabidi nimkabidhi Alex mambo yangu ayaendeshe, mie nisingizie naenda Nairobi kwenye mambo ya Kampuni nilioachiwa na baba…” alisema Queen.

“That sounds good!, naona sasa akili yako inafunguka…”

Waliongea siku hiyo kwa kirefu sana maongezi ambayo hayakuwa ya kawaida kwao, yalionekana ni kikazi zaidi na Queen alianza kuelekea kwenye hali ya kiutumishi.

Sasa endelea…

Siku tatu baadaye, hatua za awali zikawa tayari, Queen akatakiwa aripoti chuo mkaoni Kilimnjaro.

“Shogaangu, itabidi unyoe nywele kabisaa huku huku, na wala usiende na mzigo mkubwa, chukuwa backpack yako ndogo tu kwa vile utakuwa na hela usijali sana kuhusu mavazi, maduka yapo Kilimanjaro pia…” Mourine alikuwa anampa dondoo kidogo za kwenda nazo chuoni.

Mourine alikabidhi madaraka yake ya uendeshaji wa duka, usimamizi wa ujezi Masaki na mambo mengine kwa nduguye Alex…

“Sintokaa sana Nairobi, labda wiki tano kisha nitarudi, nimekuachia majukumu kama akiba, naomba unisimamie shughuli zangu…” Mourine alimuelekeza nduguye

Nyumba aliyopanga Mourine Masaki iliendelea kuwa chini ya Mourine pamoja na gari pia alimuachia Mourine alitumie.

Siku ya safari, Mourine na Alex wakitumia gari la Queen walimsindikiza mapema asubuhi hadi eneo la Shekilango alipopandia basi liitwalo Kilimanjaro Express linaloelekea Arusha.

“Alex, ninapitia Arusha kwanza kuna mtu nitakutana naye kisha kesho asubuhi ndio nitavuka mpaka kwenda Nairobi…” Alijisemesha pale Queen.

Walisubiri hadi basi lilivyoanza kuondoka na wao wakaanza kurudi kuelekea Masaki nyumbani kwa Queen.

“Handsome mlokole! uko vizuri!” Mourine alianza uchokozi wakati wa kurudi akimtania Alex aliyeonekana ni mlokole mbele ya macho ya Mourine.

Alex alikuwa amevaa kikaptura kifupi na tshirt nyeupe iliyomfanya aonekana kijana zaidi, usoni alikuwa na mng’ao wa steaming na scrub maridhawa za saluni huku kichwani akiwa na nywele fupi zilizowekwa wevu kwa mbaali.

“Unanukia vizuri Alex, pafymu gani hiyo?” Mourine alizidi kumdodosa Alex ambaye kimawazo alionekana yupo mbali sana…

“Aaaaa hii ni atlantis…” Alex alijibu

“Mmmh, itakuwa ya bei ghali sana hiyo…” Mourine aliuliza swali linguine…

“Hapana, hii nilinunua laki mbili na nus utu, wala siyo ghali…” Alex alijibu huku arambaza simu yake.

“Inanunikia vizuri sana, mie nimeipenda…” Mourine alichombeza.

“Kama umeipenda ngoja tukifika nyumbani nikupatie, hapo kwenye mataa utaingia njia ya kwenda mabibo kisha mtaa wa kwanza utaingia njia ya kushoto…”

Alex alisema na sasa anasimulia…

Tulivuka taa za Urafiki kwa kuzunguka kufuata maelekezo baada ya marekebisho ya njia za mwendo kasi kisha tukachukua njia ya kueleke Mabibo na tulivyofika mtaa wa kwanza wa njia iigiayo gari tukaifuata hiyo hadi ntulivyofika nyumbani.

Sikutaka Mourine alingie ghetoni kwangu, hiyo alipaki gari pembeni nami nikashuka fasta kwenda kumchulia ile perfume ambayo sasa ilikuwa ipo na ujazo chini ya nusu.

“Hii hapa dada…” Alex alimpatia Mourine ile perfume

Mourine akajipulizia mkononi nyuma ya kiganya kisha akainusa kwa hisia na akasema…

“YYess, this is the one!...”

“Karibu ndani dada upaone ninapoishi…” Alex alikaribisha ile ya ‘kiswahili’ bila kumaanisha na akawa anashuka kwenye gari…

“Skiza Alex, twende Masaki, unywe chai kwanza, tupige stori mbili tatu kisha ndio nikurudishe, kwani una haraka gani jumapili hii yote na asubuhi hii?” Mourine alisema huku akiweka gia kweye “D” na kuanza kuondoa gari hata kabla Alex hajajitetea kwa lolote.

Nikaona Mourine anaendesha gari kwa kasi kuelekea barabari kuu ya Morogoro kisha akakunja kushoto kama tunaenda Ubungo lakini kwenye mataa akaingia kushoto kuzunguka kwa ajili ya kubadilisha uelekeo kurudi kuelekea Magomeni.

Mimi niliona isiwe tabu, kwanza kweli njaa ilikuwa inaniuma, halafu nilikuwa nasikia uvivu kujipikia, pili ni kweli siku nyingi sijaenda kupaona anapoishi dada, na hata pia kwenye site yake ya ujenzi sijapitia kuangalia maendeleo hata kwangu pia ingawaje juzi tu nilipitia. Nikatulia nisikilizie upepo.

Aliendesha gari kwa kasi, hadi barabara ya bibi Titi kisha kupinda kushoto na kuchukua barabari ya Ali Hassan Mwinyi ambapo alivuka daraja la Salenda akakunja kulia kandokando ya bahari na kuelekea Masaki.

Siku hiyo barabarani hapakuwa na magari mengi, hivyo tulitumia muda mfupi hadi kufika Masaki.

“Twenye nyumbani kwetu kwanza kabla hatujaanza kuzurura…”

Mourine alivunja ukimya na kukunja kona ya kushoto, mbele kidogo akakunja kulia na kunyoosha hadi alipokaribia nyumbani kwao ndio akakunja tena kulia na kulikaribia geti, na mlinzi alipoliona lile gari tu alifungua geti haraka tukawa tumeingia ndani.

Apartment waliyopanga ilikuwa na sehemu ya chini ambako kuna sebule, jiko na dinning room na chumba kimoja, na juu kuna masterbedroom mbili. Akafungua mlango tukaingia mle ndani.

“Karibu sana handsome mklokole…” Mourine alinikaribisha kiuchokozi

Tangia tunatoka Shekilango kumsindikiza dada niliona dalili za uchokozi wa kimahaba, lakini nilikuwa nampotezea sikutaka kuonesha kama nimegundua kitu. Nikakaa kwenye sofa nzuri, akaniwashia tv yeye akaendelea na harakati za kuandaa kifungua kinywa.

Usiku wa jana sikuwa nimekula vizuri na nililala mapema, hivyo niliamka na njaa sana, akina Mourine walinipitia eti niwasindikize Shekilango, hivyo niliamshwa mapema saa kumi na moja asubuhi ndio maana hata nilivyotoka nilitoka na kikaptura na tshirt chini nimevaa sandals za ngozi.

“Ngoja niandae breakfast haraka haraka ili tutoke zetu kuzurua…” Mourine alisema alipokuwa ameshuka ngazi sasa akielekea jikoni.

Alibadili nguo na niliona ana matone matone ya maji kama vile ametoka kuoga, alivaa shimizi ambayo haikufunika vizuri kitovu chake na kwa chini alivaa sket fupi sana isiyofunika magoti yake. Mimi nilikuwa bize na simu nikipitia grupu la whatsapp la chuo, tv ilikuwa inaniburudisha tu kwa sauti za watangazaji mpira, hadi sehemu yenye msisimko kwa sauti ya mtangazaji ndio nakodoa kuangalia tv.

Punde si punde akaniita kwenye meza ya chakula. Ilikuwa ni ile aina ya dinning room ambayo ipo jirani kabisa na jiko ikitenganishwa na ukuta mfupi sana kiasi cha mtu aliye dinningroom kuuona aliye jikoni.

Nikaacha simu yangu pale sebuleni na kuelekea kwenye meza ya maakuli.

“Sijala korosho siku nyingi…” nilisema nilivyo kaa pale mezani na kuona draft ya breakfast ilivyopangwa, mayai ya kukaangwa, juisi ya machungwa, mikate na vitu vingine vidogovidogo zikiwemo korosho.

Tuliendelea kula pale huku akinipigisha stori nyingi za uongo na ukweli muda mwingi akinitania lini nitaacha ulokole wa kukataa kunywa pombe.

“Lakini ulevi wako mie nimeshaujua maana huvuti sigara wala hunywi pombe…” Mourine alitania, tena hii ni mara ya pili, mara ya kwanza ni kule Tabata nilivyoonana naye kwa mara ya kwanza.

“Mimi siyo mlokole, ila pombe sipendi tu maana naona nikinywa kichwa kinaniuma sana...” Nilijitetea

“Wewe mlokole tena grade ya juu…” Mourine alikazia

“Kwanini unasema hivyo dada!” Niliuliza

“Si unaona sasa!, nilikuambia wewe mlokole, halafu huna hata dem…”

Ni kweli sina dem, maana Emmy si demu wangu, kwanza alishanipiga kibuti lakini amerudi kwa kasi na dalili zote zinaonesha anataka hela wala si uhusiano endelevu wa mapenzi. Hivyo, ni kweli Mourine alikuwa ananichana kiaina.

“Kweli dada kwa sasa sina dem, lakini nikitaka demu yeyote nimpendaye nampata…” Nilijibu.

“Dadaa, dada, dadaa dada, dada yako yuko safarini huko anaelekea Arusha, nilikuambia niite Mourine!” Mourine aliniambia huku akinilegezea macho.

Kiukweli Mourine ameumbika, ngozi rangi nyeusi ile ya mng’ao, umbile halisi la kiafrika, meno meupee na mwanya kwa mbali. Top aliyovaa ilikuwa inaacha wazi sehemu kubwa ya kifua chake kiasi ya kufanya matiti yaonekane vyema ingawaje chuchu zilikuwa zimezibwa.

“Naomba kaniletee maji ya baridi…” Ilibidi nimsimamishe kinguvu nipate kumuangalia upya mzigo…

“We naye kuendekeza maji ya baridi, maji ya uvuguvugu ndio mazuri…” alisimama na kuelekea usawa wa friji na kufanya nikague kwa mara nyingine tena uumbwaji wake…

“Leo sijui kama nitatoka salama hapa…” nilijisemea kimoyomoyo

“Ataniona mlokole kweli huyu nikimuacha na leo…” niliwaza

Mara Mourine akarudi na maji kwenye jagi kisha akanimiminia kwenye glasi lakini alimimina akiwa ameniinamia kiasi cha kufananya matiti yake yaniguse usawa wa mashavu yangu na sehemu ya bega.

“Sasa huku ni kutiana nyege…” nilijikuta nasema kiutani

“Walokole nao kumbe wanapataga nyege, kukutamanisha kote sioni mnara ukisoma…” Mourine alinichokoza.

“Huu huwa hausomi hadi niwashe data…” nilisema

“Washa sasa unasubiri nini!” Mourine alijibu huku akienda sehemu yake kumalizia ile chai iliyobaki.

Mimi tayari nilikuwa nimeshamaliza kunywa chai na nilisukumia na juisi na ndiyo iliyonipa kiu ya kusuuzia na maji baridi.

“Nitawasha, lakini hakuna kukimbia…” Nilitania

“Yani wewe unikimbize mimi! Hivi unajuwa mimi ni professional?, mimi na dada yako ni masters au unajisahaulisha?” Mourine aliuliza

“Najuwa, lakini nadhani mnapataga mibaba vibonge yenye hela zao goli moja tu chali, mnakula kiulaini sana!” Niliamua kumchana sasa na yeye!

“Kumbe hunijui vizuri, hebu ndenda kajimwagie maji kwanza kupunguza joto…” Mourine alidhamiria mechi isichelewe, akataka nikaoge…

Nilivyosimama akasema…

“Ona sasa, mnara ni 2G, utaweza kweli wewe!...” macho ya Mourine yalikuwa yanaangalia kwenye zipu ya kikaptura changu nilichovaa…

“Aaaa hii ni ‘grower type’, leo utajua hujui…” Nikamjibu na kuanza kuelekea usawa wa ngazi ili nipandishe juu, sijui hata bafu lilipo lakini bahati nzuri naye akasimama akawa ananifuata…

“Kama ulijuwa, bafu la chini chemba yake imeziba, panahitaji kuzibuliwa…, njoo huu upande wa kushoto ndio room yangu huko kwa Queen amepafunga…” Mourine aliniongoza alipoona napotea njia.
---

Niliingia bafuni kama nilivyo, pekupeku na kikaptura changu pamoja na tshirt, bahati nzuri nikakuta kuna ndala za bafuni ingawaje zilikuwa ndogo lakini nilizivaa hivyo hiyo, nikatoa nguo zangu zote na kuzitundika kwenye bomba la kutundikia nguo lilikukuwemo bafuni mle.

Nikaangaza mule bafuni nikakuta kuna chupi tatu zimeanikwa, nikaisogelea moja nikainusa, mmmmmh, harufu nzuri ya manukato ya sabuni hahahaa.

Nikaanza kujisaidia kwanza na kujisafi na kuflash kisha ndio nikafungulia maji ya bomba la mvua na kuanza kuoga. Nilitumia shampoo zilizokuwepo na sabuni ndogo ya emperial niliyoikuta. Hakika nilifurahia maji yale ya uvuguvugu na yasiyo na chumvi chumvi kama ya kwangu kule manzese…

Wakati naendelea kujimwagia maji baada ya kuwa nimeshajisuuza sabuni yote, ghafla nikasikia ngongongo!

Sikujibu, nikafungua mlango na kuchungulia…

“Nimekuletea taulo…” Mourine alikuwa ameshika taulo kwa kulitandaza mkono mmoja ameshika pembe hii na mkono mwingine pembe hile kiasi cha kufanya yeye aonekana kichwa tu na miguu kwa mbali, lilikuwa taulo lile kubwa.

“Oh, ahsante, nikanyoosha mkono kulipokea…” , la haulaaa! Kumbe hakuwa amevaa nguo bali bikini tu zile za Kamba. Nakumbuka ilikuwa rangi nyekudu.

Alivyogundua kuwa nimemuona mwili wake akasema…

“Ngoja nije nikusugue mgongoni…” akawahi kuingia kabla sijafunga mlango. Sijui nilikuwa nimezubaa nini!

Tukajikuta tupo bafuni wote, mimi uchi wa mnyama yeye na bikini kamba, moja kwa moja akaenda kwenye shower na kujilowesha…

Macho yangu yakaona vitu vizuri kwa ukaribu zaidi, uhuru mkubwa, hakuna hofu ya kubanwa na muda wala kufumaniwa, mnara ukaanza kupanda…

Mnara ulipanda hadi ukawa unataka kufikisha nyuzi 150, lakini maumbile yangu ni yale mnara ukipanda basi unakuwa mkubwa kwa unene na unaongezeka urefu (grower type)

Tulikuwa tumeshakaribiana sana na Mourine, mti nyama ukawa umemgusa tumboni lakini si kwa kumchoma bali kwa mlalo ambapo kichwa kilikuwa kinaangalia juu.

Kwa mparazo ule, ilibidi Mourine arudi nyuma kwanza aangalie kilichomgusa…! Mara akashusha pumzi ndefuuu kisha akasema…

“Wala sikutegemea kama kitu kipo namna hii, hongera!”

“Nilikwambia hii ni grower type ulifikiri nakutania…”

Mourine akachukuwa kichupa fulani hivi kwenye vile vichupa nilivyovikuta bafuni pamoja na shampoo, akajimiminia kile kimiminika kiganjani mwake kisha akanipakaa tumboni na kuanza kufanya kama ananipaka sabuni, ilikuwa haitoi mapovu, yalikuwa kama mafuta fulani hivi akawa ananisinga kuelekea ikulu.

Lengo lake hasa alikuwa anataka aushike mti nyama na kupima….

Wanawake wana mbinu nyingi sana ya kupima miti nyama kabla ya matukio…

Akasinga mti nyama weee mie namuangalia tu anavyohema ingawaje nami nilikuwa naumia kwa jinsi misuli ilivyo chachamaa…

“Tutoke huku ukanifute maji kwanza…” Nimumuambia ili tupate uwanja mpana wa kushughulika na afya ya mwili na akili.

Nikawaza, leo nauza mechi kizembe, lakini tulivyofika mle chumbani, akatoa ile bikini yake akaitupa kule kama haijali tena, akavuta droo fulani kwenye dressing table akatoa vipimo ya VVU.

Uhuuuu, nikahema na kusema … “Afadhali unavyo…”

Yeye kimyaaa hakujibu kitu, akanipa ishara ya kutaka kunitoboa, nikampa mkono akashika kidole kimoja na kukifuta kwa alcohol iliyokuwa kwenye karatasi maalum kisha akanitoboa na kuweka damu kwenye kipimo, naye akajitoboa pia kisha akachukua kichupa fulani kina maji maalum akaweka tone kwenye kipimo changu na tone lingine kwenye kipimo chake kisha akaviweka kwenye dressing table halafu akaja na kuanza utundu wake kwa kushika tena mti nyama kwa mkono ambao hajautoboa, kuniangalia usoni huku mkono mmoja akiwa amebana ile karatasi yenye alcohol akiitumia kama pamba na nikiwa nimefanya vivyo hivyo huku mkono mwingine nikibinya binya nyama alizo jaaliwa tukiwa zero distance tumesimama.

Itaendelea…
 
Mnara ulipanda hadi ukawa unataka kufikisha nyuzi 180, lakini maumbile yangu ni yale mnara ukipanda basi unakuwa mkubwa kwa unene na unaongezeka urefu (grower type)

Sawa JB si umeamua kututia nyege
 
JBzooo heshima yako bro[emoji1544]🫡. Tupo wengi tunaikong’otea, bonge moja la story fulan hivi lenye ujazo wa maujuzi ya kina Wille Gamba.
 
Tupio la XXVIII – Not retired at 45

Ilipoishia...

Alivyokuwa anatoka getini, yule askari jeshi aliyemfungulia mlango safari hii alikuwa amesimama kando na geti likihudumiwa na askari mwingine ambaye pia ni MP, ilibidi akauke kumsalimia…

“Jambo afande!” alisalimia yule MP wa kwanza huku yule mwenye kushughulika na geti akimfungulia geti dogo apite.

“Jambo, endelea!” alijibu salamu huku akiitoa fimbo yake kwapani na kuanza kutembea nayo kwa mikogo!

“Hapa kwanza nielekee maeneo ya Diamond Jubilee nikapate chakula…” alijisemea huku akitembea kuelekea upande huo wa diamond jubilee.

Sasa endelea…

Afande staff sajini Juma baada ya mizunguko yake huko Posta akitokea Diamond Jubilee alirudi nyumbani usiku wa saa nne kasorobo. Alikuta familia yake wameshakula, lakini bado wanafuatilia tamthilia kwenye runinga.

Naye akaandaliwa chakula chake akawa anakula huku akihadithia siku yake ilivyoenda tangia alivyoondoka…

“Leo ilikuwa siku njema sana kwangu…” aliongea huku akiwa anakula…

“Wamenirudishia tepe zangu, hivyo kuanzia sasa mimi ni staff sajenti Juma…” Aliongea kwa madaha huku akitabasamu, tabasamu ambalo lilikuwa linazuiwa lisionekane vizuri na matonge ya ugali yaliyokuwemo mdomoni.

“Kumbe bhana ofisi ya usalama waliniandikia ripoti nzuri, ndiyo iliyonifanya nirudishiwe tepe zangu na hivi ninavyosema, natakiwa nijiandae kwa safari ya masomo mengine huko nje, hapa nasubiri oda tu itoke, na nikifanikiwa kumaliza wanaweza kuniongezea cheo nikawa afisa mteule daraja la pili…”

Afande Juma aliendelea kueleza pamoja na matarajio ya siku zijazo…

“Kwa maana hiyo basi suala la kustaafu mwakani halipo tena, maana muda huo nitakuwa kozi, na nikirudi wakinipandisha daraja kustaafu itakuwa hadi miaka kumi ijayo au zaidi…”

Familia nzima ikawa na furaha na kucheka hasa pale baba Omari kila mara anapoangalia viiii zake kama bado zipo, na mara kwa mara alikuwa anatumia ile fimbo yake nyeusi iliyodariziwa na ngozi laini aliyopewa kule makao kuoneshea vitu…

“Wewe Omari, niletee maji ya kunawa…” hapo afande alitumia ile fimbo kunyooshea maji yalipo, yani ilikuwa ni furaha na madaha ya kila aina.

Kesho yake afande Juma kazini Lugalo, alienda ofisi ya usalama jeshini na kumshukuru mkuu wa kitengo na wote aliowakuta mule ndani kwa kumuandikia mapendekezo mazuri, pia alienda kwa ‘osii’ wake kuripoti baada ya kutoka kwa ‘sioo’ kupeleka mrejesho.

Flash back

Jana jioni majira ya saa mbili na robo hivi Omari alipokea whatsapp video call kutoka kwa Nasreen…

Nasreen: ‘Hi’

Omari: ‘Hallo’

Nasreen: ‘I told my dad and family about my forgotten vow to them, they though I forgot too but it was in my dream everyday that someone will find the bottle, so I told them about you and they were amazed and wanted to me to fulfil my vow, So Omari I have very good news to you today’

Omari: ‘Yes, tel me please!’

Nasreen: ‘You know what, Mom was like, so are going to marry Omari now! hahahha’

Omari: ‘Enhe’ Omari akajikuta anaongea Kiswahili bila kujua…

Nasreen: ‘So I told my mom that I’m not sure yet since we haven’t discussed with you…’

Omari: ‘Oookay, do you mean you are now proposing ?!’

Nasreen: ‘Not real, you have to come here first…’

Omari: ‘Wow, I am so eager to travel abroad and see you’

Waliongea mengi, lakini walihitimisha kwa Nasreen kumwambia Omari aorodheshe mahitaji yake ya safari kisha amtumie kwa whatsapp.

Siku ile Omari akiwa anakula na mama yake alishindwa kuficha furaha yake kiasi kwamba mama yake alimgundua na kumdadisi ndipo Omari akafunguka…

“Mama nisamehe sijakuambia lakini nina habari njema sana…” Omari alisema

“Enhe niambie mwanagu, habari zipi hizo?!” Mama Omari alihoji

“Mama nimeongea na Nasreen…” Omari akasita na kumuangalia mama yake usoni

“Nasreen ndio nani?” Mama Omari aliuliza

“Mama mara hii umeshamsahau Nasreen wa Bahrain?” Omari alijibu kwa kuuliza swali

“Ahaa, enhe, kuna jipya gani? Umekutumia chupa nyingine!” Mama alielewa kisha akaingiza utani

“Hapana mama, nimeongea naye kwenye simu, ameniambia nimuorodhoshee mahitaji yote ya mimi kwenda huko alipo kisha nimtumie kwenye whatsapp…” alisema Omari

“Enhe?!” Mama aliuliza kwa shauku

“Ndio hivyo, anataka niende tuonane ili atimize nadhiri yake…” Omari alimaliza

Sasa wakati wanaendelea na mjadala huo ndipo afande Juma akaingia na kukatisha stori bila kujua lakini akaleta habari njema zake kutoka makao.

Flash forward

Anasimulia Omari.

Jioni wakati wa chakula, ndio tukaanza mazungumzo ya pamoja kama familia kuhusu mimi. Hapo ilibidi mama ndiye ashike usukani kuelezea maana kuna vipengele alitaka virukwe mumewe asijuwe.

Alisimulia weee ile kwenye vipengele vya pesa hakusimulia bali alitaja ile dinar 20 kuwa ni ushahidi ambao anatakiwa aende nao pamoja na ile karatasi iliyokutwa kwenye chupa.

Afande Juma wala hakuwa na makuu, aliomba tu ile karatasi na ile noti ya Dinari 20 aione.

“Hii ni habari njema, lakini mbona Omari hukuniambia tangia ulivyoipata chupa?” Afande Juma alihoji tena kwa kunyoosha fipo yake...

“Nilikuwa sijathibitisha hadi nilipoongea na Nasreen yeye mwenyewe jana usiku, ndipo nikamueleza mama na leo mama ameona ni vyema tulijadili kwa pamoja…”

“Sasa hapa kuna cha kujadili?! Wewe orodhesha mahitaji yako ya safari kisha mtumie tuone sinema hii itaishia wapi!” Baba Amari alisema.

Hivyo ikanibidi niandike mahitaji yangu:-
  • 250,000 Passport na maandalizi yake
  • 2,500,000 Nauli na mahitaji yake
  • 200,000 manunuzi ya nguo
Hivyo nikamuambia nahitaji dola 1,200 ili kukamilisha safari.

Alichonijibu Nasreen ndio sikutarajia..

“1,2000 USD?, okay Omari, I will see what I can do” Nasreen alijibu meseji.

Nikawa na wasiwasi, sijui ataniona nina tamaa nimeandika hela nyingi! Kwa kweli sikuwa na furaha kama ya mwanzo baada ya jibu lile.

Inaendelea…
 
Nawashukuru mnao endelea kufuatilia simulizi hii ingawaje ni chai. mtanisamehe kwa makosa ya uchapaji kwa maana naandika moja kwa moja bila kuhariri. Sehemu za kurekebisha nitarekebisha nitakaporudia kuisoma. Eeee simulizi hii isinakiliwe na kubandikwa nje ya JF tafadhali.

Tupio la 29 laja muda si mrefu.
 
Tupio la XXIX – Mauzauza

Ilipoishia

“Nimemuogesha mwenyewe, nimemkagua, hana hitilafu yoyote, lakini bado hajaongea chochote, yupo jikoni anakunywa uji.” Mama Gift alisema.

“Basi vizuri, nimetokea Polisi, wamesema kesho asubuhi tuende na mtoto ili wafanye kazi yao…”
---

Sasa endelea…

Afande: “Eee kwa kuwa mmesema hana majeraha wala madhara ya kuingiliwa kimwili na hamuhitaji kesi yoyote basi hatuna budi kulifunga jalada, hivyo nitahitaji maelezo ya maandishi kutoka kwa mama wa mtoto…”

Mama Gift: “Sawa afande”

Afande: “Mtoto mwenyewe mpandishe hapo kwenye kiti nichukuwe maelezo yake…”

Mama Gift: “Mmmh, hajaongea huyu tangia nilipompata, huenda ikawa mambo ya kienyeji haya nitayashughulikia kienyeji ataongea tu…”

“Mama Kihwele, ungeacha tu Polisi wafanye kazi yao…” Balozi alipendekeza

“Hapana Balozi, nitachelewa, huyu inabidi niwahi kwenda naye Mpwapwa, tutapata majibu yote” Alijibu mama Gift kwa kujiamini.

Taratibu za kipolisi zilikamilika kisha Balozi na mama Gift wakarudi majumbani kwao lakini bado Gift akiwa haongei chochote inagawaje alikuwa anakula vizuri na afya ya mwili ilikuwa ipo sawia.

Flash forward

Mpwapwa kwa wakubwa

“Ni sisi!..”

“Tumemlinda kiti muda wote…”

“Mnatuwahisha kutoka…!”

Ni baadhi ya maneno yaliyokuwa yanantoka mtoto Gift kinywani mwake alipokuwa akitibiwa kienyeji huko kijijini Mpwapwa.

“Tulitumwa na wakubwa wetu tumchukue aende kufanya kazi muhimu Morogoro na ameshaimaliza kwa nafasi yake…”

“…Maruhani wake walikubali baada ya ushawishi wa Ruhani mkuu wetu wa mkubwa wetu…”

Maneno ya mtoto Gift yalikuwa yanawashangaza wazazi wake ambao wote siku hiyo walikuwepo hapo kijijini mpwapwa.

Ni kwamba Gift alikuwa ametekwa kimazingara, alitekwa ili aende kufanya kazi maalumu Morogoro, kazi ya kumuokoa mtoto ambaye malaika wa bibi yake ndio walikuwa na maelekezo hayo. Mtoto Onesmo alindwe kwa namna yoyote kwakuwa ana makusudi maalumu humu duniani ambayo ni manufaa kwa binadamu.

(Kuna uhusiano kati ya malaika wa mtoto Gift na malaika wa bibi wa Onesmo ambao wako katika falme moja.)

Baada ya matibabu ya siku tatu na kwa uchache wa malezo hapo juu, mtoto Gift alianza kuongea tena kwa ufasaha kabisa…

Flash forward

Gangilonga – Iringa

Baada ya wiki moja, wazazi waliondoka Mpwapwa na kurudi Iringa.

“Hebu tuelezee jinsi ilivyokuwa tangia siku ile nikutume sokoni…” Mama Gift alimuambia mwanae ajieleze…

Hapo ilikuwa ni jioni, nyumbani kwa Kihwele ambaye ni baba yake Gift, Balozi alikuwepo, Askari mpelelezi wa jalada lile pia aliitwa kwa kuombwa kuja kusikiliza, majirani pia walikuwepo.

Gift anaelezea.

Nilivyo nunua yale mahitaji, akaja mama mmoja akaniita kwa kuning’ona…

“Zawadi, zawadi “

Nilipogeuka ndipo nikamuona, alikuwa mama wa makamo aliyeonekana kama ananijua lakini mimi simkumbuki.

Akaniambia amenitafutia kazi ya kufanya Morogoro. Na kwamba yale mahitaji atayafikisha yeye nyumbani. Tulianza kutembea kurudi nyumbani kisha nikaona kizunguzungu na sikutambua kilichoendelea tena hadi juzi kule kwa bibi Mpwapwa.

Lakini juzi kabla ya kuondoka kule Mpwapwa niliota ndoto ndefu ya ajabu ambayo naikumbuka yote.

Niliota kuwa nimetafutiwa kazi ya dada wa nyumbani, nilikuwa naishi vizuri tu maana walikuwa hawanizuii kwenda kanisani. Mshahara wangu walikuwa wananilipa vizuri tu, walikuwa wananilipa elfu thelathini kwa mwezi na kila tarehe moja walikuwa wananipatia hela yangu ingawaje nilikuwa nawaambia waniwekee.

Jumapili ya kwanza nilipoenda kanisani nilichelewa lakini nilikuta watu wanendelea na ibada lakini mbele pale madhabahuni kulikuwa na joka kubwa sana aina ya chatu ambalo lilikuwa limezunguka hela.

Sasa wakati naingia nilisikia sauti ya kilio cha mtoto mdogo ambaye nilimtambua kuwa anaitwa Onesmo na akawa ananiita dada Zawadi dada Zawadi niokoe…

Kanisani mule hakuna aliyejali sauti zile za mtoto isipokuwa mchungaji ambaye alikuwa mama mmoja hivi alikuwa anamfokea kwa kumwambia tulia, tulia, tulia…

Kumbe yule mtoto Onesmo alikuwa anaogopa yule nyoka aliyekuwa anamtisha kwa ndimi zake. Basi nikaenda kumchukuwa yule mtoto na kumkabidhi mama yake kisha nikaondoka mle kanisani.

Lakini tena nikawa rafiki wa karibu na ile familia ya yule mtoto hadi siku wale mabosi wangu walikuwa wanahamia Dodoma nami nikahamia kwa ile familia ya Onesmo. Kuna sauti ikaniambia nisiondoke na chochote kutoka Morogoro wakati narudi Iringa, hivyo niligawa vitu vyote kwa watoto kisha nikapada basi hadi Iringa stendi mpya halafu nikapanda bajaji hadi mjini na nikashuka vizuri na kuanza kurudi nyumbani lakini nilipokaribia nikapatwa na kizunguzungu tena na kupoteza ufahamu hadi nilivyozinduka kule kijijini.

Watu wote waliokuwepo pale walipigwa na butwaa kwa simulizi ile, yule askari mpelelezi alichukuwa maelezo ili akaongezee kwenye jalada ili kama kuna lolote basi wangetumia yale maelezo kufanya kazi yao, lakini kwakuwa hakukuwa na kesi maelezo yaliwekwa kama kumbukumbu.

Majirani pamoja na balozi wote walimpa pole Gift na kumuombea ulinzi kwa Mungu kwa Imani zao mbalimbali.

Mama Gifti alishukuru kwa pole zile na baada ya dakika chache watu wote walitawanyika. Baba Gift na mama Gift iliwabidi warudi tena Mpwapwa tena baada ya siku chache baada ya kupata simulizi hiyo mpya ambako huko ndiko wakapata ufafanuzi wa kina.

Kwamba mtoto Gift alitekwa na viumbe visivyoonekana kwa macho, akabadilishwa jina na kuitwa Zawadi kisha kufanyishwa kazi za kiroho hadi malengo yalipotimia. Walielezwa mengi wakaridhika sasa kuwa mtoto wao yupo salama.

Flash back

Siku moja baada ya Gift kusimuliayaliyomkuta.

Polisi waliamua kufanya kazi yao kimya kimya, walishirikiana na idara ya upelelezi Polisi Morogoro kutambua nyumba liyokuwa akiishi mama Ustadhi ambaye alitajwa katika simulizi ya Gift.

Walikuta kweli kuna hiyo familia iliyokuwa ikiishi hapo lakini wamehamia Dodoma. Polisi walijuwa kuwa baba Ustadhi alikuwa ni mtumishi ofisi ya Halmashauri ya Mji kama dereva na mkewe alikuwa Mwalimu atika moja ya shule ya mzingi mjini Morogoro.

Polisi waliazimia kupata maelezo ya familia hiyo juu ya mtoto Gift.

Flash forward

Dodoma mjini.

Polisi kutoka Iringa kwa kushirikiana na askari polisi wa Dodoma, walifanikiwa kukutana na baba na mama Ustaadhi.

Nkuhungu nyumbani kwa Baba Ustaadhi.

“Ni kweli tukiwa Morogoro tulikuwa tukiishi na binti aitwaye Zawadi. Tulimpata kupitia madalali wa mitandaoni baada ya sisi kuweka ombi letu la kupatiwa binti wa kazi ili atusaidie kulea mtoto wetu mchanga.” – Baba ustaadhi alijieleza

“Tulijaza fomu zao online (house maid aid chap), kumbukumbu zipo tuliziprinti, na baada ya siku tatu tukaambiwa tukampokee mtoto stendi ya msamvu ambapo tuliambiwa anaitwa Zawadi…”

“Alisafirishwa tu kwenye basi la Upendo lakini hakuwa na msindikizaji…”

Askari baada ya kuomba nakala ya fomu walizojaza, mama Ustaadhi aliwapatia, wakazipitia na wakapiga picha kisha wakawarudishia ile fomu. Ikaishia kuwa kama kutakuwa na lolote watarejea kwa ajili ya msaada zaidi.

Polisi kitengo cha 'saiba' kikaingia kazini, kweli wakakuta huo mtadao wa kusaidia kupatikana kwa wafanyakazi wa ndani www.housemaidaidchap.co.tz na kweli wakakuta kuna mtiririko huo uliomhusu mtoto Gift.

Katika fomu yake ilionekana imejazwa kuwa mtoto Zawadi ana miaka 17, kabila Mhehe, lakini hana baba wala mama bali alikutwa mtaani akiwa katika mazingira magumu.

Aliyemuokota na kujaza zile nafasi alikuwa anaitwa Nghenakwe Nghaminyigwe, hapakuwa na picha yake wala namba za simu.

Polisi walipofuatilia majina yale ilibidi wafunge jalada la upelelezi huo na kuacha kama ilivyo. Ni kwamba waliaza kupata mauzauza na walipotaka kujua asili ya majina ‘Nghenakwe Nghaminyigwe’ waliambiwa kuwa ni asiyejulikana na mwenye kuona mambo yake yeye mwenyewe na asili yake ni Ukaguruni.

Itaendelea
 
Back
Top Bottom