Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuko wengi sanaa yanNawashukuru mnao endelea kufuatilia simulizi hii ingawaje ni chai. mtanisamehe kwa makosa ya uchapaji kwa maana naandika moja kwa moja bila kuhariri. Sehemu za kurekebisha nitarekebisha nitakaporudia kuisoma. Eeee simulizi hii isinakiliwe na kubandikwa nje ya JF tafadhali.
Tupio la 29 laja muda si mrefu.
Mzee JB.....Wangapi wame click hiyo link ya website hahahaha...
Aisee, Alex aliikula ile kitu bhana, ila siweki, labda weekend panapo majaaliwa.
JB usijali baba we post tu tutahariri wenyewe tukisoma hata kama chai usijali kabisaNawashukuru mnao endelea kufuatilia simulizi hii ingawaje ni chai. mtanisamehe kwa makosa ya uchapaji kwa maana naandika moja kwa moja bila kuhariri. Sehemu za kurekebisha nitarekebisha nitakaporudia kuisoma. Eeee simulizi hii isinakiliwe na kubandikwa nje ya JF tafadhali.
Tupio la 29 laja muda si mrefu.
Nanyonyesha unajua 😂Wangapi wame click hiyo link ya website hahahaha...
Aisee, Alex aliikula ile kitu bhana, ila siweki, labda weekend panapo majaaliwa.
Hahahaha
Pole, funga mbavu na khanga!
Ufukunyuku tu 🤣
Imefika hatimayeNaiona Jumamosi kwa ukaribu kabisa...