Simulizi: Msegemnege

Simulizi: Msegemnege

JBourne59 Mzee wetu vijana wako tunakuheshimu sana. Ni kweli tunajua umetingwa sana lakini dah.Ubora wa kazi zako unatufanya tuteseke na arosto kali sana.Tafadhali na wewe jaribu kutumia hekima na busara zako kutupia hata episode mbili tatu kupoza hii arosto.
 
Mzee tunakuheshimu sana mana hii namna sio poa ila ndo ukubwa dawa
 
Unaeza kuta brazee JBourne59 saiz yuko zake paradiso anatuchora tu na arosto zetu,anapiga stori na Jibril(a.s) akisema cheki hawa watu badala wafanye ibada ili nao cku ikifika waje huku Firdaus wenyewe wamekomaa na stori ya kutunga😆
Kwamba karest? Woiii
 
Unaeza kuta brazee JBourne59 saiz yuko zake paradiso anatuchora tu na arosto zetu,anapiga stori na Jibril(a.s) akisema cheki hawa watu badala wafanye ibada ili nao cku ikifika waje huku Firdaus wenyewe wamekomaa na stori ya kutunga[emoji38]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mshenzi wewe acha kumchuria
 
Back
Top Bottom