Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba karest? WoiiiUnaeza kuta brazee JBourne59 saiz yuko zake paradiso anatuchora tu na arosto zetu,anapiga stori na Jibril(a.s) akisema cheki hawa watu badala wafanye ibada ili nao cku ikifika waje huku Firdaus wenyewe wamekomaa na stori ya kutunga😆
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mshenzi wewe acha kumchuriaUnaeza kuta brazee JBourne59 saiz yuko zake paradiso anatuchora tu na arosto zetu,anapiga stori na Jibril(a.s) akisema cheki hawa watu badala wafanye ibada ili nao cku ikifika waje huku Firdaus wenyewe wamekomaa na stori ya kutunga[emoji38]
Kwamba karest? Woiii
Mpk nimecheka jmn et amoebaHuwez jua mkuu,hii dunia kila dkk watu tunaiacha,.....
Ila Mungu ni mwema sana,labda faza ana amoeba so anakuka dose,apone tu jmn
Yupo bwana busy na mambo ya family.Unaeza kuta brazee JBourne59 saiz yuko zake paradiso anatuchora tu na arosto zetu,anapiga stori na Jibril(a.s) akisema cheki hawa watu badala wafanye ibada ili nao cku ikifika waje huku Firdaus wenyewe wamekomaa na stori ya kutunga😆
Ishaisha mkuu[emoji16]Hii itafika mwisho lini
AfadhaliYupo bwana busy na mambo ya family.