Simulizi: Shanga za Bibi zilivyonipa umaarufu

Simulizi: Shanga za Bibi zilivyonipa umaarufu

Simulizi ya kweli...... SHANGA YA BIBI ILIVYONIPA UMAARUFU!! (season 2)
Msimuliaji................. KIDAWA
Umri................18+

Sehemu ya 18
Tulipoishia.......Jabir amekata tamaa na Kaka yake,kiasi kwamba hawezi kumzuia hasifanye mapenzi na mkewe Kidawa!
Kidawa aliyetoka kupokea kipigo kitakatifu cha mapenzi kiasi kwamba hakuwa na hamu tena!
Akiwa anatoka bafuni kujisafisha anamkuta shemeji yake amelala kitandani bakora yake ikiwa imevimba haswa!

Songa nayo.........

Sikuwa na hamu kabisa ya kufanya mapenzi.
Bakora kubwa ya shemeji iliniondolea nyege zote na iliniachia maumivu kwenye papuchi yangu!
Kitendo cha kumkuta Shemeji amelala kitandani tena yuko uchi,moja kwa moja kilinipa taswira ya kitakachotokea dakika tano baadae!
Kwa hali ile ni wazi kuwa shemeji anataka anikwangue tena!
"Shem!!!!",niliita kwa sauti ya mshangao!
Shem wala hakuitikia aliniangalia tu huku anatabasamu!
Nilisimama nikiwa na taulo tu sikutaka kusogea kitandani,niliamini Shem ana madawa akinigusa tu natoa tena Nampa yote bila chenji!
Shem kama vile alijua kuwa naogopa kusogea kitandani akaniangalia kisha akanyoosha mkono mmoja akawa kama anapiga kibao hewani!
Ghafla taulo langu lilianguka chini nikabaki mtupu!
Kisha akaanza kuniita kwa ishara ya kidole,niliogopa sana Ila sijui ni nini eti.
Nilianza kuzipiga hatua zangu taratibu mpaka kitandani.
Shemeji aliniroga akaipoteza akili yangu!
Nilifika mwenyewe nikapanda kitandani bila kuulizwa nikalala chali kisha nikapanua miguu yangu!
Shem alikuja akaingia katikati ya mapaja yangu!Ila hakuingiza kwanza,akaanza kuongea kwa sauti ya chini!
"Kidawa!!!",aliniita nikasisimka jamani mpaka leo sijui shemeji alikuwa na nini?
"Abee!",niliitikia kwa sauti ya chini pia yenye kubembeleza!
"Wewe ni mrembo sana, sikutegemea kama mdogo wangu angeoa mwanamke mrembo namna hii,hata aliyekuwa mkewangu hakufikii!!!"
"Sasa nani anafaidi ni yeye au Mimi?hahahahaaa nilimsubiri akioa na yeye ayaone machungu ya kuliwa mke!hahahahaaa nani anafaidi sasa mimi au yeye hahahahaaaaa!"
Aliongea shemeji huku ananiangalia kwa macho yenye uchu!
"Panua shemeji,panua miguu nimzamishe nyoka pangoni!Ngoja nikupe utaaaamuuuuu hahahahaaaaaa!panua niingize bakora shemeji wewe ni mtamu sanaaa!!"
Nilijikuta nasogeza miguu yangu na kuiacha papuchi yangu huru tayari kwa kupokea utamu wa shemeji!
Hapo nilisahau kabisa maumivu yote,nilichotaka muda huo ni kuiona bakora ya shem iko pangoni!
"Shem kwani unaniroga!",Ilibidi nimuulize muda huo bakora yake inanigusa gusa huko chini!
"Hahahahaaa,ni lazima ufanye mapenzi na Mimi Shem haka ikinibidi kukuroga ntafanya ivyo!!"
Taratibu nilianza kuskia bakora inazama pangoni ikiwa imejaa sana kiasi kwamba hadi inakwama kwama!
"Aaasssshiiiiii shemeji taratibu naumiaaaaaah"
"Pole shemeji,kumbe unaumia ngoja niongeze utamu!"
Alisema shemeji kisha akaichomoa bakora yake akaipaka mate kisha akaizamisha tena pangoni!
Alianza kunipa utamu kiasi kwamba maumivu sikuyasikia kabisa!!
"Unaskiaje shemeji!"
"Utamu shemeji,bakora tamuuu Shem unanipagawishaaa uuuuwiiiiiii!!!!"
"Shem umejifunza wapi mapenzi,napenda unavyoifinyia kwa ndani!"
"Tanga shem,kwa Bi Mwana aaashhhiiii aaahhhh tamuuuuh!"
"Haaaghh!hhagggh",alianza kutoa sauti shemeji nikajua tu mfinyio wangu haujamuacha salama!
"Nioe shemejiiii,nitorosheeeee aaghhh una bakora tamu sanaaa shemmmm https://jamii.app/JFUserGuide meeee!yes!yes!yesssss!"
Utamu ulikuwa umezidi nikajikuta hadi namuomba Shem anioe tu sasa ili tufaidi vizuri!!

*********""""""**********

Suma hakuamini alipoambiwa na Kidawa kuwa akitoka kazini apite kwa Kidawa!
Simu ilikata aliruka kutoka kwenye kiti chake akasimama akaanza kushangilia kama kaokota almasi mchangani!
"Yes!!!"
Alijipanga ili kuhakikisha anampa dozi nzuri na tamu sana mpenzi wake huyo alimmiss sana!

Sabrat alifika home akaingia bafuni akaoga kisha akajifunga kanga moja akakaa sebuleni!
Mawazo yake yote yalikuwa kwa Suma, mwanaume huyo alimchanganya sana binti huyu wa kijini!
Akajikuta anatamani muda ukimbie ili jioni ifike mapema Suma atoke kazini apitie kwake kumpa penzi!
Muda nao haukumtupa,hatimaye ilifika jioni!
Akiwa ameketi zake sebuleni alikuja mlinzi akamwambia!
"Boss!kuna mgeni wako mlangoni!"
"Nani!"
"Kasema anaitwa Suma!"
"Mruhusu!"
Hatimaye Suma alisimama mbele yake!
Uchu wa ngono aliokuwa nao Sabrat ulimfanya mate yamdondoke,kitendo cha kumuona Suma kasimama mbele yake kilimfanya kisimi chake kisimame vinyweleo pia vilisimama haswa,hisia zilikuwa juu kuliko kawaida!
Suma aliganda kama sanamu,kichwani yalipita mambo mengi akili haiamini kama Kidawa kamruhusu tena kuingia ndani mwake!
Sabrat hakusubiri hata Suma aongee alimrukia wakaanguka kwenye sofa,'puuuhh'.
Sabrat akaanza kumnyonya Suma kwa fujo mkono mmoja akiwa anafungua zipu ya Suma ili kumtoa Athumani kipara!

JE NINI KITAENDELEA?KIDAWA ANALIWA NA KIDAWA FEKI NAE ANAKARIBIA KULIWA NA SUMA! USIKOSEEEEEE..........
 
Simulizi ya kweli..... SHANGA YA BIBI ILIVYONIPA UMAARUFU!! (season 2)
Msimuliaji................. KIDAWA
Umri................. 18+

Sehemu ya 19
Tulipoishia........ Suma amerudi kwa Kidawa akiamini ni Kidawa kammaribisha tena kwake baada ya miaka mingi ya kukaushiana!
Bila kujua kama yule sio Kidawa ni jini Sabrat ambaye ndiye anaishi duniani kama Kidawa!

Songa nayo......

Suma hakutegemea mapokezi yale, hakuamini kama Kidawa alikuwa amemmiss kiasi kile!
Alijua akifika ni lazima waongee ili kuyaweka sawa mambo yao,aliamini ataanza kumbembeleza Kidawa mpaka akubali kumpa utamu wake!
Shambulio lile la kushtukiza lilimfanya Suma aelemewe na mchezo!
Ulimi wa Sabrat ulikuwa unapeleka balaa kwenye viungo vyake!
Alikuwa analambwa huku mara kule kiukweli alichanganyikiwa!
Ilibidi ajiongeze akaudaka ulimi wa Sabrat akaanza kumnyonya mate huku mikono yake anazibana mbavu za Sabrat kwa staili iliyomfanya apunguze kabisa papara!
Sabrat alitulia sasa,Suma akaanza kuutalawa mchezo!
Baada ya nusu saa siyo Suma wala. Sabrat aliyekuwa na nguo!
Wote walikuwa uchi saresare kama waswahili wanavyosema!!
Sabrat alishakutana na vigogo na bakora za kila namna hadi majini,lakini bado hakuona mwenye mapenzi matamu kama Suma!
Suma alijua kama messi,alijua kucheza na mpira!
Alijua kuubembeleza uwanja wa fundi seremala!
Alijua amshike wapi mwanamke asisimke na amsugue vipi aridhike!
Suma alikuwa mtamu bwana,sijui kama alikuwa anafanya haya kwa mkewe maana kwa ule wivu wa mkewe hadi kufikia kumteka Kidawa ni wazi Suma ni mtamu!
Mume anauma,Ila mume mtamu anauma zaidi!Hata mke anauma ila mke mtamu anauma balaa!
Mke anakuwa anawaza vile ambavyo mume wake anafanya kwake ndivyo anafanya kwingine hapo anaumia Mara kumi zaidi.
Sabrat aligeuzwa akageuzika,alipigwa akapigika.
Alilia mpaka sauti ikakauka,utamu ulizidi utamu wenyewe!
Kichwani alijiuliza Suma ni mwanaume wa aina gani?au ni jini?mbona mtamu ivi?
Masaa mawili yalitosha kumfanya Sabrat atosheke kabisa kwa penzi tamu alilopewa!
"Suma!",aliita Sabrat kwa sauti ya chini iliyoonyesha wazi kuwa alichoka Sana!
"Yes!baby!",aliitikia Suma ambaye hakuamini bado kama yupo na Kidawa wake,mwanamke anayempenda kuliko mwanamke yoyote duniani!
"Wewe ni binadamu gani?mbona una utamu wa ajabu namna hii!"
"Kidawa mi mwenyewe nashangaa hapa mbona umekuwa mtamu zaidi ,tena mtamu hata bila shanga!"
"Aah!nimechoka kuvaa shanga,inaniwasha sana!!"
"Sawa Ila napenda zaidi ukivaa Shanga ndiyo ugonjwa wangu mkubwa!"
"Hahahahaaa!sawa baby ntakuwa navaa kwa ajili yako mpenzi!!"

Suma siku iyo hakurudi kwake,alilala hapo hapo kwa Kidawa!
Siku hiyo walikuwa kama wanazindua mapenzi yao!
Ilikuwa ni bandika bandua,mpaka jogoo anawika Suma na Sabrat bado walikuwa uwanjani wanasakata kabumbu!

Asubuhi ilipofika Suma alijiandaa akaondoka akaenda zake kazini wala hakupita kwake!
Jioni tena Suma alipita kwa Kidawa akanogewa akalala!
Ilikuwa ni kama mchezo sasa Suma akajikuta amenogewa na utamu wa Sabrat anayemuona kama Kidawa wake!
Mahaba kwa mkewe yalipungua kama siyo kuisha kabisa!
Ikafikia hatua akawa analala nje wiki nzima anakula bata na Kidawa!!

Jambo lile lilimpa hasira sana mke wa Suma, ambaye alianza kuchunguza ili ajue ni nani anayemuibia utamu wake!
Alikuja kugundua kuwa mwizi wake ni yule yule Kidawa!
Alipata hasira sana,moyoni akasema atakachomfanyia Kidawa ile ya mwanzo itakuwa ni trela!
"Huyu malaya karudi kwa mume wangu,pamoja na kumteka mwanzoni bado hajapata adabu!
Sasa Safari hii namtoa malinda kwa chupa mbuzi huyu",alijisemea muda huo ameshawapanga watekaji ambao alitafuta wengine tofauti na wale wa mwanzoni!

********""""""" *********

Shemeji alijua kunifaidi,ndani ya siku mbili alishanikwangua mara tatu,tena siyo kipigo cha kunguni,kipigo cha mbwa koko!
Baada ya shoo tamu na ndefu shemeji aliondoka akiwa na furaha sana!
Na kila alipokuwa anaondoka aliniachia kauli moja tu!
"Nitarudi tena shemeji,wewe ni mtamu Sana!"
Nilibaki nimechoka sana ni vile tu Kidawa nimezoea shoo kali na pilika pilika za mapenzi,kiufupi najiweza Ila angekuwa mwanamke mwingine angeshakimbia siyo kwa gogo lile halafu kibaya kanigeuza mkewe sasa akitaka tu ananifuata ananikwangua!

Jabir hakuwa na uwezo wa kupigana na Kaka yake,ni kama vile aliikubali hali ile!Akawa hata akinikuta nimeliwa na Kaka yake anapotezea tu kama hakijatokea kitu!
Kama unavyojua wanawake huwa tunaegemea kwa mbabe anayeweza kumlinda!
Nilianza kumuona Jabir ni dhaifu nikajikuta moyo wangu unahamia kwa Shemeji yangu!
Kiukweli nilikuwa ni kama nimeolewa na majini wawili tena mtu na Kaka yake!
Ilikuwa mchana akinikwangua shemeji ,usiku Jabir anapasha kiporo!
Wanasema mwanamke akichepuka anahama na hisia zote ,hivyo taratibu nilijikuta hisia zangu zote nazihamishia kwa Kaka yake Jabir nikiamin ndiye Kidume anayeniridhisha Jabir sikuwa na hisia naye!
JE NINI KITAENDELEA?JABIR ATAVUMILIA KUMUONA KAKA YAKE AKIFANYA MAPENZI NA MKEWE KILA SIKU? USIKOSEEEEEE....
 
Simulizi ya kweli...... SHANGA YA BIBI ILIVYONIPA UMAARUFU!! (season 2)
Msimuliaji................. KIDAWA
Umri...................18+

Sehemu ya 20
Tulipoishia....... Jini Sabrat ametekwa na watekaji waliotumwa na mke wa Suma,angeweza kutumia nguvu zake kujiokoa lakini mpaka sasa Sabrat hajafanya lolote,je ana mpango gani na tunamjua ni jini hatari alibadilika?

Songa nayo.....

Wanaume wale walionekana kuwa na uchu mkubwa wa ngono!
Bakora zao zilisimama hadi mishipa ilionekana,hawakuwa wanaume wa dar walikuwa majabali haswa!
Vifua vyao vilivimba kwa mazoezi makali,matumbo yao yalijikata kwa mapingili sita.
Sabrat hakuonyesha hofu,sababu alijua ambacho angekifanya kingebaki historia isiyofutika kwenye maisha ya mke wa Suma!
Vidume wale baada ya kumfungua Sabrat sasa wakamlazimisha anyonye bakora zao!
Sabrat alisimama ghafla macho yake yakageuka na kuwa kama ya paka!
Wanaume wale walisogea mbali huku wakitetemeka kwa hofu!
"Hahahahahahahahaaahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaaaaaaa"
Alicheka Sabrat kicheko kikali sana kilichokuwa kinajirudia mara mbili mbili.
Mke wa Suma aliwasogelea wale mabaunsa wake akitetemeka sana!
Wote wakajikusanya kwenye kona moja!
"Hahahahhaaaaa!!Aishaaaaa!leo umekosea nambaaaa!!"
Mke wa Suma aliogopa zaidi aliposkia anatajwa jina lake!Akijiuliza kalijuaje jina lake!

Sabrat alinyoosha mkono akawaita wale mabaunsa waliokuwa uchi bakora zao zimenywea zimesinyaa kabisa!
Ungeziona usingeamini kama ni zile zile zilizokuwa zimevimba muda mfupi uliopita!
Ni kama aliwapotezea akili zao,kwani walisimama wakamsogelea karibu wakasimama mbele yake!
Sabrat aliumia alipowaangalia vidume wale watatu waliojazia!
"Aisha!kwa hiyo ulitaka hawa wote watafune kitumbua changu!!"
Mke wa Suma alikuwa anatetemeka balaa!!
Sabrat alianza kuwazunguka kama anawakagua hivi wale jamaa!
Akaanza kuzishika bakora zao zikasimama,Ila Safari hii ni kama aliongezea kitu maana ziliongezeka ukubwa mara mbili ya zilivyokuwa!
Yani ungeziona zilitisha,zilikuwa kubwa kama mashine ya punda!
"Bahati nzuri sasa najifunza kuwa jini mzuri kwa watu,ningekunywa damu zenu wote hapa!"
Aliongea huku anawazunguka wale vidume!
"Vipi hii saizi si inakutosha Aisha au niongeze kidogo!"
Alisema huku anamuonyesha mke wa Suma zile bakora!!
"Kidawa nisameheee,nisamehe Kidawa usinifanyie hivyo!"
"Hahahahaaaa! We ulitaka wanibake tena wanitoe Malinda kabisa!saivi unataka huruma yangu,hahaaaaaaa!"
"Kidawa chonde nisamehe,angalau zipunguze ukubwa kidogo jamani zitanichana mimi uuuwiiiihh"
"Mimi sio Kidawa naitwa jini Sabrat!"
Muda huo wale mabaunsa wamesimamisha hadi bakora zinatokwa ute wa hamu!
"Aya vijana mpeni utamu Bi Aisha mpaka atosheke!"
Wale mabaunsa walimsogelea Aisha ambaye alikuwa analia akiomba msamaha,hakuamini vijana wake aliowalipa eti wamemgeuka sasa wanataka kumla yeye!
"Jamani mimi ni boss wenu msinibake tafadha.....!",hakumalizia sentensi yake alipigwa kibao huku ikitoka sauti kubwa yenye mamlaka!"
"Kimyaaa!!!!!"
Waliona kama anawachelewesha tu,walichana nguo zake akabaki kama alivyozaliwa!
"Nyonyaaaa!!',alilazimishwa kunyonya bakora zile!
Mke wa Suma hakuamini kama shilingi imegeuka ghafla na kuangukia kwake!
Hakuwa na jinsi alishika bakora zile akaanza kuzinyonya,zilikuwa nene sana na ndefu!kibaya zaidi wale jamaa wakawa wanaingiza yote mdomoni hadi inafika kohoni wakitoa anakohoa maana hadi alikuwa anashindwa kuhema!
Walimuinamisha wakamuweka staili ya chuma tembele Kisha mmoja akasimama mbele akampa anyonye huku nyuma mmoja akapaka mate rungu lake akaanza kuliingiza pangoni !
"Haaahhh!mama nakufaaaaaa!",
Ilikuwa ni bandika bandua!akitoka huyu anaingia huyu!
Mke wa Suma alilia machozi yakakauka!
Muda huo Sabrat amekaa pembeni anachat hana habari!
Wale jamaa hawakuridhika wakataka kuyatoa na malinda yake!
"No!sijasema mumtoe malinda!msifanye hivyo nataka siku akirudia kunifuatilia ndiyo niyanyooshe hayo malinda!"
Ikawa bahati yake mke wa Suma akanusurika kuingizwa kwenye wizara ya topeni chini ya waziri Ambarutty!
Bakora zilikuwa kubwa sana kiasi kwamba zilimfanya akapoteza fahamu akiwaacha mabaharia bado wanaendelea kujipimia!
Ilikuwa ni kama wametumiacha mkongo kwani bakora zao zilikuwa hazilali licha ya kushusha mbegu Mara kadhaa!
Sabrat alipoona imetosha akanyoosha mkono bakora zote zikanywea!

*******

Suma akiwa zake kazini hana hili wala lile!
Ghafla iliingia meseji kwenye simu yake ikisomeka hivi!
"Mke wako yuko gesti ya Makungu mtaa wa pili kutoka mtaani kwako!Tena yuko na wanaume watatu wanampa raha,yuko chumba namba 13!"
Meseji ile ilimshtua sana Suma,ambaye hakuamini kama mkewe anaweza kuwa na tabia kama ile!

JE NINI KIMETOKEA?MBONA KARATA IMEMGEUKIA MKE WA SUMA!JE SABRAT KAFANYA NINI???
 
Simulizi ya kweli...... SHANGA YA BIBI ILIVYONIPA UMAARUFU!! (season 2)
Msimuliaji................. KIDAWA
Umri...................18+

Sehemu ya 21
Tulipoishia....... Jini Sabrat ametekwa na watekaji waliotumwa na mke wa Suma,angeweza kutumia nguvu zake kujiokoa lakini mpaka sasa Sabrat hajafanya lolote,je ana mpango gani na tunamjua ni jini hatari alibadilika?

Songa nayo.....

Wanaume wale walionekana kuwa na uchu mkubwa wa ngono!
Bakora zao zilisimama hadi mishipa ilionekana,hawakuwa wanaume wa dar walikuwa majabali haswa!
Vifua vyao vilivimba kwa mazoezi makali,matumbo yao yalijikata kwa mapingili sita.
Sabrat hakuonyesha hofu,sababu alijua ambacho angekifanya kingebaki historia isiyofutika kwenye maisha ya mke wa Suma!
Vidume wale baada ya kumfungua Sabrat sasa wakamlazimisha anyonye bakora zao!
Sabrat alisimama ghafla macho yake yakageuka na kuwa kama ya paka!
Wanaume wale walisogea mbali huku wakitetemeka kwa hofu!
"Hahahahahahahahaaahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaaaaaaa"
Alicheka Sabrat kicheko kikali sana kilichokuwa kinajirudia mara mbili mbili.
Mke wa Suma aliwasogelea wale mabaunsa wake akitetemeka sana!
Wote wakajikusanya kwenye kona moja!
"Hahahahhaaaaa!!Aishaaaaa!leo umekosea nambaaaa!!"
Mke wa Suma aliogopa zaidi aliposkia anatajwa jina lake!Akijiuliza kalijuaje jina lake!

Sabrat alinyoosha mkono akawaita wale mabaunsa waliokuwa uchi bakora zao zimenywea zimesinyaa kabisa!
Ungeziona usingeamini kama ni zile zile zilizokuwa zimevimba muda mfupi uliopita!
Ni kama aliwapotezea akili zao,kwani walisimama wakamsogelea karibu wakasimama mbele yake!
Sabrat aliumia alipowaangalia vidume wale watatu waliojazia!
"Aisha!kwa hiyo ulitaka hawa wote watafune kitumbua changu!!"
Mke wa Suma alikuwa anatetemeka balaa!!
Sabrat alianza kuwazunguka kama anawakagua hivi wale jamaa!
Akaanza kuzishika bakora zao zikasimama,Ila Safari hii ni kama aliongezea kitu maana ziliongezeka ukubwa mara mbili ya zilivyokuwa!
Yani ungeziona zilitisha,zilikuwa kubwa kama mashine ya punda!
"Bahati nzuri sasa najifunza kuwa jini mzuri kwa watu,ningekunywa damu zenu wote hapa!"
Aliongea huku anawazunguka wale vidume!
"Vipi hii saizi si inakutosha Aisha au niongeze kidogo!"
Alisema huku anamuonyesha mke wa Suma zile bakora!!
"Kidawa nisameheee,nisamehe Kidawa usinifanyie hivyo!"
"Hahahahaaaa! We ulitaka wanibake tena wanitoe Malinda kabisa!saivi unataka huruma yangu,hahaaaaaaa!"
"Kidawa chonde nisamehe,angalau zipunguze ukubwa kidogo jamani zitanichana mimi uuuwiiiihh"
"Mimi sio Kidawa naitwa jini Sabrat!"
Muda huo wale mabaunsa wamesimamisha hadi bakora zinatokwa ute wa hamu!
"Aya vijana mpeni utamu Bi Aisha mpaka atosheke!"
Wale mabaunsa walimsogelea Aisha ambaye alikuwa analia akiomba msamaha,hakuamini vijana wake aliowalipa eti wamemgeuka sasa wanataka kumla yeye!
"Jamani mimi ni boss wenu msinibake tafadha.....!",hakumalizia sentensi yake alipigwa kibao huku ikitoka sauti kubwa yenye mamlaka!"
"Kimyaaa!!!!!"
Waliona kama anawachelewesha tu,walichana nguo zake akabaki kama alivyozaliwa!
"Nyonyaaaa!!',alilazimishwa kunyonya bakora zile!
Mke wa Suma hakuamini kama shilingi imegeuka ghafla na kuangukia kwake!
Hakuwa na jinsi alishika bakora zile akaanza kuzinyonya,zilikuwa nene sana na ndefu!kibaya zaidi wale jamaa wakawa wanaingiza yote mdomoni hadi inafika kohoni wakitoa anakohoa maana hadi alikuwa anashindwa kuhema!
Walimuinamisha wakamuweka staili ya chuma tembele Kisha mmoja akasimama mbele akampa anyonye huku nyuma mmoja akapaka mate rungu lake akaanza kuliingiza pangoni !
"Haaahhh!mama nakufaaaaaa!",
Ilikuwa ni bandika bandua!akitoka huyu anaingia huyu!
Mke wa Suma alilia machozi yakakauka!
Muda huo Sabrat amekaa pembeni anachat hana habari!
Wale jamaa hawakuridhika wakataka kuyatoa na malinda yake!
"No!sijasema mumtoe malinda!msifanye hivyo nataka siku akirudia kunifuatilia ndiyo niyanyooshe hayo malinda!"
Ikawa bahati yake mke wa Suma akanusurika kuingizwa kwenye wizara ya topeni chini ya waziri Ambarutty!
Bakora zilikuwa kubwa sana kiasi kwamba zilimfanya akapoteza fahamu akiwaacha mabaharia bado wanaendelea kujipimia!
Ilikuwa ni kama wametumiacha mkongo kwani bakora zao zilikuwa hazilali licha ya kushusha mbegu Mara kadhaa!
Sabrat alipoona imetosha akanyoosha mkono bakora zote zikanywea!

*******

Suma akiwa zake kazini hana hili wala lile!
Ghafla iliingia meseji kwenye simu yake ikisomeka hivi!
"Mke wako yuko gesti ya Makungu mtaa wa pili kutoka mtaani kwako!Tena yuko na wanaume watatu wanampa raha,yuko chumba namba 13!"
Meseji ile ilimshtua sana Suma,ambaye hakuamini kama mkewe anaweza kuwa na tabia kama ile!

JE NINI KIMETOKEA?MBONA KARATA IMEMGEUKIA MKE WA SUMA!JE SABRAT KAFANYA NINI???
 
Simulizi ya kweli..... SHANGA YA BIBI ILIVYONIPA UMAARUFU!! ( season 2)
Msimuliaji................ KIDAWA
Umri................18+

Sehemu ya 22
Tulipoishia....Karata imemgeukia mke wa Suma,na hii ni baada ya Suma kutumiwa meseji akiambiwa mkewe yuko gesti anachepuka na wanaume watatu.....

Songa nayo

Suma alitoka ofisini bila kuaga akapanda gari lake kuwahi kumuona mke wake!
Alitumia kama dakika arobaini kufika mpaka pale gesti,hakupata tabu sababu anaijua!
Alifika mpaka pale gesti akiwa na shauku ya kutaka kumuona mkewe ingawa moyoni hakujua atafanya nini ikiwa kweli!
Aliingia bila kuuliza akaanza kukitafuta chumba namba 13 .
Alifika mpaka kwenye chumba chenyewe akaiona na namba kabisa!
Hakutaka kusubiri akanyonga kitasa mlango ukakubali kufunguka hakuamini alichokiona!

Mke wake alikuwa kitandani amelala hajitambui,amezungukwa na vidume watatu nao walikuwa hoi hawajitambui!
Alisogea kwanza akachukua simu yake akapiga picha kama tano kisha akasogea zaidi hadi kwa mkewe ambaye alikuwa hoi ametanua miguu,mbegu zilikuwa zinatiririka kutoka kwenye papuchi yake!
Inaonekana wale vidume walimwagia mbegu nyingi Sana maana zilikuwa zinatirika na kuchafua mashuka!
Suma alisimama,hakuamini ni mkewe ndiye kafanya ujinga ule!
Aliwaza awafanye nini?akakosa jibu,kila alichowaza aliona kama kidogo akifai kwa wapuuzi kama wale!
Kiunoni alikuwa na bastola yake iliyojaa risasi,akawaza akiwaua sana atapata kesi!
Mke wake alimpenda Ila aliipenda dunia zaidi,hakutaka kwenda jela!
Aliamua awaamshe tu!aliwaangalia kisha akapaza sauti!
"NYIE WAPUMBAVUUUU!!!"
Walishtuka kwa pamoja!Mke wa Suma hakuamini mbele yake alikuwa amesimama mume wake wa ndoa na kitandani alikuwa uchi amelalana wanaume watatu!
Kila mtu alishangaa!walijiuliza imekuwaje wawe gesti tena kitandani!
"Mume wanguuu!!",aliita huku anashindwa aseme nini haswa maana kama ni mwizi kakutwa na kithibitisho kabisa!
Suma alimwangalia mkewe kwa macho yanayouliza!"
"Ivi wewe mwanamke umekosa nini,mbona hata bakora kubwa mimi nimayo na najua kuitumia!tena huwa nahakikisha unakojoa mpaka unatosheka!"
Suma aliamua kuondoka zake,na hakuwa na pengine pa kwenda kupoza maumivu yake isipokuwa Kidawa!!!
Huku nyuma mke wa Suma alikuwa na maswali mengi,sehemu waliyokuwa ni tofauti na walikokuwa!
"Ivi tumefikaje hapa si tulikuwa kule kambini kwenu!"
"Hatuelewi boss!"
"Wapumbavu msiniite boss na mmenitia bila huruma ona kitumbua changu kinavuja mbegu zenu!"
"Lakini boss!hata sisi hatuelewi nini kimetokea!"
"Kelele!mmenivurugia papuchi yangu hadi inauma halafu mnasema hamjui nini kimetokea?"
Aliinuka huku akihisi maumivu makali sana pembeni kulikuwa na nguo zao,alishangaa maana anakumbuka nguo zake zilichanwa sasa anaziona zikiwa hazijachanika hata kidogo yaani ni kama alizivua kwa hiyari yake,ndipo akaamini kweli dunia ina maajabu!
Hakutaka kuamini kabisa kama Kidawa amekuwa jini!
Alivaa nguo zake alipomaliza akataka kuondoka wale jamaa wakamuuliza!
"Hela yetu vipi boss?"
"Ivi nyie wapuuzi eti,nimewalipa nusu mkamteke Kidawa baada yake mmenibaka mimi,na mmemuona mume wangu Ina maana hapa sina ndoa na bado mnataka hela nyingine nyie mafala nini?"
Aliongea kwa hasira akatoka zake akichechemea kama ndiyo anatoka kufanya mapenzi kwa Mara ya kwanza kumbe ni mama wa watoto watatu!!!

********"""""""""*********
Kauli yangu ya kumzuia shemeji hasinitie ilikuwa kama kutwanga maji kwenye kinu!
Shemeji alinisogelea huku na mimi narudi nyuma,maana najua akinigusa tu nimekwisha!
Shemeji alizidi kunisogelea hadi nikagota ukutani!
Bahati mbaya ilikuwa kwangu shemeji alikuwa amefika tayari karibu kabisa akatoa ulimi wake mrefu akaanza kulamba lipsi zangu!
Nilishusha pumzi ndefu,tayari kama Bluetooth imeshakubali,kama ni data kichwani zilikuwa zinasoma 10G!
"Shemeji unanifanya nini mbona ukinigusa nalegea hivi najikuta nakutamani!"
"Hahahhahahhaa!",shemeji alicheka tu kisha akaendelea kuzungusha ulimi wake mwilini mwangu!
Nilitamani kukataa lakini sikuweza tena,shemeji alikuwa kama anazichukua akili zangu,kiasi kwamba siwezi kujitetea wala kusema mbele yake!
Kiukweli Kidawa nilichoka shemeji alikuwa anataka afanye mapenzi na mimi kila siku!Hata Jabir alikuwa na nafuu!
Kibaya zaidi ni jinsi shemeji alikuwa na bakora kubwa kiasi kwamba alikuwa ananiacha na maumivu hadi kukojoa napata tabu!
Mapenzi yake japo matamu lakini kwangu nilianza kuona machungu!hakunipa hata nafasi ya kupumzisha papuchi yangu!!!
Shemeji kwa muda mfupi alishajua no wapi pakunishika nikampa yote bila chenji!
Alinilegeza tayari,chakula kilikuwa mezani na mlaji ndiyo huyo ananawa tayari kunitafuna Kidawa!
Nilikuwa hoi macho yamelegea kama yanataka kuanguka,papuchi ilishajilowesha tayari kumpokea nyoka pangoni!
Shemeji alivua kabisa tayari akaizamisha bakora yake akaanza kunikatia viuno vya kijini jini!
Nami Kidawa nikawa nazungusha kiuno changu taratibu bila papara ukawa mchezo wa kata nikukatie!
Kama nyimbo sasa ilikuwa imefika kwenye chorus na waimbaji waliipamba kweli!
Ghafla alitokea Jabir akiwa amenuna kwa hasira!

JE JABIR ATAFANYA NINI?ATAWEZA KUPAMBANA NA KAKA YAKE?NINI HATMA YA MKE WA SUMA?
 
Simulizi ya kweli.....SHANGA YA BIBI ILIVYONIPA UMAARUFU!! (season 2)
Msimuliaji.................KIDAWA
Umri ...............18+

Sehemu ya 23
Tulipoishia.......Kaka yake Jabir kamgeuza Kidawa kama mke wake,yani imekuwa kama wameoa wote!Jabir anakosa nguvu ya kusema chochote sababu hana nguvu za kushindana na Kaka yake!Ila leo ghafla Kaka yake akiwa na Kidawa wanafanya mapenzi anatokea Jabir akiwa amekasirika sana!Je atafanya nini?

Songa nayo....

"Nadir inatoshaaaaaa!!",alipaza sauti kubwa huku anahema kwa hasira!
Kilichonishtua ni jinsi ambavyo Shem hakuonyesha kushtuka ndiyo kwanza aliongeza kasi ya kunikatia miti Kidawa!
Niliacha kukata ile miuno macho yangu yalikuwa kwa Jabir ambaye alikuwa amesimama anahema kwa hasira!
"Aaaaaaahhhhhhhgghhhhhhgrrrriii",alipaza sauti Jabir kisha akabadilika na kuwa jitu kubwa la ajabu meno yake yalikuwa makali kama ya mamba,jicho lake lilikuwa moja kubwa sana!
Niliogopa Ila cha ajabu sikuweza kujitoa kwa shemeji,shemeji bado alikuwa ananipa viuno tu!
Shemeji alipoona Jabir anataka kuleta fujo alinyoosha mkono,ghafla ukatokea ukuta mkubwa wa kioo uliotutenganisha yani Jabir akawa hawezi kuingia huku tena ukuta ule ulimziba japo aliona kilichoendelea!
Shem naye akiwa juu yangu alibadilika na kuwa dude la ajabu hadi nikafumba macho nisilione!
Kiukweli nilikutana na mambo ya ajabu sana ujinini!
Shem alibadilika akawa jitu sijui jitu gani sokwe sio sokwe Ila bakora yake haikubadilika!
Utamu ulinizidia nikajikuta nimefumbua macho sikujali tena sura ile mbovu ndiyo kwanza nililikumbatia kwa nguvu utamu ulizidi!
Jabir hakuweza kuvunja ule ukuta alibaki ananiangalia jinsi navyopokea utamu wa shemeji!
Nilijikuta nimejisahau kama kuna mume wangu Jabir ananiangalia jinsi navyopewa utamu!
"Aaaassshiiiiii shemmmmmm fuckkkk meeee!yes!yessss!!oooohhhh"
Shem aliniachia baada ya dakika kama arobaini,safari alipomaliza hakukaa sana aliniacha na ile kauli yake ya siku zake!
"NITARUDI TENA!!",Kisha akapotea!
Hapo ndipo akili zangu zilirudi,ule ukuta ukapotea Jabir akanisogelea!
Nililia sana,nilihisi aibu sana kufanya mapenzi tena huku mume wangu ananiangalia!
"Nirudishe kwetu Jabir,hujanileta huku kunitesa mimi!Mimi sio mtoa nyege wa familia yenu,Kaka yako akijiskia tu anakuja kunichapa bakora na wewe nyege zako pia unazileta kwangu!"
"Mke wangu,nguvu zangu hazitoshi kupambana na Kaka yangu nadhani umeona alichofanya!"
"Jabir mimi sio chombo cha starehe!Mimi sio jini nachoka Mimi ni binadamu nahitaji hata kupumzka siyo kufanywa kila siku nimechoka!!"
Jabir aliinama chini,maneno yangu yalimuingia sana,akajikuta anapata uchungu!
"Au unahisi mimi nafurahi kukuchanganya wewe na Kaka yako??"
Jabir hakuwa na jibu,na mimi nikamuona hana msaada nilichofanya ni kuongeza juhudi ya kwenda kwenye bustani ya nguva ili anitoe huku ujinini!!!
Nilienda sikuchoka japo Farid hakuonekana,hatimaye siku moja nikiwa nimeenda mwenyewe baada ya Zahra kuonyesha kukata tamaa!
Farid alitokea akiwa na umbo lake la nusu mtu nusu samaki(nguva)
Sikuamini kama nimemuona kweli Farid!
Farid alikuja akanisogelea karibu zaidi akaniangalia machoni Kisha akasema!
"Pole Kidawa najua umekuja sana hapa!"
"Kwani ulikuwa wapi Farid?"
"Milango ya kutokea huku ilifungwa kuna jini mkorofi alitaka kuingia kwetu kufanya fujo ndiyo maana tukafunga milango!"
"Kwani uko majini kuna milango?"
"Ndiyo halafu nilikuahidi ntakupeleka ukale matunda kama ya kwenu duniani!"
"Duuh!kumbe una kumbukumbu nzuri Farid nipeleke basi,Ila mi naogopa kuogelea siwezi!"
"Usijali panda ulale mgongoni mwangu!"
Nilipanda mgongoni Farid akaanza kukata maji ikafika akawa anazama kabisa anazidi kwenda chini!!!
Cha ajabu nilipumua kama kawaida!maajabu niliyaona uko chini kulikuwa na nguva wengi!
Bustani iliyokuwa kule chini inapendeza Mara kumi kuliko bustani ya kawaida!
Kulikuwa na miti mingi mizuri hata miembe na mipapai ilikuwepo!
Maua yaliyoipamba ile bustani sikuwahi kuyaona duniani!
Kuna ua moja nililipenda sana lilivutia mno kiasi kwamba mpaka Farid alijua nimelipenda!
"Farid kuna maua mazuri huku!"
Tulifika chini kabisa akaniambia nishuke nikaogopa sana, Ila cha kushangaza niliposhuka nilitembea kama nipo ardhini tu!

*******"""""""********

Sabrat alikuwa kwake anatafuna nyama mbichi akishushia na damu mbichi kwenye glasi ambayo sijui aliitoa wapi!
Alikuwa anatabasamu tu akiamini kwa moto aliouwasha ni lazima Suma ampe talaka mkewe!

Kumbe ni Sabrat aliyewachukua kijini mke wa Suma na mabaunsa wake akawapekeka gesti wakiwa hawajitambui!
"Hahahahahahaaaaaaa!", alicheka sana Sabrat akifurahia ushindi mzito alioupata!
Alijua Suma angefika muda siyo mrefu hivyo alikula nyama zake na damu akashiba akaoga akabaki ndani ya kanga moja akajilaza kwenye kochi akiwa amejiachia kihasara!
Mapaja yake yaliyonona yalibaki nje kimitego!

Kama alivyotarajia Suma aliingia akiwa na mawazo mengi sana!
Alimkuta Sabrat kajiachia akiwa nusu utupu!
Suma alipoona mapaja ya Sabrat akili yake ilichangamka!
Akasogea akampiga busu Sabrat aliyekuwa amefumba macho yake kama amesinzia kumbe alikuwa anamtega!
Sabrat aliidaka shingo ya Suma akamrukia mdomoni,ndimi zao zikakutana!

NINI KITAENDELEA SUMA ATAFANYA NINI KWA MKEWE ALIYEMFUMANIA?
 
Simulizi ya kweli..... SHANGA YA BIBI ILIVYONIPA UMAARUFU!! ( season 2)
Msimuliaji................ KIDAWA
Umri............... 18+

Sehemu ya 24
Tulipoishia.......... Suma baada ya kumfumania mkewe moja kwa moja alienda kwa mchepuko wake Kidawa! Akiamini atapunguza mawazo take huko!

Songa nayo............

Wasingeweza kuongea chochote katika hali ile,ilikuwa ni lazima wapoze damu zao!
Sio Sabrat wala Suma,wote damu zao zilikuwa zimechemka kiasi cha kutosha.
Mapokezi ya Sabrat yalimsahaulisha Suma kuhusu kitendo alichoka kukiona muda si mrefu!
Alijikuta ghafla amezama kwenye mapenzi mazito!Hakumbuki hata nguo zake alizivua sangapi?
Wote walikuwa uchi wa mnyama wanaivunja amri ya sita bila uoga!
Sabrat alikuwa chini huku Suma akiwa juu yake miguu ya Sabrat ikiwa mabegani mwake!
Hii ilifanya bakora ya Suma izame yote pangoni!
Jini Sabrat mwenyewe anakiri,hajawai kukutana na mwanaume kama Suma,mwanaume mwenye degrii za mapenzi!
Suma alijua ni muda gani wa maandalizi na muda wa kushambulia...
Akiandaa anaandaa kweli na akishambulia pia si haba!
Sabrat naye hakutaka kuonyesha uvivu,alisimamia kucha haswa!Akaitendea haki bakora ya Suma kiasi mpaka wakawa wanajiuliza kwanini hawakuoana mapema!
"Suma sijawahi kufanya mapenzi nikaenjoi kama ambavyo naenjoi kwako wewe ni balaa Suma unanikuna inavyostahili!"
"Kidawa mi nashukuru pia kwa mapenzi yako,Ila naomba kama ukiridhia mi nikuowe kabisa!!"
"Una mke lakini Suma,mi ukewenza siutaki"
"Simtaki malaya yule nimemfumania na wanaume watatu!"
"Weeeehh!!watatuuuu!!!??",alihamaki Sabrat!
"Ndiyo yani wamemfanya mpaka kalala hajielewi kitumbua kimeloa chapa chapa!"
"Aiseeh iyo Kali!"
Sabrat mchoraji wa kila kitu,alijifanya haelewi chochote!
Alijua kumuadaa Suma ambaye angejua nyuma ya pazia Sabrat ndiye aliyefanya vile sababu ya bifu kati yake na mkewe!!
Waliongea wakafikia muafaka,ambapo moja kwa moja Suma alisema anaenda kutoa talaka kwa mkewe!!!
Siku hiyo Suma hakurudi kwake alilala kwa Sabrat mpaka asubuhi!
Muda mwingi waliutumia kufanya mapenzi kuliko kulala!
Mpaka kunakucha Suma bado alikuwa anamalizia cha asubuhi!
Waliamka asubuhi wakiwa wamechoka Sana!
Sabrat akaingia jikoni,akaenda kuchemsha supu ambako huko alitafuna nyama yake mbichi kabisa akashiba!
Supu ilipoiva alimtengea na chai Suma na mkate yeye akaenda zake chumbani akidai kashakula tayari jikoni!
Suma alikunywa supu kisha akajiandaa akatoka kwenda kazini!

**********""""”"**********

Farid alinitembeza bustanini akinionyesha matunda mbali mbali!
Maajabu yapo jamani yani natembea kwenye ndani ya maji kama nipo duniani nilihisi ni miujiza ambayo mtu ukimwambia ataona ni hadithi za kufikirika!
Baada ya kutembea na kula matunda ya kutosha tulirudi nje ya bustani!
"Ahsante Farid,nimefurahi sana nimetamani hata niishi huko huko!"
"Hahahahaaaaaa!Karibu kwetu kumejaa upendo na amani,sisi jamii yetu hatunaga makuu kabisa!"
"Ahsante Farid,Ila nina ombi moja!"
"Nambie usjali Kidawa!"
"Naomba unipeleke duniani Farid!"
"Hilo tu?"
"Ndiyo Farid ila unipeleke Mimi na Zahra!"
"Msijali ntawapeleka hata mkitakaleo nawapeleka!"

Sikutegemea ingekuwa rahisi namna hiyo kwa Farid kunikubalia ombi langu!
Nilimkumbatia Farid kwa furaha macho yetu yakakutana yakaleta hisia fulani hivi za mapenzi!
Kila mmoja alimwangalia mwenzie kwa hisia kali sana!Hapo ndipo nikajua tayari tumeshaanza kupendana na Farid!
Nilijitoa haraka yasije yakatokea ya kutokea maana najijua Kidawa,nikikamatika natowaga bila chenji!
"Farid!"
"Naam, Kidawa!"
"Naomba niende tumekaa sana leo!"
"Sawa Kidawa siku ukiwa tayari nambie nikupeleke duniani!".
Niliagana na Farid kisha nikarudi zangu nyumbani nikiwa na furaha nikiamini Sasa naenda kupata msaada wa kunitoa huku gerezani!
Furaha yangu iliyeyuka nilipofika nyumbani!Nikikumbuka ile kauli ya shemeji aliyosema kuwa atarudi nilikosa amani kabisa!
Siku hiyo sikutaka kushinda chumbani kabisa,nilitoka zangu nikaenda kukaa sehemu ambayo kulikuwa na mawifi zangu!
Kwanza nilimtafuta Zahra,nikamkuta akiwa bize na mambo yake ya kijini!
"WiFi!",nilimuita
"Abeee wifi!"
"Mmhh!wifi sio kwa kunisusa ivyo!"
"Acha tu wifi nilikuwa nina mambo ya kufanya!"
"Sawa usijali Ila nina habari njema wifi!"
"Habari gani wifi!"
"Nimeonana na Farid"
"Hahahahaaa!najua wifi,najua hadi kama kakubali kutupeleka!"
"Mnanitisha bhana na ujini wenu wifi sa umejuaje!"
"Hahahaha!ushasema mimi ni jini kwa hiyo pigia mstali!"
"Mstali huo kwiyo!"
"Hahahahaaa!",basi tulicheka na wifi tukaendelea kupiga stori za hapa na pale!!
Zahra alionyesha kufurahi zaidi kupata msaada wa kumpeleka duniani!
"Ivi huyo mwanaume alikupa nini?mbona kama unamkubali sana!"
"Acha tu wifi,yule mtoto mtamu balaa,bakora yake haina mfano wake!"
"Siamini kama amekudatisha kiasi hicho!"
"Mmhh!!nawe vipi unamkimbia Kaka yangu au hajiwezi nini??"
"Hapana nimemiss duniani,huku naona kama niko gerezani!"

JE KIDAWA NA JINI ZAHRA WATAFANIKIWA KUFIKA DUNIANI?NA VIPI KUHUSU SHEMEJI KIBOKO YA KIDAWA ATAKUJA TENA? USIKOSEEEEEE.......
 
Simulizi ya kweli..... SHANGA YA BIBI ILIVYONIPA UMAARUFU!! (season 2)
Msimuliaji ............... KIDAWA
Umri................ 18+

Sehemu ya 25
Tulipoishia........
Kidawa na Zahra wamefika kwenye njia ya kuwapeleka duniani,Ila Farid anakataa kufungua mpaka wakubali kufanya nao mapenzi!

Songa nayo.......

Nilishindwa kuvua nguo zangu,nikabaki nimeduwaa!
Kichwani nilibaki na maswali sa tutawezaje kufanya mapenzi na huku chini sioni bakora wana magamba ya Samaki!.
"Farid sa tutafanyaje na hayo magamba!"
Niliposema tu ivyo,Farid alijibadilisha na kuwa kama binadamu na mwenzie pia!
Kidawa nilikosa sababu,nikajua tu hata iweje pale lazima tuliwe!
Nilipomwangalia mwenzangu tayari alikuwa ameinamishwa anashughulikiwa!!!
Sikuwa na jinsi nilimfuata Farid nikamkumbatia tukaanza kudendeka!!
Nguo tulizitupilia mbali tukazama penzini!
Mikiki mizito ya shemeji ilinifanya nikawa sugu!kiasi kwamba hata bakora ya Farid na mikiki yake ya kitoto sikuona hata raha yoyote!
Niliamua tu kumpa amalize basi,Ila mimi hakuniweza kabisa!!
Zahra na mwenzie walimaliza wakawa wanatusubiri na sisi tumalize,Farid alimaliza kanimwagia madude yake nikayafuta nikavaa nguo kisha tukasubiri kufunguliwa lango la kuingilia duniani!
"Mlango wa kwenda duniani ni huu ukungu mnaouona,mkiingia hapa mnatokea Zanzibar!"
"Kwa hiyo nyie mnaishia hapa ",nilimuuliza Farid.
"Ndio tunaishia hapa!"
"Kwa hiyo tunafanyaje sasa tuondoke!"
"Ingieni kwenye huo ukungu!"
Tulishikana mikono na Zahra kisha tukaanza kutembea kuingia kwenye ule ukungu!
Tulipoishia tu ulikuja upepo mkali sana ukatuchukua ghafla tu kama kimbunga!
Tuliskia kizunguzungu hadi mi nikazimia!Mwenzangu labda sababu yeye ni jini alikuwa kawaida tu!
"Wifi! wifi! amka!"
Zahra aliniamsha nikajikuta tupo ufukweni !
"WiFi hapa ni wapi?"
"Hapa ni Zanzibar!"
Niliinuka nikajikung'uta vumbi kisha nikakaa chini kwanza maana tumefika huku usiku kabisa!
"Wifi mbona huku ni usiku na kule tumetoka mchana!"
"Hahahaha,masaa ya huku na kule hayafanani wifi"
"Kwani saivi itakuwa sangapi?"
"Karibu kunakucha!"
"Sasa wifi tunaondokaje huku?"
"Kwanini wifi!"
"Nauli!!"
"Hahahahaaaa!", Zahra alicheka kisha akanyoosha mkono wake juu!
Alipoushusha alikuwa ameshika burungutu la pesa!
"Eeh!wifi kumbe na wewe humo?"
"Usjali mambo madogo haya!"
Zahra alinipa zile pesa zote kisha akaniambia!
"Hiyo ni milioni moja,utatumia mimi nakuacha nataka nimuwahi mpenzi wangu kabla hajaamka kwenda mihangaikoni!"
"Kwa hiyo unaniachaje achaje wifi?"
"Hela hizo hapo tumia kusafiri utapata boti ya muda wowote utakaopenda!!Ila usisahau saivi Jabir anakutafuta kuna mafuta nimekupaka mwilini kwa hiyo yataisha nguvu baada ya siku tatu.
Hakikisha kabla hayajaisha nguvu umempata mganga wa kumfukuza Jabir la sivyo atakurudisha ujinini!"
"Kwaheri wifi!nitakuwa nakuja kukusalimia mimi sirudi tena kuishi ujinini labda kusalimia tu na mume wangu!"
Zahra alitoweka akaniacha nimekaa pale chini!
Nilikuwa nimevaa baibui na ushungi kichwani,chini nilivaa ndala za kimasai!
Niliinuka bila kupoteza muda nikaanza kutembea kuitafuta barabara,bahati nzuri nilipata piki piki iliyonipeleka mpaka bandarini,nikapata boti.
Hatimaye nilifika dar,nilijua wazi kuwa mimi ni maarufu na kuna jini anaishi huku kama mimi hivyo sikutaka kuleta taharuki,nilijifunika uso wangu usionekane!
Nilitafuta hotel nzuri nikalipia nikajifungia kwanza sikutoka nje.
Mawazo yalikuwa mengi hasa nikifkria Jabir anaweza kunirudisha ujinini!

********"""""*********

Mke wa Suma baada ya kujua mumewe ametekwa na jini anayeishi duniani kama Kidawa,alidhamiria kupambana ili amuokoe mumewe!
"Kwa hiyo tunafanyaje mganga?"
"Kwanza inatakiwa tumpate Kidawa halisi,tumrudishe azindikwe arudi kuishi kama zamani!"
"Sasa mganga tunampataje na yuko ujinini?"
Hapo mganga alinyamaza akaanza kufanya manyanga yake!!!
Alipomaliza alifumbua macho akamwambia.
"Kazi imekuwa rahisi sana hahahahaaa!"
"Kivipi Babu?"
"Kidawa katoroka ujinini,katoroshwa na nguva saivi yupo dar kwenye hotel moja ivi inaitwa Shelaton iko daresalama!"
"Kwa hiyo mganga tunafanyaje?"
"Tunamfuata huko huko,lipia usafiri hapa turuke mababu watusafirishe!"
"Babu tunasafiri na ungo?"
"Lipia usafiri acha maswali!"
"Shingapi babu!"
"Weka noti moja nyekundu na moja ya bluu!"
Mke wa Suma alielewa ni elfu kumi na tano akaweka kisha mganga akamwambia asimame!
Aliposimama alimsogelea akampaka dawa nyeusi kwenye paji la uso kisha akamshika mkono wa kushoto akampa kitu cheusi!
Akaanza kuongea lugha ambayo haieleweki Ila baada ya dakika chache ulikuja upepo mkali ukawachukua ghafla wakapotea!

JE NINI KITATOKEA? NA VIPI JABIR WATAWEZA KUMZUIA HASIMCHUKUE KIDAWA?
 
Back
Top Bottom