Simulizi: Shanga za Bibi zilivyonipa umaarufu

Simulizi: Shanga za Bibi zilivyonipa umaarufu

Simulizi ya kweli..... SHANGA YA BIBI IILIVYONIPA UMAARUFU
Msimuliaji.......... KIDAWA


Sehemu ya 9

Tulipoishia...... John baada tu ya kumaliza bao lake la Kwanza kachomoa bakora yake,akashuka kitandani akionekana kukasirika haswa!!!unahisi ni kwanini!??
Songa nayo .....

Nilimsogelea John aliyekuwa amekaa kwenye kochi huku kanuna balaa!!
"John nini tatizo?",nilimuuliza kwa sauti ya upole akaniangalia kwa macho makavu hadi nikaogopa!
"Ina maana huoni tatizo?"
"Sasa John mi naona kawaida mpenzi kuna nini?"
"Hivi kweli kwa hali hii unasema kawaida?",aliongea anafoka hadi nikaogopa!!
"John unajua sikuelewi?"
"Dah,nimeharibu mafuta yangu tu saivi siningekuwa nimeingiza hela ya maana!!!"
"Maneno gani hayo jamani mbona unanikashifu John kama hunipendi nambie!"
"Mi mtoto wa uswazi nimezoea nikikata kulia mtoto anakata kushoto nikipanda juu anashuka chini!"

Moyoni nilihisi kugafilika nikijiuliza au kitumbua changu kina mchanga au kina viwembe kimemchana uko ndani?
Nilibaki na maswali mengi sana,nikajifuta madude yake maana bafu lake liko nje sikutaka kwenda kuoga nje mimi sijazoea!!
Nilianza kuvaa nguo zangu taratibu,John wala hakunishobokea hiyo iliniumiza zaidi nikajihisi labda nina kasoro sijakamilika!
Machozi ya uchungu yalimiminika kwa kasi nikashindwa hata kuyafuta,nikayaacha yashuke na kulowesha mashavu yangu!!!
Nilimaliza kuvaa nikakaa kwenye kitanda nikimuangalia John ambaye wala hakuwa akiniangalia!Nilitamani japo aniangalie anishike,anikumbatie tena maana bado nilihisi nina hamu ya kufanya mapenzi!!
"John!!",nilimuita John aliyeniangalia tu bila kuniitikia.
"John nimekukosea nini jamani mbona umebadilika ghafla!",niliongea maneno yaliyosindikizwa na machozi yaliyotiririka kama mvua!
Bado John hakunisemesha aliniangalia tu bila kusema chochote.
Ghafla alisimama akanisogelea niliiona bakora yake ilivyosimama.Akanishika akanivua suruali pamoja na chupi yangu kwa pamoja hadi magotini!
Akanigeuza kwa kweli sikuelewa anataka kunifanya nini?maana alifanya haraka tu akaniegemeza kwenye kitanda chake kitumbua changu kikabaki kwa nyuma akapitisha mkono akaanza kukishika akatema mate akapaka kwenye kichwa cha bakora yake,nikahisi kitu kikinigusa kwenye matako yangu kisha kikazama pangoni.
John akaanza kunisugua kwa kasi na bakora yake,mkao alioniweka niliiskia bakora yake ikinigusa tumboni nilihisi raha,mawazo yake yakaondoka!
John alinitia nikaanza kuhisi kitumbua kinaungua,Moto ulikuwa mkali sana,sikuhisi raha tena,nilikuja kugundua John alikuwa ananikomoa!
"Ooohh John taratibuuuuuu ,naumiaaaaaa aaaaasssshhhiii ooohhh John unaniumiza!"
Nililia sana utamu uligeuka uchungu,alinitia hadi utelezi ukakauka,kukawa kukavu hakujali aliendelea kunifanya hadi akakojoa bao lake Kisha kama kawaida yake akatoka kanuna akakaa pembeni!!!
Nilihisi kunyanyasika sana,John alininyanyasa kihisia.Nilisimama mgongo unauma hatari na kiuno,kitumbua ndiyo balaa kinawaka moto hatari.
Nilisimama nikajifuta nikavaa suruali yangu kisha nikamuangalia John kwa macho yenye maskitiko.
"Ahsante John ulinipigia simu unifanye hivi??"
"Sikia mi nataka kutoka bhana acha ngonjera!"
Maneno ya John yazidi kutia msumari moyoni mwangu.
Nilisimama nikavaa viatu vyangu nikafuta machozi yangu kisha nikatoka,sikutaka hata kusubiri kupanda gari yake!
Nilianza kuikata mitaa mpaka nikatokea barabarani,nikachukua bodaboda ikanipeleka mpaka nyumbani!

************

Niliingia ndani nikiwa na huzuni kubwa,Bi Sandra aliponiona tu alijua kuwa kuna kitu kimetokea!
Nilipitiliza hadi chumbani kwangu nikajitupia kitandani nikaanza kulia.
Bi Sandra alikuja akanikuta katika hali ile.

"Kidawa nini mwanangu?una tatizo gani?"
Sikumjibu nilizidi kulia tu kitendo alichomfanyia John kiliniumiza sana kwa kweli.
"Kidawa nambie Mimi ni kama mama yako usiogope!?"
Niliinuka nikakaa kitandani Bi Sandra akakaa pembeni yangu akapitisha mikono yake akanishika mabegani!
Nikakilaza kichwa changu kifuani mwake nikilia kwa uchungu.
"Mama eti mi ni mbaya mama!",nilimuuliza kwa sauti ya chini iliyojaa majonzi!
"Hapana mwanangu wewe ni mrembo sana na uhakika kila unapopita wengi wanakumezea mate mwanangu!"
"Labda Mimi sina mvuto sina umbo zuri mama!"
"Hapana unavutia sana kila mwanaume anatamani kuwa na wewe Kidawa"
"Uongo mama!uongo wanaume hawanitaki mimi ni mbaya mama"
Niliongea kwa uchungu kilio kikaongezeka,hadi Bi Sandra machozi yakamtoka!
Tukaanza kulia wote,Sasa hakuna wa kumbembeleza mwingine!!
"Sina bahati mama labda nina mkosi mimi"
"Usiseme hivyo mwanangu!"
"Mapenzi mama yananiumiza sana!"

Nililia mwisho nikajikuta nimelala,nilikuja kushtuka usiku,nikakumbuka sijaoga nikaingia bafuni nikajisafisha huku nakiangalia kitumbua changu,moyo uliniuma sana nilijuta kupenda kwa kweli!
John amekuwa ni mwanaume anayeniliza na kuniumiza kila siku!Tangu siku ya kwanza kukutana naye ni mtu anayeniumiza tu kila siku...
Nilienda mezani nikakuta chakula kipo tayari ila hakukuwa na mtu ndipo nikaangalia saa yangu kumbe tayari ilishafika saa tano usiku.Bi Sandra alikuwa kashalala.
Moyoni niliumia kwanini wazazi walinizaa peke yangu pengine angekuwepo mdogo wangu ningecheka naye Ila ndiyo ivyo tena!!
Niliitafuta namba ya mama nikampigia mama nikamsalimia Kisha baba nikala kisha nikaingia chumbani kwangu kulala!!

*************

Ilipita mwezi sijamuona John wala meseji yake.
Mapenzi kitu cha ajabu sana huwezi amini eti nilimmiss John.Licha ya kutongozwa na wanaume wengi hasa mitandaoni Ila bado moyo wangu ulianguka kwa John!
Nikajikuta natamani kumpigia simu,walau nimtumie meseji tu moyo wangu uridhike!
Nilijitahidi sana kujizuia Ila kama unavyojua moyo ukipenda,unaweza kuniona chizi Ila John sijui aliniroga au ni nini mimi sijui!!
Siku moja nakumbuka ilikuwa Jumapili,niliamka sijui na mashetani gani Ila moyo ulinisukuma niende kwa John wangu!
Niliamka kama kawaida nikajipamba nikavaa nguo nilizohakikisha akiniona hapindui.Nilipendeza haswa,kiherehere changu jamani nikakodi Uber mpaka Mbagala.
Nilitabasamu baada ya kuikuta teksi ya John imepaki moja kwa moja nikajua John yupo.
Sikupata tabu nishakuwa mwenyeji niliikatisha mitaa mpaka nikafika mlangoni sikubisha hata hodi niliingia ndani moja kwa moja sikuamini nilichokiona!!!

JE KIDAWA KAONA NINI?UNAHISI ATATOKA NA FURAHA LEO AU UNAMTABIRIA MAUMIVU TENA KAMA KAWAIDA??? USKOSEEEE.......
 
Hahaha Kidawa ana kiherehere pure kabisa hata hakijachakachuliwa...
 
Back
Top Bottom