Simulizi: Shanga za Bibi zilivyonipa umaarufu

Simulizi: Shanga za Bibi zilivyonipa umaarufu

Simulizi ya kweli....... SHANGA YA BIBI ILIVYONIPA UMAARUFU!!!!
Msimuliaji.............. KIDAWA
Umri..........18+

Sehemu ya 21

Nilipoingia bafuni nikaanza kujisafisha,ghafla Samir aliingia ndani nilipomuangalia nilishangaa bakora yake iliyokuwa imelala ilisimama hadi mishipa ikavimba!
Nilihisi kisimi kimesimama ghafla ukingatia kuwa nimekojoa bao moja tu!
"Samir anakuita baby!",aliongea Samir huku anatabasamu.
"Ngoja nimsafishe Kidawa si unajua Samir kamchafua sana!!
"Mlete baby shoo ndiyo inaanza Sasa!!!"
Nilimaliza kunawa kisha nikasimama nikatikisa wowowo langu huku mikono nimeshika chuchu zangu,Samir akanisogelea akaniambia...
"Inama baby!"
Ningefanyaje Sasa baby kashasema niiname?nikainama hii Sasa siyo mbuzi kagoma hii Sasa nilianza kuzichuma tembele nimpikie Samir wangu ugali na dagaa mchele!
Samir alidhamiria sasa nilikaa tayari kupokea duduwasha maana kisimi kilikuwa kinapiga endiketa balaa.
Tofauti na matarajio yangu Samir aliuleta ulimi wake akaanza kudeki bahari hii yenye chumvi tamu isiyoumiza!
Unajua kila kitu kina raha yake kunyonywa kitumbua huku umelala chali kifo cha mende kuna utamu wake na pia kunyonywa huku unachuma tembele napo shughuli ipo.
"Aaassiiiiiihhh....Samiiiiiirrrrrrrr eeeeeehhhhsssh nipe utamu ....babaaaaaaaaaahaaaaaasssshhhhhhhhhh"
Sauti nilizitoa Kidawa utamu ulinifikia kisogoni!
Samir alikuwa bize uvinzani anatafuna chumvi kama nini vile sijui.
Samir baada ya kuona kelele zimezidi nakaribia kufika stendi akasimama akamshika nyoka wake akamuingiza pangoni bila kuuliza akaanza kuzungusha kiuno chake kwa kasi sana.
Kiukweli hapa aliniweza kwa kweli yani nilijikuta napiga yowe ambalo nadhani hata huko vyumba vingine waliskia!
Nilipiga kigoli changu safi nikachangamka Sasa nikaanza kumwagia miuno Samir!
Nilimpa viuno vya twanga pepeta ,nikampa vya segere nikamalizia na singeli Samir akashusha mzigo taratibu akatulia!!!
Nikajichomoa nikaishika bakora nikaiosha Kisha nikamuosha huyu aliyesababisha nikaitwa Kidawa!!!
Tulimaliza tukaoga kisha tukarudi kitandani tukajifunika shuka!
"Kidawa!"
"Abee!"
"Kwani una nini?"
"Kivipi Samir?"
"Mbona una utamu usiyoelezeka!"
"Kawaida tu baby!"
"Hapana sijawahi kukutana na mwanamke mtamu kama wewe!"
"Hata wewe unaweza Samir umenipa utamu nimefurahi!"
Tulipiga stori za hapa na pale kisha nikachukua simu yake nikamuomba tupige picha.Basi tukapiga selfie za kutosha huku tukiwa na mashuka tu!
Kisha nikaamka tukajiandaa tukarudi chuo mimi nikaenda zangu hostel na Samir naye akapita njia yake!
Kuanzia siku hiyo Samir alikuwa kama amekuwa mtumwa wa penzi langu!
Alinisumbua kwenye simu akawa na wivu wa ajabu sana,akipiga simu tu akakuta naongea na simu maswali meseji nikichelewa kujibu kesi yaani ilikuwa tabu sana!
Siku moja alinipigia simu akaanza kuniambia
"Kidawa mbona siku hizi unanibania!"
"Kwanini mpenzi!"
"Tangu siku ile mpaka leo jamani nimemiss penzi lako!"
"Pole Samir!"
"Pole ya nini tena!?"
"Sababu hutonitia tena,sahau hilo!"
"Mbona unanifanyia ivyo Kidawa nimekukosea nini?"
"Hujanikosea nimeamua tu!"
"Naomba usiniache nakupenda!"
"Okay!nina masharti yangu ukiyaweza sawa!!"
"Ntafanya,nambie chochote hata ukisema nikaibe benki ntaenda!"
"James ni rafiki yako si ndio!"
"Ndio!"
"Ulishamwambia kuwa umetoka na Mimi?"
"Hapana,sijamwambia!"
"Nataka umwambie muonyeshe na picha tulizopiga,ukimaliza post kwenye group zenu za WhatsApp waambie mimi ni demu wako,waambie James alinitongoza nikamkataa ndiyo maana akanisingizia mimi ni gogo,na waambie uhalisia waambie Kidawa ni kungwi wa mapenzi,umenielewa!!!"
Samir alinikaa kimya nadhani masharti yalikuwa magumu kwake!
"Vipi mbona kimya,basi usinitafute mpaka nikiona picha zetu zimesambaa!"
Niliongea nikakata simu kisha nikaendelea na mambo yangu,
Zilipita siku mbili Samir hajanitafuta wala sikuona sms yake,moyoni nilihisi kunyong'onyea sana!Nikaamini mbinu zangu zimefeli!

*********

Baada ya wiki moja kupita Jenny alinifuata kama kawaida yake alileta umbea!
"Kidawa!Kidawa!mmmhh we mtoto una Mambo!
"Mmh!kuna nini kwani?"
"Yani James anatukanwa mitandaoni huko,kumbe alikupakazia eti ametoka na wewe!"
"Wow!!!Samirrrrrrrrr!!"
"Mmhh!halafu nimeona picha zako na Samir!"
Nilifurahi sana mambo yalikuwa yamegeuka picha likamuangukia James!
Nilimpigia Samir nikampongeza kisha nikamuahidi penzi tamu kama zawadi!

Kuanzia hapo maisha yalibadilika sasa Kidawa nilitimia kwa aslimia tisini na tisa!
Nilikuwa mrembo kwa aslimia zote sio umbo Wala sura,nilikuwa na pesa iliyoingia kila siku baba na mama walinitumia kingine nilikuwa fundi nyonga yangu haikumuacha mtu salama kila aliyenionja alikubali mimi ni asali na nani alikuambia asali inaonjwa mara moja?
Visa vilianza sasa nilipotaka kuonja bakora ya kila aina!
Siku moja nilikuwa nimekaa kwenye mgahawa mmoja nasubiri huduma kama kawaida yangu nilikuwa nimependeza sana!
"Samahani dada yangu naweza kukaa hapa!"
Ilikuwa sauti tamu ya kaka mmoja ambaye alionekana kuwa ni mtu wa mazoezi kutokana na kifua chake!
Moyo wangu ulishtuka ghafla tu midomo yangu ilikuwa mizito dah!ki ukweli alinisisimua sana!
Yule Kaka alikaa na yeye akaagiza chai na sambusa!Kisha tukaanza stori za hapa na pale ambazo mwisho zilitupelekea kufika kwenye hatua ya kubadilishana namba!
Haikuchukua muda mrefu nikajikuta nimeanguka kwenye penzi lake,na siyo huyo tu ikawa wiki hii nikitoka na huyu wiki ijayo nina mwingine!Sikujiuza Ila nilijiskia kufanya ivyo Niliona fahari bila kujali naonekana vipi ndani ya jamii!
Siku moja nikiwa nimelala niliota ndoto nikiwa kwenye kile chumba ambacho Mara ya mwisho nililala na Jabir!
Ghafla alitokea Jabir akiwa analia machozi ya damu,niliogopa akasimama wala hakunisogelea alisimama machozi yakimtoka!
Aliniangalia kama ana hasira sana na mimi hadi nikaogopa nikaanza kutetemeka!
"Kidawa ukiendelea na tabia yako,nitarudi,nitarudi nikufundishe namna ya kuishi"
Alivyosema hivyo alipotea kama upepo,nilishituka nikakurupuka usingizini huku nahema kwa kasi!

JE NINI KITAENDELEA ?JABIR ATARUDI?NA ATARUDI VIPI WAKATI BI MWANA ALISEMA HAWEZI KURUDI!!!
 
Simulizi ya kweli.......SHANGA YA BIBI ILIVYONIPA UMAARUFU!!!!
Msimuliaji............. KIDAWA
Umri........18+

Sehemu ya 22

Tulipoishia....Jini Jabir,aliyekuwa kikwazo kwenye mahusiano ya Kidawa amerudi na kumkanya Kidawa juu ya tabia yake ya kubadilisha wanaume leo huyu kesho yule!!!
Songa nayo......

Zilipita siku baada ya Jabir kunitokea niliogopa sana,nikihofia atarudi kunipa ile nuksi iliyonifanya nidharaulike!
Ila kama ujuavyo binadamu tunasahau ndivyo ilivyotokea,nilisahau kila kitu nikaanza upya tabia yangu ikazidi,sikujua ni pepo au nini Ila nilijiskia tu kubadilisha wanaume.
Umaarufu wa Kidawa ukazidi kushamiri si chuoni tu huko hata mitaani!Mitandaoni picha zangu zilikuwa gumzo wafuasi waliongezeka kila kukicha!
Meseji zilikuwa nyingi sana,wanaume wakinitongoza ,na kilicho wachanganya ni shanga zangu nilipopiga picha niliacha kiuno wazi zionekane!
Umbo langu nalo lilikuwa habari nyingine!
Nakumbuka nilipiga picha ambayo ilinipa umaarufu hadi kufuatwa na waandishi wa habari wa mitandaoni kunifanyia mahojiano!Alikuja mwandishi wa habari kunioji
"Kwanini unavaa shanga!"
"Napenda ni kama pambo kwangu na ukiacha matumizi mengine yale ni pambo zuri ningependa kumshauri kila mwanamke wa kiafrika avae!"
"Unavaa kwa sababu baby anapenda au unapenda?"
"Hapana napenda sana kuvaa sijafuata ushauri wa mtu!"
"Unahisi kwanini jina lako linashamiri mitandaoni kwa sasa!!"
"Nahisi ni shanga sababu wanawake wengi wanavaa shanga lakini wanazificha zisionekane lakini tofauti na wao niko huru na shanga zangu nazipenda wananishangaa!"
"Unawashauri nini wanawake wa kitanzania!"
"Waache kuendekeza tamaduni za watu,sawa tunavaa nguo zao na viatu vyao Ila shanga tuvae zetu tuvipende vya nyumbani!"
"Ni msanii gani wa kiume ambaye unampenda sana kiasi kwamba unatamani hata uone siku moja ameku DM?".
"Hahahahahaaaaa!swali gumu sana!"
"Watanzania wangependa kufahamu!".
"Mmhh!namkubali Jack Mambo namkubali sana akija kwetu kuniowa hata mahali ntawaomba wazazi wanisamehe!!"
Hiyo ni siku niliyotembelewa na mwandishi wa habari mmoja wa mtandao mmoja maarufu!!
Sikuamini kama kuzionyesha tu shanga zangu ingekuwa inshu kubwa namna ile!
Nilivyogundua shanga ni inshu nikaanza kupiga picha nyingi nikijiachia na shanga zangu ....
Nikabadili na jina la akaunti nikajiita SHANGA ZA KIDAWA!
Nilianza kupata meseji nyingi kutoka kwa watu wakubwa sana ambao walikuwa wananipa pongezi kwa kudumisha na kupenda asili yangu!
Nyuma ya pazia ilikuwepo siri yangu niliyonayo kuhusu shanga hizi nilizopewa na Bi Mwana.Nazipenda kwa sababu zimenifutia kashfa nilizopata kuko nyuma!
Ila sasa kitu ambacho sikutegemea kumbe hizi shanga hata kuonekana kwake ni dili kwangu!

Nilianza mwaka wa pili chuoni tayari nikiwa maarufu sana Tanzania,iyo ilikuwa ni hatua kubwa kwangu hata zile tabia zangu za kubadili wanaume zilipungua kwa kiasi kikubwa!
Mapaparazi walinifuata kila kona ivyo nisingeweza kujiachia kama zamani.
Mwaka wa mafanikio ni wa mafanikio tu,nilihama hostel nikaenda zangu kupanga nikawa naishi na rafiki yangu Jenny!!
Siku moja nikiwa nimelala alikuja rafiki yangu Jenny anaruka kwa furaha!
"We vipi nimelala bhana!"
"Amka best amkaaaa uone Waziri kakupost!"
"Unasema?acha masikhara ujue!"
"Waziri kakupost ivyo njoo uone!"
Nilikurupuka nikamkwapua simu Jenny nikaangalia sikuamini nilihisi mwili unatetemeka nilishindwa kuvumilia machozi yalinitoka!!
Waziri alikuwa amepost picha yangu huku akiwa ameambatanisha maneno yafuatayo!!!

"Angeweza kutumia cheni mikufu au mapambo ya kigeni kama angetaka lakini kaamua kuchagua asili yake,utamaduni wake na kukubali vitu asili vya asili tena kutoka Tanzania kuwa pambo lake la asili.
Amehamasisha wengi sasa naona picha zao wakiwa wamejipamba na pambo za asili.SISI KAMA WIZARA TUMEONA TUFANYE KITU KWA AJILI YAKE,NA MIMI KAMA WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII NACHUKUA FURSA HII KUMTANGAZA kidawa KUWA BALOZI WETU WA KUTANGAZA UTALII WA NDANI!
Ningependa aje ofisini tayari tumemtumia namba Dm afike kwa ajili ya Mambo mengine yanayofuata!

Japo kulikuwa na AC ila kijasho kilinitoka nikasimama nikamkumbatia Jenny huku nalia.
"Pole rafiki yangu umepambana sana Hadi kufikia hapo ulipo sasa,kila mtu alikudharau sasa kila mtu atakuheshimu!"
Aliongea Jenny naye machozi yalimtoka siku hii nilipokea simu kutoka kwa mama!
"Hongera mwanangu!"
"Ahsante mama",nilijibu huku nalia.
"Usilie mwanangu,niko na baba yako tunafikiria namna tunavyoweza kusapoti hiki ulichoanzisha!"
"Nashukuru mama!"
Niliongea na mama kisha nikaiweka simu pembeni,sikutaka kuingia Instagram ili niangalie alichonitumia waziri.
Nilipumzika kwanza nikavuta pumzi ndefu nikafakari maisha yangu yaliyopita kuanzia kwa John misukosuko aliyopitia na James alivyonitesa chuoni nilitabasamu tu nikiamini huzuni yako ni tabasamu la kesho!
Niliinuka nikaenda kuoga bafu la ndani kwa ndani,niliziangalia shanga zangu zilizotulia kiunoni kwangu nikatabasam, nikatoka nikamkuta Jenny anabishana na watu mlangoni,
"Jenny vipi?"
"Waandishi Kidawa!"
"Wanataka nini?"
"Wanataka interview!"
"Waambie siyo leo!"
Niliwakatalia waandishi sikutaka kuongea nao chochote mpaka nitoke kwa Waziri niskie kwanza ntaambiwa nini?
Niliingia Instagram nikakuta Waziri kanitumia namba nikazichukua nikapiga ikaita mara moja tu ikapokelewa!
"Haloo Mheshimiwa"
"Samahani nani mwenzangu!"
"Mimi naitwa Kidawa yule wa.....!"
"Subiri!"
Alinikatisha akakata simu kisha baada ya dakika tano ile namba ilinipigia nikapokea haraka huku mikono inatetemeka!
"Haloo unaongea na Waziri!"
"Haloo shikamoo mheshimiwa Mimi ni Kidawa!"
"Okay!marahaba mwanangu nimependa Sana kazi yako!"
"Ahsante sana Mheshimiwa!"
"Heeh!Sasa nadhani ungefika kwenye ofisi zetu ziko Dar ntamtuma dereva aje akuchukue ntampa namba zake muwasiliane!"
"Sawa nashukuru sana!"
"Sawa kazi njema!"
"Nashukuru sana!"
Moyoni nilijawa na furaha,uso wangu ulijawa na tabasamu pana!
Nilipokea simu nyingi sana kutoka kwa watu mbali mbali hadi meseji za wabunifu mbalimbali wakitaka wafanye kazi na mimi!
Niliwasiliana na dereva aliyetumwa kunichukua akafika muda huo nilishajiandaa nimevaa gauni langu nililoshona kwa shuka la kimasai lililonikaa vizuri mwilini kiasi cha kunifanya nionekana msichana halisi wa kitanzania.
Hatimaye Safari ikaanza kuelekea kwenye ofisi ya waziri!!!

KIDAWA HUYO ANAZIDI KUWA JUU KILA LEO!UNAMTABIRIA NINI KIDAWA??UNAHISI KWELI ATATUSUA KWA SHANGA TU!!!
 
Back
Top Bottom