Simulizi:The President and I(Mimi Na Rais)

Simulizi:The President and I(Mimi Na Rais)

Hii story ni nzuri sana pongezi zimfikia ndugu mwandishi. kumbe jojo anataka uwaziri 😂😂😂
 
Predictable: sio mbaya sana, maana haifanani na bongo movie

Relatable: sikujua kama hiki ni kizungu halali, lakini nimekuelewa. This is the worst part of the story, kuna vitu viko open sana vinahusisha yanayoendelea katika mazingira halisi, mfano ujenzi wa uwanja wa ndege

Sent from my iPhone using JamiiForums
Relatabe;labda alikuwa anamanisaha relevant/relevance.............

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Predictable: sio mbaya sana, maana haifanani na bongo movie

Relatable: sikujua kama hiki ni kizungu halali, lakini nimekuelewa. This is the worst part of the story, kuna vitu viko open sana vinahusisha yanayoendelea katika mazingira halisi, mfano ujenzi wa uwanja wa ndege

Sent from my iPhone using JamiiForums

Mkuu hivi kuna lugha ya kizungu? Au ulitaka kusema kiingereza halali badala ya kizungu halali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom