Simulizi:The President and I(Mimi Na Rais)

Simulizi:The President and I(Mimi Na Rais)

Huwa mnavuta bangi za mkoa gani? Sisi tunataka kusoma story tu sio kurekebishana lugha, mambo ya lugha yabaki darasani huko
Siyo umeamua kunipotezea, hujui kitu na hautaki kukubali kuwa hujui.

Katika kiingereza in this case British English na hata American English, kuna topic kuhusu "Subjective and objective pronouns", nenda kasome kwa faida yako, usiwe na kiburi katika kujifunza na jifundishe kwa mtu yeyote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hee we baba fungua english course hayo mabo ya subject na object waachie wenyewe
 
Hee we baba fungua english course hayo mabo ya subject na object waachie wenyewe

Hii mada imeshafungwa, inakuaje wewe unaifungua tena??.

Ni hivi, unapoleta uzi ndani ya jf hakikisha unaupitia ili kuondoa makosa yasiyo ya lazima mbaya zaidi si lazima utumie lugha isiyoeleweka na wengi wakati lugha inayoeleweka na wengi unaijua, sasa utamlaumu nani ikiwa umetumia vibaya lugha isiyoeleweka na wengi na ukakosolewa??!!, mbaya zaidi makosa yapo kwenye kichwa cha habari cha mada yenyewe!!, kama kichwa cha habari kina makosa huoni kwamba hata msomaji anaweza kuvunjika moyo na maudhui ya habari yenyewe na asiisome kabisa.

Kuelimishana pindi mtu anapokosea ni sehemu ya maisha wala hapa si nia ili mtu aonekane anajua na yule aliyekosea ni busara kukiri kukosea kwani hayupo ajuae kila kitu bali tunazidiana kulingana na mazingira nk.

Sasa nifungue english course nikufundishe wewe??!!, انت ماجنون
 
Hii simulizi ni noma sana.nimependa hiyo happy birthday kwa kutwangana makonde.

Mkuu akadhani vijana wake wamemuwashia kweli kweli.

Wajeda bwana, akiri zao wanazijua wenyewe.

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom