HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,417
- 6,149
Uko wapi njoo Tabata postaNipe utaratibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko wapi njoo Tabata postaNipe utaratibu
Na tuliopo Mwanza tunaipataje?Uko wapi njoo Tabata posta
IringaUko wapi njoo Tabata posta
Vinatumwa mkuuIringa
KinatumwaNa tuliopo Mwanza tunaipataje?
Kalubute, tatzo c kunipa tatzo nakipataje? Kwa dunia ya sasa pdf ni solution kwa baadhi ya matatzo ya kiuandishi
Mnaua biashara nyie.. kama umependa kitabu na stori kwanini usinunue?Mimi nimeshakimaliza ukihitaji nikupe maana nilinunua
Mkuu umewahi kusoma kitu inaitwa free economic market? Au ulikuta syllabus imefutwa? Kama bado google, ila kama tayar utajua kwa nn hyo kitu iliwekwa...Mnaua biashara nyie.. kama umependa kitabu na stori kwanini usinunue?
Habari!
Habari njema! Kitabu chako pendwa cha Mimi na Rais (The President and I) ambacho ulitoa oda mapema kipo tayari na kitaanza kusambazwa kuanzia Jumatatu ya wiki ijayo (tarehe 15th Julai).
Pia, tungependa kukufahamisha kuwa tutazindua kitabu chako cha MIMI NA RAIS siku ya Jumamosi ya tarehe 13 Julai, Ofisi za SmartCodes, Mikocheni A kuanzia saa tisa alasiri hadi saa kumijioni.
Ikiwa ni kuunga mkono na kuhamasisha kazi za uandishi wa fasihi kwa kizazi kipya cha waandishi Tanzania na Afrika kwa ujumla, siku ya Uzinduzi kitabu kitauzwa TZS 30,000 tu na baada ya hapo kitaendelea kuuzwa kwa bei ya TZS 18,000 tu.
Kuwa wa kwanza kujipatia kitabu hiki ambapo siku ya tukio, vitabu vyote vitasainiwa na Mwandishi wa Kitabu Lello Mmassy pamoja na Mwandishi nguli, Richard Mabala ambaye atakuwa mgeni maalumu katika shughuli ya Uzinduzi.
Ikiwa utahudhuria, tafadhali jibu baruapepe hii ili kuthibitisha.
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati.
--
Iko wapi mkuuMimi na rais soft copy
We jamaa hiki kitabu kilitoka kweli?? NakitakaMissing Story...
Auze kwa ni yeye ndo mwandishi?Mkuu the-legend ungetuuizia hapa kwa watsap kama wafanyavyo wengine
Sent using Jamii Forums mobile app