Simulizi:The President and I(Mimi Na Rais)

Simulizi:The President and I(Mimi Na Rais)

Mnaua biashara nyie.. kama umependa kitabu na stori kwanini usinunue?
Mkuu umewahi kusoma kitu inaitwa free economic market? Au ulikuta syllabus imefutwa? Kama bado google, ila kama tayar utajua kwa nn hyo kitu iliwekwa...

Umetazama upande mmoja tu wa biashara kwa mhusika ila hujatazama upande wa pili wa usambazaji wa kazi na utandawaza...
 
Habari!

Habari njema! Kitabu chako pendwa cha Mimi na Rais (The President and I) ambacho ulitoa oda mapema kipo tayari na kitaanza kusambazwa kuanzia Jumatatu ya wiki ijayo (tarehe 15th Julai).


Pia, tungependa kukufahamisha kuwa tutazindua kitabu chako cha MIMI NA RAIS siku ya Jumamosi ya tarehe 13 Julai, Ofisi za SmartCodes, Mikocheni A kuanzia saa tisa alasiri hadi saa kumijioni.


Ikiwa ni kuunga mkono na kuhamasisha kazi za uandishi wa fasihi kwa kizazi kipya cha waandishi Tanzania na Afrika kwa ujumla, siku ya Uzinduzi kitabu kitauzwa TZS 30,000 tu na baada ya hapo kitaendelea kuuzwa kwa bei ya TZS 18,000 tu.


Kuwa wa kwanza kujipatia kitabu hiki ambapo siku ya tukio, vitabu vyote vitasainiwa na Mwandishi wa Kitabu Lello Mmassy pamoja na Mwandishi nguli, Richard Mabala ambaye atakuwa mgeni maalumu katika shughuli ya Uzinduzi.


Ikiwa utahudhuria, tafadhali jibu baruapepe hii ili kuthibitisha.


Tunatanguliza shukrani zetu za dhati.

--

Ahsante kwa taarifa...


Cc: mahondaw
 
The Book sisi tulioko nje ya Tz haukututendea haki kabisa. Jitahidi utuuzie soft copy ili nasi tuburudike, make hapa ulitubagua kabisa.
 
Namjua mtunzi Ni senior wangu kikazi, kwa wanaohitaji vitabu wanicheck kwa namba +255746 785704 whatsup...
 
Back
Top Bottom