ngakotecture
JF-Expert Member
- Dec 30, 2014
- 2,569
- 2,847
Corazon endeleea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona unasimulia mapenzi na utaratibu wa watu wa kimwambao😄Hii ilikua yalipoanzia mwanzo, ilipelekea nguzo mbili jufutwa, ilikua moto sana.
Naamini moderators wa JF kuna waliopandisha genye mpaka walishindwa kufanya kazi wakaifuta.
Tutakurudia vipande vipande kiaina utaelewa tu kila tunavyoendele
Kilete mwambaNish ni ngoma nzito sa hiyo. Toto la Kitanga hilo. Kisa cheke kitaendelea
Ushakuja chafua Uzi.Kisa kizuri cha cha familia ya pwani, naona hususan Tanga.
Punguza maandiko ya ngono kwenye hiki kisa kitakuwa kizuri zaidi. Jifunze na kuandika bila makosa, makosa madogo madogo mengi yanatowa ladha ya kusoma.