Simulizi: Umalaya na Ukahaba wa Kishua

Simulizi: Umalaya na Ukahaba wa Kishua

Najaribu kuwaza kwanini ganja inatumika sana hapa. Je, ganja Ina Siri ambayo wengi wamefichwa Ili wasijue faida au ni kilevi kama vilevi na Haina faida yoyote? NAWAZA SANA
 
Hiyo ninkweli, hata hapa Tanzania ni circle zile zile tu. Kama yule wasiri Mzanzibari mwanae kama binti wa Lukuvi.

Siri zao kubwa, wana mambo mengi ambayo kwa walalahoi tukiyajua tutaanza kuwakomalia kama vile ni maajabu, wakati kwa walalahoi yapo kivyaovyao.
Kuna kisa kimoja Cha kihistoria ni kama kinaelekea kuwa na ka ukweli hivi kwenye nchi yetu. Mzee wa awamu ya pili hapa tz. Asili ya mama yake inadaiwa ni Kati Kwa akina nyalandu. Na ni mtoto wa mtemi LITI, ambaye ameenziwa Kwa uwanja wa NAMFUA KUPEWA jina la CCM LITI. HUYO LITI Sasa ni bibi yake MZEE. HAYA WAKATI LITI anauawa na wajerumani watoto wake wawili wa kike walipelekwa pwani kwenye familia za kimwinyi..hatimaye mahaba yakakuwa ndo wakazaliwa akina mzee ..Sasa angalia trend yake..yanazuka maneno kuwa mama naye ni bint wa mzee... HUWA NACHOKA
 
Huyu hapa chini anaweza akawa Nani vile?
 

Attachments

  • images (5).jpeg
    images (5).jpeg
    8.5 KB · Views: 48
Hizo codes mimi zsizifahamu.
Mzee Hussein mwinyi ni zao la kitemi kati ya mtu wa pwan na mtu wa singida .. wakt BINTI za LITI wanavunja ungo Tyr mwamwinyi waliokuwa maaakida waliowabeba watoto wa LITI kutoka SINGIDA enzi za ujerumani ... Mama yake mwinyi akawa nyumba ndogo ya mzee Hasan hapo mkuranga japo enzi hizo mzee Hasan alikuwa tayar anaishi dar, wakati waingereza wanaingia Tanganyika , mzee Hasan AKAPATA shavu akahamia ZANZIBAR NDO Mzee wa ruksa kuzaliwa huko hatimaye kuwa rais wa jmamhuri.. haya yote no mambo yanayotokana na inner circle
 
Picha zake akiwa na mume wake honeymoon bado nambembeleza bro anipe
Bro amenipa picha moja ya Nisha akiwa katoka kupambwa, akiwa naye siku za honey moon. Picha ya Samira na mashangingi MENGINE yaliyokuwepo harusini
 

Attachments

  • images (12).jpeg
    images (12).jpeg
    35.8 KB · Views: 32
  • images (11).jpeg
    images (11).jpeg
    29.4 KB · Views: 35
  • images (10).jpeg
    images (10).jpeg
    35.8 KB · Views: 32
Back
Top Bottom