Simulizi ya Fred Vunjabei na Frank Knows

Amechagua kusema vile tungependa kuvisikia na sio kuvisikiliza.

Haya mambo ya kutafuta mali yana mengi sana....
Sio kila jambo ataliongea
 
Jamaa anazidi kuchanja mbuga mikoani,mikoa kadhaa yupo...strategies yake kibiashara ndio imemkuza, low price higher demand...jeans Kali fixed price 19,000 tu ..mgejiuliza why anauza cheap? Sio kuanza kutuaminisha sababu zingine.. ...naona anakuja na projects zingine kwenye entertainment... Miaka michache ijayo atakuwa bigger next level...
 
Story nyingi za waliofanikiwa huwa haziakisi ukweli wa mambo waliyopitia. Hawasemagi ukweli hawa watu, pambana kwa njia zako mema yao yachukue yasiyokufaa waachie ila usiwafate 100% utafeli.
Waache waige waoneee....mtu wa Iringa huyooo.....mmmhh.....za kuambiwa changanya na zakoo.....
 
porojo tu

huyu bwana kuna interview nimewahi msikia alikuwa serikalini na alisha fanya pia mashirika na taasisi binafsi huku akifanya biashara

alipoona amepata mtaji akaamua kuacha ajiajiri leo anasema alikuwa na mtaji mdg porojo tupu
Miaka kadhaa iliyopita nilikuwa na duka moja dogo sana Kariakoo (Goli), baada ya kujikusanya tulikubaliana na rafiki yangu Frank Knows twende kujaribu kununua mzigo China, tulisubiri kipindi cha tiketi za offer na tukapata Ethiopian Airways, tulifanikiwa kufanya utafiti wa maana sana China na tukajilaumu tulikuwa wapi siku zote, Ndoto zangu nlianza kuziona zikikamilika licha ya kuwa China ilitakiwa uwe na hela nyingi na wote tulisafiri na pesa kidogo sana hazikutosha kununua mzigo.
 
achana na haya maandishi nenda kamsikilize kwenye interview ya krauzi huyu bwana ameshakuwa hadi nafasi za juu katika kazi yake

achana na porojo zake mkuu
 
porojo tupu , hakuna kitu hapo zaidi ya Sembe
 
mkuu kabla ya kuanza tripu za china kwa maelezo yake alisema alikuwa kasha pata mtaji wa kutosha akaona ateme kazi leo anasema hazikutosha kule china
Wewe unajikanganya kuna sehemu amesema hazikutosha china soma vizuri aim ya kuchanga na mwenzie.
 
Vunja bei jina lake ni Fred Ngajilo, sasa sijui kama wanaundugu

Dot connected....haahaa....Ni ndugu....concluded.

I know fabian ngajilo, alikuaga assistant lacture UDSM,

Fabian ngajilo yupo peace Sana na Ni CCM kindaki ndaki....

💯% fred ngajilo atakua Ni mdogo ake na Fabian ngajilo....

Fabian ngajilo ametufundisha mengi Sana kama wadogo zake chuo Kikuu.....
 
It seems money network sio shida kwao na Vunjabei.
 

Alafu pia fredy ana akili ya ziada haswa kwenye maswala ya pesa na utafutaji na hapo ndo alipo tuzidia wengi ni sawa na diamond na bongo flava yake nisawa na cr7 na mpira wake
 
Porojo tu

Huyu bwana kuna interview nimewahi msikia alikuwa serikalini na alishafanya pia mashirika na taasisi binafsi huku akifanya biashara.

Alipoona amepata mtaji akaamua kuacha ajiajiri. Leo anasema alikuwa na mtaji mdg, porojo tupu.
Habari yeyote ya uongo haikosi editing...

Huyo anahusishwa na madawa.

Kuna siku kitalipuka ,,ngoja arobaini ifike.
 
Mi siwez hata kama ni mama angu
Mi siwez hata kama ni mama angu
 
Motivesheno spikaz,hakuna mmbongo atakwambia siri ya mafanikio yake
 
achana na haya maandishi nenda kamsikilize kwenye interview ya krauzi huyu bwana ameshakuwa hadi nafasi za juu katika kazi yake

achana na porojo zake mkuu
Siyo krauzi ni EFM alikuwa Bdazeni mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…