Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

kazi nzuri...ila kama unataka kutupa mkono majemedari wako wa toka mwanzo.Yaani kutoka j4, alhamis na jmosi sasa imekiwa siku yoyote mkuu?
Mkuu Hades Singanojr...aka Roma Romani.
kuna story yake nyingine aliishia njiani....... so far tujiandae kwa lolote
 
pm ni ngumu sijawahi tuma.huko
Sasa nafanyaje maana sina tofauti na Hades linapokuja suala la matumizi ya simu! Namiliki mpunga wa kuntosha mim na mambo yangu nnayopenda ila kwa simu naiamini itel ya batani! Hamna mtu mwenye uwezo wa kudukua
 
Mkuu singanojr fanya mambo tujumuike na watanzania wenzetu katika kipindi cha pasaka! Ukipita kwenye majukwaa mengine hasa jukwaa la siasa hapa jf ni mateso na hasira zisizokuwa na pakutolea!
 
Angeacha kabisa kupost kwan shida nin.
Haya mambo ya mtu anaanzisha story afu watu wakianza kunogewa anaacha ni mambo ya kukatishana tamaa sana bora usipost tu uku..
 
Angeacha kabisa kupost kwan shida nin.
Haya mambo ya mtu anaanzisha story afu watu wakianza kunogewa anaacha ni mambo ya kukatishana tamaa sana bora usipost tu uku..
Mwanzani tukicoment na ku like mzigo hua hapa...anyway weekend hii na masikukuu kibao mambo mengi....ataleta tu mwana. Alafu sie tuko nyuma kuliko wa kule group so just unacopy unatupia tu hapa. Singanojr aka Hades aka Roma Roman unakwama wapi mkuu.??
 
A. K. A Persephone πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
mwana alisema ataendeleza story yake kesho!......

vijana ni taifa la kesho pia.......!
 
Mkuu singanojr uko pow ndugu! Sisi tupo tunajifia tu na kiu zetu za story yako. Kaka kweli we ndo wa kutuacha wiki nzima? Daah its not fair dingii! Be positive mnene
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…