Jumanne Mkota
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 2,987
- 1,757
hahahahahahahaha....Ila leo nami maeneo flan huku wilaya ya kwimba panaitwa sumve nkamuona omari tozo kwenye timu ya wakimbiza mwenge wa uhuru toka wilaya ya misungwi! Ni mweupe hivi kahendsam kisela! Nashangaa queen ana rusha rusha nyoro kwa jamaa!
Mwamba passport anatumia kama formality tu, akitaka anatelepot tu fasta yuko kwa Joe Biddenyec ni nilsema ni yeye coz mr singanojr amesema mwamba anatoka airport bila ya kubeba mzigo wowote sasa kunajamaa nilimshuku tuu
roma kamsahauJamani hivi christen kaalikwa kweli harusin? singanojr
Kama tulivyosahaulika hukuroma kamsahau
Itakuwa saa ngapi kwa saa za huku chuga?Keshoo tunakiwasha hapa
basi chuga mnajiona hampo tz,yani mjani bwana...Itakuwa saa ngapi kwa saa za huku chuga?
wacha bwana! Kawe na akili sasa! Maana mwanamke akikosa hyo huduma anakuwa kama zombiKeshoo tunakiwasha hapa , uone Edna anavyotoa kilio akiomba aachwe apumzike[emoji23][emoji23]
Chuga ni matawi ya juu mzee baba 😂basi chuga mnajiona hampo tz,yani mjani bwana...
Keshoo tunakiwasha hapa , uone Edna anavyotoa kilio akiomba aachwe apumzike[emoji23][emoji23]
Hahahaaaa! Nahisi hii sauti inatokea ungalelooo! Sisi wa nyambiti ngudu itatufikia jmos i think soItakuwa saa ngapi kwa saa za huku chuga?
kesho ishakuwa leo mkuu singanojrKeshoo tunakiwasha hapa , uone Edna anavyotoa kilio akiomba aachwe apumzike[emoji23][emoji23]
kesho ishakuwa leo mkuu singanojr
Mkuu tunathamini sana kazi yako, binafsi nakupongeza sana, kwa sasa naona umeamua kupost mara moja kwa wiki, weka wazi kama ni ijumaa au jumamosi basi tujue kuliko kutoa ahadi halafu hutimiziKeshoo tunakiwasha hapa , uone Edna anavyotoa kilio akiomba aachwe apumzike[emoji23][emoji23]
watu mmechafukwa, hahahahaMkuu tunathamini sana kazi yako, binafsi nakupongeza sana, kwa sasa naona umeamua kupost mara moja kwa wiki, weka wazi kama ni ijumaa au jumamosi basi tujue kuliko kutoa ahadi halafu hutimizi